Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 17,365
- 33,004
Mbona wakati wa mwendazake hukuleta hii hoja? Au hao watoto wa vigogo wamejazwa serikali kuanzia Marchi 17, 2021?Inasikitisha mno,
Namna maskini asiye na kipato akinyanganywa fursa yake hata ndogo tu ya kuilisha familia yake.
Wakati haya yakiendelea.
Watoto wa vigogo wamezijaza nafasi zote za ajira huko serikalini.
Huku wale maskini wakiambiwa wakajiajiri kwakua ajira hakuna.
Lakini wanapotaka kujiajiri wanaambiwa hawana haki ya kujiajiri.
Nani mtetezi wa kada hii ya chini.
Aliyepo ajitokeze.