Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,101
- 1,946
Acha u.ji.nga. Wa kupingana na serikali!tii mamlaka ya kidunia
Hata serikali ikikuambia "kamchinje mama yako", utatii?
Acha u.ji.nga. Wa kupingana na serikali!tii mamlaka ya kidunia
Mahakama inatamkia ofisini kwa pinda!!!!!Mimi hiyo amri ya mahakama sijaipenda kabisa.
Hao watakuwa zaidi ya mbayuwayu we subiri tu, kumbuka hata babu wa loliondo alijipatia umaarufu mkubwa lakini sasa media zinamuangalia kama kichefuchefu. Natamani kila anayewaona madk wako sahihi Mungu ampe mtihani ima wa kuugua yeye mwenyewe au auguze, ndio ataona kama hao wamechemka ile mbaya.
MBONA LIKO WAZI NI JK NA MAWAZILI WAKE WANAUA! kwani kuwatimua watu 2 tabu ipo wapi!?kwahiyo na we Nyani unaona mko sahihi kugoma? kwa lipi hasa wewe unaliona lina tija mpaka muwe sehemu ya vifo vya watu? Ukiunga mkono ukatili huo ujue hiyo damu iko juu yenu
kwahiyo na we Nyani unaona mko sahihi kugoma? kwa lipi hasa wewe unaliona lina tija mpaka muwe sehemu ya vifo vya watu? Ukiunga mkono ukatili huo ujue hiyo damu iko juu yenu
kwann unalaumu madokta?kumbe wauwaji wako wengi. mnatanguliza matamanio ya nafsi zenu kuliko utu? viumbe wa ajabu sana. ivi mliambiwa huyo waziri atabaki pale milele? kisingizio chenu cha kugoma msidhani jamii imefurahishwa nacho. na mna bahati serikali bado imewapa kichwa sana.mtakuwa mmezingirwa na mapepo machafu, mnahitaji muombewe.
kwahiyo na we Nyani unaona mko sahihi kugoma? kwa lipi hasa wewe unaliona lina tija mpaka muwe sehemu ya vifo vya watu? Ukiunga mkono ukatili huo ujue hiyo damu iko juu yenu
Mkuu uwe unakwenda hospitali si lazima uumwe walau kuwatembelea wagojwa ndiyo utaelewa linaloongelewa na mdr!Hao watakuwa zaidi ya mbayuwayu we subiri tu, kumbuka hata babu wa loliondo alijipatia umaarufu mkubwa lakini sasa media zinamuangalia kama kichefuchefu. Natamani kila anayewaona madk wako sahihi Mungu ampe mtihani ima wa kuugua yeye mwenyewe au auguze, ndio ataona kama hao wamechemka ile mbaya.
Mkuu wewe ndio umetoa hilo tamko? Hilo tamko si la kimaandishi kama ni la kimaandishi tuwekee basi hapa kwa kuwa siamini kuwa tamko linaweza kuwa fupi kama hivyo.
Kuna Dr. rafiki yangu alipokuwa intern Mtwra vijijini, alishuhudia mgonjwa anakufa kwa kukosa kidonge cha chloroquine(dawa ya malaria at that time). Ungekuwa wewe ungeshauri vipi serikali yako?. Doctors need a better invironment for their job, which is good for you and your next generation Sir. Muhimbili hawana gastroscope, hawana machine za kupimia HBev DNA...just imagine na dunia hii ya sasa hatari Boss... Think bigger please kwa AJILI YA WAJUKUU WAKOkumbe wauwaji wako wengi. mnatanguliza matamanio ya nafsi zenu kuliko utu? viumbe wa ajabu sana. ivi mliambiwa huyo waziri atabaki pale milele? kisingizio chenu cha kugoma msidhani jamii imefurahishwa nacho. na mna bahati serikali bado imewapa kichwa sana.mtakuwa mmezingirwa na mapepo machafu, mnahitaji muombewe.
Acha u.ji.nga. Wa kupingana na serikali!tii mamlaka ya kidunia
Acha upotoshaji ndugu Bramo. Hakunatamko lolote kutoka MAT. Kikao na kiongozi mkuu wa nchi kinaendelea. Hilo ni tamko lako.:hand:1: Mahakama imekuwa biased kwa kumsikiliza mlalamikaj pasi Kumsikiliza Mlalamikiwa.
2. Mahakama ilitakiwa pia kumpa Mlalamikaji Time frame ya kusema ni lini atapatia ufumbuzi madai ya Mlalamikiwa.
Mwisho kabisa: Haturud Nyuma hadi kieleweke
Acha u.ji.nga. Wa kupingana na serikali!tii mamlaka ya kidunia
Kuna ka twitter hapa chini kanasema ati JK amekutana na viongozi wa MAT Ikulu, hii ikoje kuna mtu ana habari zozote? Sitaki kuichukua na kuiweka kama thread. Iangalieni hapo chini kulia kuna mtu anajiita Tanganyikan
Acha upotoshaji ndugu Bramo. Hakunatamko lolote kutoka MAT. Kikao na kiongozi mkuu wa nchi kinaendelea. Hilo ni tamko lako.:hand:
Ebu na nyie jamani fikirini toka akilini mwenu wenyewe.. Alijiuzu Msabah ktk swala la Umeme umetusaidia vipi?.. Richmond bado ipo nchini na inafanya kazi kwa jina tofauti tu. Akajiuzuru Karamagi kwa swala la Buswagi leo Barrick wanaendelea kuchimba dhahabu Buswagi.. Sasa hawa watu huwa mnataka wajiuzuru ili iweje?..The end justify the means - what means!kwann unalaumu madokta?
kwani mponda na nkya wakijiuzulu kutatokea nn kwa watanzania?
hilo siyo dai jipya ,na tarehe 9 february pinda aliwahidi madokta kuwa rais atalishughulikia hilo.
watanzania amkeni ,kuwa kiongozi siyo umungu mtu ...wajibikeni kwa wananchi wenu.
uwezo wako wakufikiri ni mdogo sana unashangaa nini kuvuna majani ya bangi wakati ulipanda bangi chanzo cha yote haya hukijui nani aliyetufikisha hapa kwa maamuzi ya zimamoto kama Watanzania kama wewe mpo wengi hivi Taifa letu linasafari ndefu sana thinkbroader ndugu acha ufinyu wa kufikiri tibu ugonjwa usitibu dalili shame on you.kumbe wauwaji wako wengi. mnatanguliza matamanio ya nafsi zenu kuliko utu? viumbe wa ajabu sana. ivi mliambiwa huyo waziri atabaki pale milele? kisingizio chenu cha kugoma msidhani jamii imefurahishwa nacho. na mna bahati serikali bado imewapa kichwa sana.mtakuwa mmezingirwa na mapepo machafu, mnahitaji muombewe.