Tamko la kamati kuu ya CHADEMA kuhusu mchakato wa katiba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tamko la kamati kuu ya CHADEMA kuhusu mchakato wa katiba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Msanii, Nov 21, 2011.

 1. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #1
  Nov 21, 2011
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Wakuu nawakilisha kama ilivyo.

  MY TAKE: Watanzania wakiamshwa mapema ktk hili (Sijui CHADEMA wamepanga lini kuanza hiyo mikutano na maandamano) naamini watawala hawatakuwa na ujanja zaidi ya kuurisha tena Bungeni ili kufikia muafaka.
   
 2. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #2
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Tamko la ukwel na uhakika
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Nov 21, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  At LAST Thank you Mbowe!
  Usanii wa ccm serikali utakwama very soon!
  Wakuu wetu tutakuwa bega kwa bega nanyi!
   
 4. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #4
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Nimelipata vyema sana hilo.Kazi kulitekeleza tu.Magamba yatakuwa yameshtuka.
   
 5. M

  Mzee Busara Senior Member

  #5
  Nov 21, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 113
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiki ndicho kilikuwa kinategemea sikutegemea chadema wangesema vinginevyo. Enedeleeni na maazimio hayo lakini msiwaumize wananchi
   
 6. M

  Mzee Busara Senior Member

  #6
  Nov 21, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 113
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tamko hili litatuingiza vitani kama ccm na chadema hawatakaa mezani kupata muafaka
   
 7. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #7
  Nov 21, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,610
  Likes Received: 82,191
  Trophy Points: 280
  Ahsante sana Mkuu kwa kuweka hii kitu hapa jamvini. Hongera sana Mbowe kwa kusisitiza mtafanya lolote lile kwa njia za amani katika kuhakikisha katiba inayopatikana inakubaliwa na Watanzania walio wengi.
   
 8. Raia Mwema

  Raia Mwema JF-Expert Member

  #8
  Nov 21, 2011
  Joined: Jun 30, 2008
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ccm inatoa tamko chadema inatoa tamko mnatuchosha tuchague lipi? tengenezeni utaifa katika mjadala huu
   
 9. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #9
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  idumu chadema
  sisi ndio tuliothubutu.... na tutaweza....
  hao wanaimba tuu
  tuko pamoja
   
 10. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #10
  Nov 21, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Kamati Kuu ya CCM nayo itakuja na yake, ndio maana walimwita Shibuda akawasaidie ya ndani ya Chadema?!
   
 11. Raia Mwema

  Raia Mwema JF-Expert Member

  #11
  Nov 21, 2011
  Joined: Jun 30, 2008
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yupi mkweli chadema au ccm? tuchangie kwa hoja kuzichambua hoja zote za pande mbili ili kupata jibu sahihi
   
 12. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #12
  Nov 21, 2011
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  ngoma inogile
   
 13. Raia Mwema

  Raia Mwema JF-Expert Member

  #13
  Nov 21, 2011
  Joined: Jun 30, 2008
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa tamko hili maafa makubwa yaja
   
 14. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #14
  Nov 21, 2011
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  uchambue kipi ambacho hakifahamiki inamaana siku zote hizi ulikuwa hufuatilii?
   
 15. Raia Mwema

  Raia Mwema JF-Expert Member

  #15
  Nov 21, 2011
  Joined: Jun 30, 2008
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hoja hizi zingetolewa bungeni pengine zingesaidia kuleta muafaka kama chadema wasingesusia bunge
   
 16. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #16
  Nov 21, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Wananchi walio wengi ambao ndio walioichagua CCM..lolz @ these punks
   
 17. A

  AzimiolaArusha Senior Member

  #17
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45  I am a CCM Member and leader ila for this, this is laterally true kabisa, Watanzania tunatakiwa kutokuunga mkono hii sheria, tunarudi kulekule tulikotoka, we are heading shimoni!!!! this law must be rejected by hook and crooks!​
   
 18. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #18
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,421
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 180
  tamko la kweli....afadhali mmetoka vyema!
   
 19. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #19
  Nov 21, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Aisee!:A S embarassed:
   
 20. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #20
  Nov 21, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Unasema bunge lipi hili la Makinda?
   
Loading...