Tamko la kuondoa wamachinga mijini liende sambamba na kuwaondoa watoto wa vigogo kwenye ajira Serikalini

Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
12,884
2,000
Inasikitisha mno,

Namna maskini asiye na kipato akinyanganywa fursa yake hata ndogo tu ya kuilisha familia yake.

Wakati haya yakiendelea.

Watoto wa vigogo wamezijaza nafasi zote za ajira huko serikalini.

Huku wale maskini wakiambiwa wakajiajiri kwakua ajira hakuna.

Lakini wanapotaka kujiajiri wanaambiwa hawana haki ya kujiajiri.

Nani mtetezi wa kada hii ya chini.

Aliyepo ajitokeze.
Mbona wakati wa mwendazake hukuleta hii hoja? Au hao watoto wa vigogo wamejazwa serikali kuanzia Marchi 17, 2021?
 
Tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
44,405
2,000
Inasikitisha mno,

Namna maskini asiye na kipato akinyanganywa fursa yake hata ndogo tu ya kuilisha familia yake.

Wakati haya yakiendelea.

Watoto wa vigogo wamezijaza nafasi zote za ajira huko serikalini.

Huku wale maskini wakiambiwa wakajiajiri kwakua ajira hakuna.

Lakini wanapotaka kujiajiri wanaambiwa hawana haki ya kujiajiri.

Nani mtetezi wa kada hii ya chini.

Aliyepo ajitokeze.

Wakati wanapora kura ili wakae madarakani kwa shuruti inawashambulia, wakianza kujipendelea unaanza kupiga kelele. Ww kaa usubiri t-shirt ya ccm wakati wa uchaguzi.
 
Tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
44,405
2,000
Tena inatakiwa hata wawalawiti kabisa, saa wanaingia madarakani kwa wizi unakenua, ukidhani watakutoa kimaisha, wakikubana Makende unakuja kwa mabasha kujiliza.
tatizo ni kuwa wanatukandamiza sana mkuu,

yaani hata tukijiajiri hawataki tupange vitu vyetu mjini.

Huko mjini wanataka waishi wao tu na tusiwabugudhi wanapopita na magari yao.
 
Econometrician

JF-Expert Member
Oct 25, 2013
12,226
2,000
Kuna vita ukianzisha haiwez kuisha ndo km hyo ya kuondoa watt wa vgogo serikal. Mm naamin hat ww ungekua na kitengo kizur serikalin usingemsahau mwanao
Acha Ku generalize mambo mbona Nyerere alikuwa na nafasi namba 1 na watoto wake hawakuwahi kupewa nafasi za upendeleo
 
Lupweko

JF-Expert Member
Mar 26, 2009
15,539
2,000
....Watoto wa vigogo wamezijaza nafasi zote za ajira huko serikalini.
Haikubaliki kumuhukumu mtoto kwa nafasi ya mzazi wake. Kama mtoto yupo kwa njia zisizo halali, utakuwa na hoja. Lakini kama sifa zake binafsi zinamuwezesha kushika nafasi serikalini, kwa nini umuondolee hiyo haki? Kumbuka, wamachinga wanaondolewa kutokana na uwepo wao hapo kuwa kinyume na taratibu za miji
 
Olomynkunde

Member
Aug 26, 2021
27
75
kiongoz apa umezingua..... kila mtu atakula urefu wa kamba yake hakuna mtu alopangiwa awe masikini bhn ni sawa na kumwambia bakresa asimpe mwanae cheo kwenye kampuni yake kwasababu wewe unafanya kazi vizuri kuliko mwanae chamsingi nikupambana.... yani mpk tukisha umia sanaa na kuumiza sana akili tukapata chakufanya ili tuwenasisis vigogo hapo ndipo tutakapoona kuwa jamaa hawajakosea ilimranj watoto wao wanasifa za kuajiriwa inatosha kuwa kama walivyo
 
Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
48,445
2,000
Poleni mabadiliko yeyote huja na maumivu lakini! Tukubali kutokukubaliana kwamba njaa ni kali😅 na itaendelea kuwa kali mpaka tutakapogawana mbao na misumari ya kujengea nchi!

Ile time bomb inazidi kujongea sekunde za Mlipuko! Nchi yetu wote ila mazingira ya kuinjoy wanayo wabinafsi wachache walio na madaraka makubwa serikalini! Wao na familia zao waneemeke ila the rest of Tanzanians mvumilie tu amani ni kitu muhimu sana nchini😅!!!
 
Nuzulati

JF-Expert Member
Nov 25, 2020
3,730

Muanzisha Mada enzi Mwendazake ilikuwa ni mwendo wa kusifia tu now nadhani wamegusa masirahi yake 😄😄😄
 
Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
53,999
2,000
Inasikitisha mno,

Namna maskini asiye na kipato akinyanganywa fursa yake hata ndogo tu ya kuilisha familia yake.

Wakati haya yakiendelea.

Watoto wa vigogo wamezijaza nafasi zote za ajira huko serikalini.

Huku wale maskini wakiambiwa wakajiajiri kwakua ajira hakuna.

Lakini wanapotaka kujiajiri wanaambiwa hawana haki ya kujiajiri.

Nani mtetezi wa kada hii ya chini.

Aliyepo ajitokeze.
Unamkumbuka zile ajira ZA tra vigogo waliziharibu mpaka leo hawajaajiri watu.. wataajiri mitoto yao kimya kimya
 
Santos06

JF-Expert Member
Mar 11, 2019
2,202
2,000
Inasikitisha mno,

Namna maskini asiye na kipato akinyanganywa fursa yake hata ndogo tu ya kuilisha familia yake.

Wakati haya yakiendelea.

Watoto wa vigogo wamezijaza nafasi zote za ajira huko serikalini.

Huku wale maskini wakiambiwa wakajiajiri kwakua ajira hakuna.

Lakini wanapotaka kujiajiri wanaambiwa hawana haki ya kujiajiri.

Nani mtetezi wa kada hii ya chini.

Aliyepo ajitokeze.
Bora hamza
 
Fursa Pesa

JF-Expert Member
May 30, 2012
4,117
2,000
Machinga ni matokeo ya muundo wa mfumo jumuishi wa kukwepa kulaumiana, ajira kwa wenye kuwa nazo nao kuwapasia wenzao nao ni mfumo jumuishi wa kukwepa kulaumiana siku zijazo.
Kila jambo na wakati wake.
 
kissa anyigulile

JF-Expert Member
Apr 21, 2017
1,226
2,000
Inasikitisha mno,

Namna maskini asiye na kipato akinyanganywa fursa yake hata ndogo tu ya kuilisha familia yake.

Wakati haya yakiendelea.

Watoto wa vigogo wamezijaza nafasi zote za ajira huko serikalini.

Huku wale maskini wakiambiwa wakajiajiri kwakua ajira hakuna.

Lakini wanapotaka kujiajiri wanaambiwa hawana haki ya kujiajiri.

Nani mtetezi wa kada hii ya chini.

Aliyepo ajitokeze.
Mimi naona ili suala hili la malalamiko kuhusu labda kada fulani inapendelewa katika ajira liishe, Interview ziwe zinafanyika public, live TV zote.
Watu wajieleze pale watu wote wakiona, wakimwaga CV zao bila kupepesa macho.
Hapo ndipo watu watakapogundua mbivu ni zipi na mbichi ni zipi.
Tutaacha kelele!
 
Townchild

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
7,540
2,000
Inasikitisha mno,

Namna maskini asiye na kipato akinyanganywa fursa yake hata ndogo tu ya kuilisha familia yake.

Wakati haya yakiendelea.

Watoto wa vigogo wamezijaza nafasi zote za ajira huko serikalini.

Huku wale maskini wakiambiwa wakajiajiri kwakua ajira hakuna.

Lakini wanapotaka kujiajiri wanaambiwa hawana haki ya kujiajiri.

Nani mtetezi wa kada hii ya chini.

Aliyepo ajitokeze.
Wewe unaangukia kundi Gani?
 
mkupuo

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
1,489
2,000
Mkuu jitetee mwenyewe, usitegemee kutetewa na ntu mwingine.Vinginevyo imekula kwako.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom