Tamko la maaskofu limepita tusubiri

koyola

JF-Expert Member
May 20, 2015
2,645
1,747
Kama nilivoanza hapo juu tamko la maaskof tayari limeonekana na kushabikiwa kwa kuungwa mkono na baadhi na kupingwa na baadhi ya wachangiaji, Sasa bado waraka wa maimamu wa misikiti na mashekh tuone waraka wao baada ya kumala mkutano wao bungeni karibuni.....ktk maoni yenu waislamu
 
Back
Top Bottom