Tamko la Kambi Rasmi ya Upinzani kuhusu uamuzi wa MCC kusitisha mahusiano na Tanzania

Kwa Vyombo vya Habari.

Nimesikitishwa na Tanzania kukosa fedha za MCC ambazo zilikuwa ni muhimu sana katika kuharakisha upatikanaji wa umeme kwa Watanzania wa vijijini. Hata hivyo, ningependa kuweka wazi kuwa Tanzania haijaonewa hata kidogo kunyimwa msaada wa Shilingi Trilioni Moja na Shirika la Misaada la Marekani la MCC kama ilivyopotoshwa na Serikali. Kauli ya Waziri wa Mambo Nje, Balozi Agustine Mahiga, ya kuelezea “kushitushwa na kusikitishwa” na uamuzi wa Bodi ya MCC kusitisha msaada na mahusiano yake na Tanzania, ni kauli isiyo ya kidiplomasia, ya kinafiki na inayopaswa kupingwa kwa nguvu zote na kila Mtanzania mwenye kujali kujali utu, demokrasia, utawala bora na ushirikiano mwema baina ya Nchi hii na mataifa mengine.

Nikiwa ni Waziri wa Mambo Nje napinga upotoshwaji na utetezi uliotolewa na Serikali kwasababu zifuatazo;
1. Ni vema ikazingatiwa kuwa MCC inazingatia vigezo 17 katika kuchagua nchi inayostahili kupata msaada na miongoni mwa vigezo vya msingi kabisa ni nchi husika kuwa na dhamira ya dhati ya kuimarisha demokrasia na kuendesha chaguzi zilizo huru na haki. Na katika taarifa yake MCC ilieleza maeneo ambayo Tanzania imekiuka vigezo kuwa ni marudio ya uchaguzi haramu wa urais Zanzibar na kupitisha Sheria ya Makosa ya Mawasiliano ya Mitandaoni –“Cyber Crime”, sheria inayonyima uhuru wa wa kujieleza na uhuru wa kujumuika; nanukuu:

"Serikali ya Tanzania haijachukua hatua za kuhakikisha kuheshimiwa kwa uhuru wa kujieleza na uhuru wa kujumuika katika utekelezwaji wa sheria ya Uhalifu wa Mtandao.”

“Tanzania iliendelea na uchaguzi wa marudio Zanzibar ambao haukushirikisha wote na wala haukuakisi maoni ya wote, licha ya malalamiko kutoka kwa serikali ya Marekani na jamii ya kimataifa”, mwisho wa kunukuu.

Kwa mantiki hii, ni dhahiri kuwa Tanzania haikupaswa “kushitushwa” na uamuzi wa MCC. Serikali ilivifahamu vizuri na mapema vigezo vya kustahili kupewa misaada na MCC. Inashangaza na kusikitisha kuona Msomi na Mwanadiplomasia mzoefu kama Balozi Mahiga akilitia Taifa “Aibu ya Mwaka” kwa kulalamikia “kuonewa” na kutoa kauli za “hovyo” kama alivyozitoa.

Kauli ya Waziri Mahiga, za kukataa kukiri makosa yaliyo dhahiri yaliyofanywa na Serikali na Chama Chake (CCM), zinaweza kabisa kuuweka rehani uhusiano na ushirikiano mzuri wa kidiplomasia ambao Tanzania imekuwa ikiupata kutoka kwa nchi mbalimbali na mashirika ya kimataifa kama MCC. Tukiweka mbele maslahi ya nchi hii yakiwemo ya kudumisha mahusiano mazuri ya kimaendeleo na nchi nyingine, Kambi rasmi ya Upinzani tunaiomba MCC, Marekani na mataifa mengine kuzipuuza kauli za hovyo zilizotolewa na Waziri Mahiga, kwani haziakisi ustaarabu wa Watanzania.

2. Pili, Tanzania si Mbia mgeni kwa MCC. Tanzania ilishapokea awamu ya kwanza ya fedha za msaada kutoka MCC ambazo zilikuwa ni Dola za Marekani milioni 698. Fedha hizi zilitumika kwa ajili ya ujenzi wa barabara za Tunduma- Sumbawanga, Tanga-Horohoro na Namtumbo-Songea-Mbinga. Zilitumika pia kujenga upya mfumo wa huduma za maji kwa ajili ya miji ya Dar es Salaam na Morogoro na kusambaza umeme katika vijiji vya mikoa 10 ya Tanzania Bara. Zilitumika kutandaza njia ya pili ya kusafirisha umeme chini ya Bahari ya Hindi kati ya Bara na Tanzania Visiwani na kujenga barabara zote kuu za Kisiwa cha Pemba na baadhi ya barabara za Unguja kwa kiwango cha lami. Kwa namna yoyote ile isingewezekana kwa MCC walewale kuionea Tanzania ile ile waliyoisaidia katika awamu ya kwanza ya misaada yao. Ni dhahiri kuwa Nchi imepoteza sifa kwasababu zilizoelezwa – na kimsingi sababu zenyewe ni uchu na ulevi wa madaraka uliopitiliza unaofanywa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Serikali yake.

Hatua ya MCC kusitisha uhusiano na Tanzania ni ushahidi tosha kuwa hujuma za uchaguzi na ukiukwaji mkubwa wa demokrasia na utawala bora, unaofanywa na serikali ya CCM na ambao Wapinzani tumekuwa tukiulalamikia mara kwa mara sasa umefikia hatua mbaya zaidi kiasi cha kugusa hisia za jumuiya ya kimataifa.

Ni mtazamo wangu kuwa MCC na jumuiya ya kimataifa bado walichelewa sana kugundua “udhalimu” wa Serikali ya CCM, ambayo karibu mara zote imekuwa ikihujumu haki na uhuru wa watu kwenye chaguzi, na si kwa upande wa Zanzibar tu, bali pia na uchaguzi wa Jamhuri ya Muungano. Sheria kandamizi zilizopo Tanzania si hiyo ya “Cyber Crime” tu. Tume ya Jaji Francis Nyalali ilibainisha Sheria nyingi kandamizi na kushauri zifanyiwe mapitio ya kuziboresha lakini hadi leo “serikali isiyo ya kidemokrasia ya CCM” imeendelea kuzidumisha sheria hizo na kuongeza nyingine kama hii ya “Cyber Crime”. Natoa rai kwa jumuiya ya kimataifa kutokukubali kurubuniwa tena na serikali ya CCM na badala yake ishirikiane kwa karibu na Watanzania wote wazalendo katika kuboresha misingi ya utawala bora na demokrasia kwenye nchi hii.

3. Tatu, mabalozi wa nchi mbalimbali washirika wa maendeleo ikiwemo Marekani, walishatoa rai zaidi ya mara moja wakiionya na kuishauri Serikali ya Rais Kikwete na baadaye Rais Magufuli kuchukua hatua za kuutatua mgogoro wa uchaguzi wa Zanzibar. Aidha, walishauri mara kadhaa kuwa uchaguzi wa marudio usingeweza kuwa suluhu halali ya kumaliza tatizo la Zanzibar. Badala ya kuchukua hatua hasa za kukisihi Chama chake kuheshimu maamuzi halali ya wapiga kura wa Zanzibar yaliyofanywa Oktoba 25 mwaka jana, Rais wa Jamhuri ya Muungano, John Magufuli, alipuuza rai zote hizo na kwa kiburi cha hali ya juu alisema “hahusiki na suala la Zanzibar”.

Mbali na Mabalozi hao, hata aliyekuwa Waziri wa Mambo Nje wa Serikali ya Awamu ya Nne, Bernard Membe, alionya na kutoa tahadhari kuhusu suala la Zanzibar lilivyokuwa likichukuliwa kwa mzaha-mzaha, badala ya kutatuliwa kwa umakini. Matokeo yake ndiyo haya ya kutengwa na MCC. Inasikitisha kuona Serikali ya Magufuli ikiwa na uweledi finyu katika medani ya diplomasia ya kimataifa na kuupuza nchi rafiki.

Uamuzi wa MCC unapaswa kuchukuliwa kwa tahadhari kubwa na Serikali. Nchi nyingi rafiki ni nchi zinazosimamia misingi ya utawala bora na demokrasia na zilishaonyaonyesha kutoridhishwa na suala la Zanzibar na Sheria ya Cyber Crime. Naonya kuwa upo uwezekano kwa nchi wahisani, kila moja kwa nafasi yake, kuchukua uamuzi kama uliochukuliwa na MCC wa kusitisha ushirikiano wa kimaendeleo na Tanzania, kama hatua za dharura hazitachukuliwa kurekebisha hali ya mambo

USHAURI KWA SERIKALI
Kambi rasmi ya Upinzani siku zote tumekuwa msitari wa mbele kuitaka serikali na vyombo vyake ijenge uwezo endelevu wa kujitegemea. Hata hivyo, ni ukweli ulio dhahiri kuwa wakati tukijenga uwezo wa kujitegemea, bado tunahitaji kuutumia vizuri ushirikiano wa kutegemeana na nchi rafiki na mashirika ya kimataifa. Tanzania haiwezi kuishi kama Kisiwa, hii ni Dunia ya kuhitajiana.
Trilioni Moja za MCC ni muhimu katika kuharakisha usambazaji umeme vijijini. Tanzania inataka kufikia hadhi ya kuwa nchi yenye uchumi wa kiwango cha kati kama ilivyo India na Malaysia ifikapo mwaka 2025 kwa mujibu wa Dira ya Taifa. Nchi hizi tunazotaka kuzifikia nazo zinajenga uwezo zaidi wa kimaendeleo kwa kutegemeana pia na nchi na washirika wengine wa kimaendeleo. Serikali isijifanye haitaki misaada wakati ukweli ni kuwa bado Bajeti yetu ya nchi inahitaji kusaidiwa na nchi rafiki. Ni wakati wa Serikali kuacha kauli za hovyo na kuchukua maamuzi magumu ya kujirekebisha kama ifuatavyo.

1. Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Dr. Mohamed Shein wanapaswa kuonyesha kuwa wanawapenda zaidi Watanzania kuliko wanavyovipenda vyeo vyao vya kulazimisha. Dk Shein akatae kuburuzwa, akatae kuanzia sasa kubeba laana ya dhuluma na kusababisha Tanzania na Zanzibar zitengwe. Namshauri achukue uamuzi wa kishujaa wa kujiuzulu urais haramu wa Zanzibar, ili apishe mazungumzo mapya ya kutafuta muafaka Zanzibar.

2. Serikali ilete muswada Bungeni wa kurekebisha Sheria ya Makosa ya Mitandaoni na Sheria nyingine zote kandamizi kama zilivyoainishwa na Tume ya Jaji Nyalali.

3. Serikali ianze bila kuchelewa kutekeleza mchakato wa kupata Katiba Mpya kwa kuanzia pale ilipoishia Tume ya Jaji Warioba, vinginevyo naonya kuwa madai na kishindo kipya cha vuguvugu la Katiba Mpya ambalo Wapinzani tunakusudia kulianzisha upya, linaweza kuiweka Tanzania katika picha mbaya.Tunaitaka serikali itupe ushirikiano katika kujenga demokrasia na utawala bora kwenye nchi hii.

Imetolewa Na:
Mchungaji Peter Simon Msigwa (Mbunge)
Waziri Kivuli - Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa

Very shocking mtu kuandika kitu kama hiki. Hata kama kule USA wale REPUBLICAN hawakubaliani na DEMOCRAT huwezi kuona au kusikia wale wa upinzani wanatoa maoni ya uhaini kwa taifa lao.
 
Mkuu hawa ni miongoni mwa wanasiasa wanaotaka mradi wa bomba la mafuta la Uganda lipitie Kenya ili tu kuikomoa serikali na kusahau kuwa wananchi ndiyo wanufaika!
 
Ni kweli fedha hizi zingeingia nchini kama ni dola za kimarekani kwa hivo zingesaidia kutunisha mfuko wetu wa fedha za kigeni na zingasaidia kuimarisha samani ya shillingi yetu .ila kwa sasa ndio shillingi yetu inaweza kuporomoka zaidi
 
Waache unafiki wao wa msaada kwa kuweka vikwazo ambavyo havina msingi. Kwani uchaguzi wa Zanzibar CUF chini ya SHARIF walizuiliwa kupiga kura?
Mwenye kosa ni SHARIF kwa kuwazuia wafuasi wake. Shame on them
http:// wewe cuf na sharifu sio watu wakuburuzwa buruzwa ni chama makini na ni mtu makini .zanzibar ilifanya uchaguzi wake 25 oct na cuf ilishinda na sharifu alishinda .uchaguzi mwengine wenu wa magendo hakuna anae ujua .
 
Nilidhani imetolewa na mzalendo, kumbe ni wagombania gori!
 
Kwa kweli Kauli ya Kambi ya Upinzani imetulia sio kauli zingine za kukurupuka, tatizo wao wameshiba na hawawajui wenye njaa. Ukweli utatuweka Huru
 
Wewe ni Waziri wa Mambo ya Nje kwa Uteuzi Upi? Serikali ya nchi gani?
 
Waziri kivuli anapaswa kutambua kwamba FURSA NI CHANGAMOTO,tumewahi kupata misaada kutoka kwa wahisani(fursa),lakini kama tunavyofahamu kwa kawaida hakuna cha bure,wanapotoa nao yapo wanayotegemea kutoka kwetu na bahati mbaya sana mengine ni kama yanaturudisha utumwani(changamoto) manake muhisani anapokudictate nchini mwako haina tofauti na utumwa.
lakini kwa bahati CHANGAMOTO NI FURSA pia.Kunyimwa pesa za MCC ni changamoto na sasa ni fursa ya kuangalia jinsi ya kusonga mbele bila kuwatumia wafadhili wa kiimla kama hawa,kwani athari za kuwakumbatia sana wafadhili ni kuendelea kudumaa huku nao wakitumia kudumaa kwetu kama faida kwao na kutuamrisha kadri wapendavyo.
MAISHA BILA MCC YANAWEZEKANA-LET US PLAY OUR PART.
Isipotufaa akili yetu...utatudhuru ujinga wetu.
 
Kwa Vyombo vya Habari.

Nimesikitishwa na Tanzania kukosa fedha za MCC ambazo zilikuwa ni muhimu sana katika kuharakisha upatikanaji wa umeme kwa Watanzania wa vijijini. Hata hivyo, ningependa kuweka wazi kuwa Tanzania haijaonewa hata kidogo kunyimwa msaada wa Shilingi Trilioni Moja na Shirika la Misaada la Marekani la MCC kama ilivyopotoshwa na Serikali. Kauli ya Waziri wa Mambo Nje, Balozi Agustine Mahiga, ya kuelezea “kushitushwa na kusikitishwa” na uamuzi wa Bodi ya MCC kusitisha msaada na mahusiano yake na Tanzania, ni kauli isiyo ya kidiplomasia, ya kinafiki na inayopaswa kupingwa kwa nguvu zote na kila Mtanzania mwenye kujali kujali utu, demokrasia, utawala bora na ushirikiano mwema baina ya Nchi hii na mataifa mengine.

Nikiwa ni Waziri wa Mambo Nje napinga upotoshwaji na utetezi uliotolewa na Serikali kwasababu zifuatazo;
1. Ni vema ikazingatiwa kuwa MCC inazingatia vigezo 17 katika kuchagua nchi inayostahili kupata msaada na miongoni mwa vigezo vya msingi kabisa ni nchi husika kuwa na dhamira ya dhati ya kuimarisha demokrasia na kuendesha chaguzi zilizo huru na haki. Na katika taarifa yake MCC ilieleza maeneo ambayo Tanzania imekiuka vigezo kuwa ni marudio ya uchaguzi haramu wa urais Zanzibar na kupitisha Sheria ya Makosa ya Mawasiliano ya Mitandaoni –“Cyber Crime”, sheria inayonyima uhuru wa wa kujieleza na uhuru wa kujumuika; nanukuu:

"Serikali ya Tanzania haijachukua hatua za kuhakikisha kuheshimiwa kwa uhuru wa kujieleza na uhuru wa kujumuika katika utekelezwaji wa sheria ya Uhalifu wa Mtandao.”

“Tanzania iliendelea na uchaguzi wa marudio Zanzibar ambao haukushirikisha wote na wala haukuakisi maoni ya wote, licha ya malalamiko kutoka kwa serikali ya Marekani na jamii ya kimataifa”, mwisho wa kunukuu.

Kwa mantiki hii, ni dhahiri kuwa Tanzania haikupaswa “kushitushwa” na uamuzi wa MCC. Serikali ilivifahamu vizuri na mapema vigezo vya kustahili kupewa misaada na MCC. Inashangaza na kusikitisha kuona Msomi na Mwanadiplomasia mzoefu kama Balozi Mahiga akilitia Taifa “Aibu ya Mwaka” kwa kulalamikia “kuonewa” na kutoa kauli za “hovyo” kama alivyozitoa.

Kauli ya Waziri Mahiga, za kukataa kukiri makosa yaliyo dhahiri yaliyofanywa na Serikali na Chama Chake (CCM), zinaweza kabisa kuuweka rehani uhusiano na ushirikiano mzuri wa kidiplomasia ambao Tanzania imekuwa ikiupata kutoka kwa nchi mbalimbali na mashirika ya kimataifa kama MCC. Tukiweka mbele maslahi ya nchi hii yakiwemo ya kudumisha mahusiano mazuri ya kimaendeleo na nchi nyingine, Kambi rasmi ya Upinzani tunaiomba MCC, Marekani na mataifa mengine kuzipuuza kauli za hovyo zilizotolewa na Waziri Mahiga, kwani haziakisi ustaarabu wa Watanzania.

2. Pili, Tanzania si Mbia mgeni kwa MCC. Tanzania ilishapokea awamu ya kwanza ya fedha za msaada kutoka MCC ambazo zilikuwa ni Dola za Marekani milioni 698. Fedha hizi zilitumika kwa ajili ya ujenzi wa barabara za Tunduma- Sumbawanga, Tanga-Horohoro na Namtumbo-Songea-Mbinga. Zilitumika pia kujenga upya mfumo wa huduma za maji kwa ajili ya miji ya Dar es Salaam na Morogoro na kusambaza umeme katika vijiji vya mikoa 10 ya Tanzania Bara. Zilitumika kutandaza njia ya pili ya kusafirisha umeme chini ya Bahari ya Hindi kati ya Bara na Tanzania Visiwani na kujenga barabara zote kuu za Kisiwa cha Pemba na baadhi ya barabara za Unguja kwa kiwango cha lami. Kwa namna yoyote ile isingewezekana kwa MCC walewale kuionea Tanzania ile ile waliyoisaidia katika awamu ya kwanza ya misaada yao. Ni dhahiri kuwa Nchi imepoteza sifa kwasababu zilizoelezwa – na kimsingi sababu zenyewe ni uchu na ulevi wa madaraka uliopitiliza unaofanywa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Serikali yake.

Hatua ya MCC kusitisha uhusiano na Tanzania ni ushahidi tosha kuwa hujuma za uchaguzi na ukiukwaji mkubwa wa demokrasia na utawala bora, unaofanywa na serikali ya CCM na ambao Wapinzani tumekuwa tukiulalamikia mara kwa mara sasa umefikia hatua mbaya zaidi kiasi cha kugusa hisia za jumuiya ya kimataifa.

Ni mtazamo wangu kuwa MCC na jumuiya ya kimataifa bado walichelewa sana kugundua “udhalimu” wa Serikali ya CCM, ambayo karibu mara zote imekuwa ikihujumu haki na uhuru wa watu kwenye chaguzi, na si kwa upande wa Zanzibar tu, bali pia na uchaguzi wa Jamhuri ya Muungano. Sheria kandamizi zilizopo Tanzania si hiyo ya “Cyber Crime” tu. Tume ya Jaji Francis Nyalali ilibainisha Sheria nyingi kandamizi na kushauri zifanyiwe mapitio ya kuziboresha lakini hadi leo “serikali isiyo ya kidemokrasia ya CCM” imeendelea kuzidumisha sheria hizo na kuongeza nyingine kama hii ya “Cyber Crime”. Natoa rai kwa jumuiya ya kimataifa kutokukubali kurubuniwa tena na serikali ya CCM na badala yake ishirikiane kwa karibu na Watanzania wote wazalendo katika kuboresha misingi ya utawala bora na demokrasia kwenye nchi hii.

3. Tatu, mabalozi wa nchi mbalimbali washirika wa maendeleo ikiwemo Marekani, walishatoa rai zaidi ya mara moja wakiionya na kuishauri Serikali ya Rais Kikwete na baadaye Rais Magufuli kuchukua hatua za kuutatua mgogoro wa uchaguzi wa Zanzibar. Aidha, walishauri mara kadhaa kuwa uchaguzi wa marudio usingeweza kuwa suluhu halali ya kumaliza tatizo la Zanzibar. Badala ya kuchukua hatua hasa za kukisihi Chama chake kuheshimu maamuzi halali ya wapiga kura wa Zanzibar yaliyofanywa Oktoba 25 mwaka jana, Rais wa Jamhuri ya Muungano, John Magufuli, alipuuza rai zote hizo na kwa kiburi cha hali ya juu alisema “hahusiki na suala la Zanzibar”.

Mbali na Mabalozi hao, hata aliyekuwa Waziri wa Mambo Nje wa Serikali ya Awamu ya Nne, Bernard Membe, alionya na kutoa tahadhari kuhusu suala la Zanzibar lilivyokuwa likichukuliwa kwa mzaha-mzaha, badala ya kutatuliwa kwa umakini. Matokeo yake ndiyo haya ya kutengwa na MCC. Inasikitisha kuona Serikali ya Magufuli ikiwa na uweledi finyu katika medani ya diplomasia ya kimataifa na kuupuza nchi rafiki.

Uamuzi wa MCC unapaswa kuchukuliwa kwa tahadhari kubwa na Serikali. Nchi nyingi rafiki ni nchi zinazosimamia misingi ya utawala bora na demokrasia na zilishaonyaonyesha kutoridhishwa na suala la Zanzibar na Sheria ya Cyber Crime. Naonya kuwa upo uwezekano kwa nchi wahisani, kila moja kwa nafasi yake, kuchukua uamuzi kama uliochukuliwa na MCC wa kusitisha ushirikiano wa kimaendeleo na Tanzania, kama hatua za dharura hazitachukuliwa kurekebisha hali ya mambo

USHAURI KWA SERIKALI
Kambi rasmi ya Upinzani siku zote tumekuwa msitari wa mbele kuitaka serikali na vyombo vyake ijenge uwezo endelevu wa kujitegemea. Hata hivyo, ni ukweli ulio dhahiri kuwa wakati tukijenga uwezo wa kujitegemea, bado tunahitaji kuutumia vizuri ushirikiano wa kutegemeana na nchi rafiki na mashirika ya kimataifa. Tanzania haiwezi kuishi kama Kisiwa, hii ni Dunia ya kuhitajiana.
Trilioni Moja za MCC ni muhimu katika kuharakisha usambazaji umeme vijijini. Tanzania inataka kufikia hadhi ya kuwa nchi yenye uchumi wa kiwango cha kati kama ilivyo India na Malaysia ifikapo mwaka 2025 kwa mujibu wa Dira ya Taifa. Nchi hizi tunazotaka kuzifikia nazo zinajenga uwezo zaidi wa kimaendeleo kwa kutegemeana pia na nchi na washirika wengine wa kimaendeleo. Serikali isijifanye haitaki misaada wakati ukweli ni kuwa bado Bajeti yetu ya nchi inahitaji kusaidiwa na nchi rafiki. Ni wakati wa Serikali kuacha kauli za hovyo na kuchukua maamuzi magumu ya kujirekebisha kama ifuatavyo.

1. Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Dr. Mohamed Shein wanapaswa kuonyesha kuwa wanawapenda zaidi Watanzania kuliko wanavyovipenda vyeo vyao vya kulazimisha. Dk Shein akatae kuburuzwa, akatae kuanzia sasa kubeba laana ya dhuluma na kusababisha Tanzania na Zanzibar zitengwe. Namshauri achukue uamuzi wa kishujaa wa kujiuzulu urais haramu wa Zanzibar, ili apishe mazungumzo mapya ya kutafuta muafaka Zanzibar.

2. Serikali ilete muswada Bungeni wa kurekebisha Sheria ya Makosa ya Mitandaoni na Sheria nyingine zote kandamizi kama zilivyoainishwa na Tume ya Jaji Nyalali.

3. Serikali ianze bila kuchelewa kutekeleza mchakato wa kupata Katiba Mpya kwa kuanzia pale ilipoishia Tume ya Jaji Warioba, vinginevyo naonya kuwa madai na kishindo kipya cha vuguvugu la Katiba Mpya ambalo Wapinzani tunakusudia kulianzisha upya, linaweza kuiweka Tanzania katika picha mbaya.Tunaitaka serikali itupe ushirikiano katika kujenga demokrasia na utawala bora kwenye nchi hii.

Imetolewa Na:
Mchungaji Peter Simon Msigwa (Mbunge)
Waziri Kivuli - Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
haya mchungaji feki nae eti ametoa tamko
 
NIMEMUONA MSIGWA AKIJITUTUMUA KUWA TANZANIA HAIWEZI KUJITEGEMEA BILA MISAADA!!!!! SHAME ON YOU MSIGWA!!!!! HIVI MPAKA INAITWA NCHI INAMAANA INAKILA SIFA PAMOJA NA KUJITEGEMEA KWA KILA KITU YAANI KIUCHUMI, KISIASA NA KIJAMIII!!!! POLE SANA MSIGWA ILA WEWE NA WENZAKO NI AIBU KUWA NA VIONGOZI KAWA NINYI AMBAO AKILI ZENU HAZIELEWEKI MARA MSEME HOO MARA HOOO ITS KINDA FOOLISH MIND EVER!!!

TANZANIA INA MAJESHI....TANZANIA INA MIPAKA....TANZANIA INA SARAFU YAKE...TANZANIA INA UTAMADUNI WAKE..TANZANIA INA vivutio vingi sana!!!! MPAKA HAPO TU INAONESHA TANZANIA INAJITEGEMEA KWA KILA KITU...,NI AIBU KUBWA KWA KIONGOZI KAMA MSIGWA KUSEMA KUWA TANZANIA HAIWEzi JITEGEMEA PASIPO HELA ZA MASHARITI ZA WAMAREKANI ZA MCC???? HUU NI UPUUZI WA MWAKA!!! UKIWAPA NCHI VIONGOZI KAMA MSIGWA NI SAWA NA KUMPA NYUMBU AITAWALE NCHI!!!!

UNAKUWA BABA MWENYE FAMILIA ETI UNASEMA FAMILIA AMA WATOTO WAKO WATAKUFA NJAA MAANA HUWEZI LEA FAMILIA YAKO BILA YA KUPEWA MISAADA NA MAJIRANI ILIHALI UMZIMA WA AFYA NJEMA????

MSIWA NA WENZAKO NDIYO NINYI MNAOWEZA HALALISHA MAMBO YA KISHOGA AMA NDOA ZA JINSIA MOJA ZIINGIE NCHINI KISA TU UNATAKA UPEWE MSAADA !!!!! KWELI AKILI NI .....
.KILA MTU ........

.MBONA AKINA MSIGWA HAWAJAWAHI LAANI KAULI YA DONALD TRUMP JUU YA DINI YA KIISLAM?

MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU IBARIKI AFRICA!!!!!!!

TANZANIA NI NCHI HURU KAMA NCHI NYINGINE!!!!!
 
Eeeeeeh!Unajichanganya changanya mwenyewe matusi nini!Sio jambo jema sana kutukana tena viongozi.Jiongeze mwana!Kuna tofauti kati ya sovereign state na kujitegemea.
 
NIMEMUONA MSIGWA AKIJITUTUMUA KUWA TANZANIA HAIWEZI KUJITEGEMEA BILA MISAADA!!!!! SHAME ON YOU MSIGWA!!!!! HIVI MPAKA INAITWA NCHI INAMAANA INAKILA SIFA PAMOJA NA KUJITEGEMEA KWA KILA KITU YAANI KIUCHUMI, KISIASA NA KIJAMIII!!!! POLE SANA MSIGWA ILA WEWE NA WENZAKO NI AIBU KUWA NA VIONGOZI KAWA NINYI AMBAO AKILI ZENU HAZIELEWEKI MARA MSEME HOO MARA HOOO ITS KINDA FOOLISH MIND EVER!!!

TANZANIA INA MAJESHI....TANZANIA INA MIPAKA....TANZANIA INA SARAFU YAKE...TANZANIA INA UTAMADUNI WAKE..TANZANIA INA vivutio vingi sana!!!! MPAKA HAPO TU INAONESHA TANZANIA INAJITEGEMEA KWA KILA KITU...,NI AIBU KUBWA KWA KIONGOZI KAMA MSIGWA KUSEMA KUWA TANZANIA HAIWEzi JITEGEMEA PASIPO HELA ZA MASHARITI ZA WAMAREKANI ZA MCC???? HUU NI UPUUZI WA MWAKA!!! UKIWAPA NCHI VIONGOZI KAMA MSIGWA NI SAWA NA KUMPA NYUMBU AITAWALE NCHI!!!!

UNAKUWA BABA MWENYE FAMILIA ETI UNASEMA FAMILIA AMA WATOTO WAKO WATAKUFA NJAA MAANA HUWEZI LEA FAMILIA YAKO BILA YA KUPEWA MISAADA NA MAJIRANI ILIHALI UMZIMA WA AFYA NJEMA????

MSIWA NA WENZAKO NDIYO NINYI MNAOWEZA HALALISHA MAMBO YA KISHOGA AMA NDOA ZA JINSIA MOJA ZIINGIE NCHINI KISA TU UNATAKA UPEWE MSAADA !!!!! KWELI AKILI NI .....
.KILA MTU ........

.MBONA AKINA MSIGWA HAWAJAWAHI LAANI KAULI YA DONALD TRUMP JUU YA DINI YA KIISLAM?

MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU IBARIKI AFRICA!!!!!!!

TANZANIA NI NCHI HURU KAMA NCHI NYINGINE!!!!!
Asante, ila kumbuka kutumia herufi kubwa panapohusika.........
 
Very shocking mtu kuandika kitu kama hiki. Hata kama kule USA wale REPUBLICAN hawakubaliani na DEMOCRAT huwezi kuona au kusikia wale wa upinzani wanatoa maoni ya uhaini kwa taifa lao.

Ama CHADEMA hawana mawasiliano wenyewe kwa wenyewe au Msigwa anapingana na Mwenyekiti wake, Mbowe.
Tarehe 13 September 2015 akiwa kwenye viwanja vya Polisi Nzega wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu, Mbowe alisema hivi, " Nchi hii ni tajiri sana lakini kutwa kucha kulialia msaada MCC Millenium, Watanzania leo hawapati umeme hadi tuombe MCC, ichagueni Chadema hatutagemea wafadhili na masharti yao, tutajenga nchi ya kujitegemea"

Msigwa leo anaongea nini?
 
Back
Top Bottom