hayo maombi yako yataishia hewani tu, ungeomba serikali ifunguke na kujali wananchi, kwani Mponda na Nkya wana gharama gani bwana?Hao watakuwa zaidi ya mbayuwayu we subiri tu, kumbuka hata babu wa loliondo alijipatia umaarufu mkubwa lakini sasa media zinamuangalia kama kichefuchefu. Natamani kila anayewaona madk wako sahihi Mungu ampe mtihani ima wa kuugua yeye mwenyewe au auguze, ndio ataona kama hao wamechemka ile mbaya.