Hao watakuwa zaidi ya mbayuwayu we subiri tu, kumbuka hata babu wa loliondo alijipatia umaarufu mkubwa lakini sasa media zinamuangalia kama kichefuchefu. Natamani kila anayewaona madk wako sahihi Mungu ampe mtihani ima wa kuugua yeye mwenyewe au auguze, ndio ataona kama hao wamechemka ile mbaya.
akili yako ni finyu tena unashida mno ya kufikiri jambo, ebu jiulize hao watawala wako wa ngazi za juu wameuwa wangapi kwa ubinafsi wao na uzembe wao pia kwa tamaa zao za kujirundikia raslimali zote kwenye akiba zao