Tamko la Jumuia la MAIMAMU Z'Bar kuhusu Uvunjaji wa Amani Vilivyotokea kwenye Jimbo la BUBUBU

QUOTE=nngu007;4691671]
Ina Maana BUBUBU ni Waislamu tupu ? Kwanini hata Wasianze na Ndugu Waislamu halafu Wananchi wote

kwa Ujumla!!! Kweli huu sio UBAGUZI ?

* LOVE COMES NATURALLY; HATE IS TAUGHT...
:wink::wink::wink:Hata makafiri kwani wamezuiwa kutoa tamko?[/QUOTE]

Kwanini Unatumia neno Makafiri (Unbelievers) ? Hiyo ndiyo chuki kila mtu anamuamini MUNGU

Ndio hapo hata Sunni Muslims wanawaita Wahabi Muslims Makafiri; Hiyo ni chuki... kwasababu wewe ni

SUNNI? Angalia Sunni pia ni kwanini wanawaita Shiite kuwa hadi leo ndio wamesababisha vifo vya
Sahaba na

Ahle Bayt? ... Inaonyesha wewe ni SUNNI

Sasa hapo ndio nashangaa Makafiri pia wapo ndani ya Waislamu tofauti tu kwa MADHEHEBU ?

Hii ni kuonyesha JINSI ulivyo FANATIC Wakati Allah's is a messenger wa Amaini na Upendo

Allah's (Peace be upon him).
 
Ni kiarabu na maana yake kwa kiswahili ni "amani iwe juu yako/yenu"(peace be upon you)

Sasa kwanini wasitumie tu kiswahili "amani iwe juu yako/yenu" badala ya "Assalaamu alaykum" ?
Naomba kujua maana ya "warahmatullaah"
 
Wamarekani wakiwaambia ukwel mnalialia tu,mschokijua ni kwamb hayo ndo maisha mnaemwabudu aliyowapangia.period.
 
QUOTE=nngu007;4691671]
Ina Maana BUBUBU ni Waislamu tupu ? Kwanini hata Wasianze na Ndugu Waislamu halafu Wananchi wote

kwa Ujumla!!! Kweli huu sio UBAGUZI ?

* LOVE COMES NATURALLY; HATE IS TAUGHT...
:wink::wink::wink:Hata makafiri kwani wamezuiwa kutoa tamko?[/QUOTE]
:amen::amen:
Mimi Kafiri nasema kwamba hilo tamko halinihusu.
 
Mimi hapa ndio huwa siwafahamu [baadhi ya] Waislamu wenzangu. Kwa mafundisho niliyopewa. moja ya imani za Uislamu ni kuwatambua na kuwaheshimu mitume wote wa Mwenyezi Mungu. Kuwatambua na kuwaheshimu ni pamoja na uwepo wao na dini zao, katika hao ni Mitume waliopewa vitabu na dini zao - "Tunamuamini Mwenyezi Mungu, na katika yale yaliyo teremshwa kwetu na yaliyo teremshwa kwa Ibrahim, Ismail, Isaka, Yakub, na makabila, na [tunaamini] katika (Vitabu waliyopewa) Musa, Yesu, na manabii, kutoka kwa Mola wao. Hatutafautishi baina ya mmoja na mwingine miongoni mwao ." [Surah 3:84]. Sasa kusema kuwa Mtume Muhammad ameletwa kuzishinda dini nyengine, dini za hao hao ambao imani yetu inatulazimisha kuwatambua na kuwaheshimu, lakini sisi tunageuka na kuwaita makafiri na kutaka kulazimisha imani yetu juu ya wengine. Iko wapi amani na kuvumiliana ambavyo ndio maana na msingi wa Uislamu?

Kama kweli wewe ni muisilamu basi naona kama umechanganya mambo hapa.Ulianza vizuuri kuhusu matamko ya jazba ambayo hata mimi kidogo imenifanya nijisikie tofauti.Lakini hapa unaonyesha ujuzi wako wa kuwafahamu mitume ni tofauti na uisilamu unavowatambua.Kwani ktk uisilamu unawatambua mitume hao kama waisilamu na sio kutoka ktk dini tofauti na ndio maana sisi waisilamu tunaikubali Quraan,Tourati,Injili na Zaburi.Ingekuwa mitume hawa hawakutambulika kiisilamu tusingevipokea vitabu hivi na hivo tungebakia na kimoja tu ambayo ni Quraan.All in all huwa sipendi mtu kukashifu dini za watu na nadhani wanasiasa wetu ndio wanasababisha udini ktk nchi hii.
 
:wink::wink::wink:Hata makafiri kwani wamezuiwa kutoa tamko?

Kwanini Unatumia neno Makafiri (Unbelievers) ? Hiyo ndiyo chuki kila mtu anamuamini MUNGU

Ndio hapo hata Sunni Muslims wanawaita Wahabi Muslims Makafiri; Hiyo ni chuki... kwasababu wewe ni

SUNNI? Angalia Sunni pia ni kwanini wanawaita Shiite kuwa hadi leo ndio wamesababisha vifo vya
Sahaba na

Ahle Bayt? ... Inaonyesha wewe ni SUNNI

Sasa hapo ndio nashangaa Makafiri pia wapo ndani ya Waislamu tofauti tu kwa MADHEHEBU ?

Hii ni kuonyesha JINSI ulivyo FANATIC Wakati Allah's is a messenger wa Amaini na Upendo

Allah's (Peace be upon him).
[/QUOTE]
Mkuu, natumia hii * LOVE COMES NATURALLY; HATE IS TAUGHT.. kama signature yangu.......natumaini huto mind..
 
Ina Maana BUBUBU ni Waislamu tupu ? Kwanini hata Wasianze na Ndugu Waislamu halafu Wananchi wote

kwa Ujumla!!! Kweli huu sio UBAGUZI ?

* LOVE COMES NATURALLY; HATE IS TAUGHT...

Taabu ya baadhi ya waislam ni kujiona wao ndiyo walio karibu na Mungu na kwamba wao wana haki zaidi katika mifumo ya kiutawala!

Napenda watambue kuwa hata mtu mmoja asiye muislam ana haki sawa katika maslahi ya Taifa!
 
Kwanini Unatumia neno Makafiri (Unbelievers) ? Hiyo ndiyo chuki kila mtu anamuamini MUNGU

Ndio hapo hata Sunni Muslims wanawaita Wahabi Muslims Makafiri; Hiyo ni chuki... kwasababu wewe ni

SUNNI? Angalia Sunni pia ni kwanini wanawaita Shiite kuwa hadi leo ndio wamesababisha vifo vya
Sahaba na

Ahle Bayt? ... Inaonyesha wewe ni SUNNI

Sasa hapo ndio nashangaa Makafiri pia wapo ndani ya Waislamu tofauti tu kwa MADHEHEBU ?

Hii ni kuonyesha JINSI ulivyo FANATIC Wakati Allah's is a messenger wa Amaini na Upendo

Allah's (Peace be upon him).
Mkuu, natumia hii * LOVE COMES NATURALLY; HATE IS TAUGHT.. kama signature yangu.......natumaini huto mind..[/QUOTE]

OK, Hakuna Tatizo ...
 
Mimi hapa ndio huwa siwafahamu [baadhi ya] Waislamu wenzangu. Kwa mafundisho niliyopewa. moja ya imani za Uislamu ni kuwatambua na kuwaheshimu mitume wote wa Mwenyezi Mungu. Kuwatambua na kuwaheshimu ni pamoja na uwepo wao na dini zao, katika hao ni Mitume waliopewa vitabu na dini zao - "Tunamuamini Mwenyezi Mungu, na katika yale yaliyo teremshwa kwetu na yaliyo teremshwa kwa Ibrahim, Ismail, Isaka, Yakub, na makabila, na [tunaamini] katika (Vitabu waliyopewa) Musa, Yesu, na manabii, kutoka kwa Mola wao. Hatutafautishi baina ya mmoja na mwingine miongoni mwao ." [Surah 3:84]. Sasa kusema kuwa Mtume Muhammad ameletwa kuzishinda dini nyengine, dini za hao hao ambao imani yetu inatulazimisha kuwatambua na kuwaheshimu, lakini sisi tunageuka na kuwaita makafiri na kutaka kulazimisha imani yetu juu ya wengine. Iko wapi amani na kuvumiliana ambavyo ndio maana na msingi wa Uislamu?
Hakika sijawahi kuona Muislam aliye sincere, objective, transparent, loving, caring, na muungwana kama Mammamia. Wenzako wako kama Sheikh Ponda Mali Kifo chaja! Wanatumia falsafa ya "Nguvu kwanza Akili baadaye". Laiti kama Waislam wote wangekuwa na maono na upeo kama wako, hakika hata Dini yenu hiyo Tukufu Ingekuwa na thawabu zaidi mbele za Mwenyezi Mungu.
 
Kama kweli wewe ni muisilamu basi naona kama umechanganya mambo hapa.Ulianza vizuuri kuhusu matamko ya jazba ambayo hata mimi kidogo imenifanya nijisikie tofauti.Lakini hapa unaonyesha ujuzi wako wa kuwafahamu mitume ni tofauti na uisilamu unavowatambua.Kwani ktk uisilamu unawatambua mitume hao kama waisilamu na sio kutoka ktk dini tofauti na ndio maana sisi waisilamu tunaikubali Quraan,Tourati,Injili na Zaburi.Ingekuwa mitume hawa hawakutambulika kiisilamu tusingevipokea vitabu hivi na hivo tungebakia na kimoja tu ambayo ni Quraan.All in all huwa sipendi mtu kukashifu dini za watu na nadhani wanasiasa wetu ndio wanasababisha udini ktk nchi hii.

Tupe aya...Mwenzio katoa aya.
 
jamani, acheni kuujadili uislam wakati hamuujui.
Mtakufuru bure manake mnaongelea msilo na elimu nalo.
Bora mtu uulize ueleweshwe kuliko kutolea maeleze kitu usicho kijua.
Mtajikuta mnakashif na kutukana buru, jama wewe sio muislam uliza ueleweshwe na sio kutoa maelezo.
Na kama wewe ni muislam ongea lile unalo lijua kwa dalili ya quran na sunnah.

Dini ya uislam haiendeshwi kwa maoni, mtazamo au fikra za mtu bali kwa misingi ya Quran na mafundisho ya mtume wetu.
 
Kwanini Unatumia neno Makafiri (Unbelievers) ? Hiyo ndiyo chuki kila mtu anamuamini MUNGU

Ndio hapo hata Sunni
Hii ni kuonyesha JINSI ulivyo FANATIC Wakati Allah's is a messenger wa Amaini na Upendo
Allah's (Peace be upon him).[/FONT][/SIZE][/COLOR][/QUOTE]

MKUU USIPOTOSHE, SI KILA MTU ANAAMINI UWEPO WA MUNGU, WAPO WANAOMUABUDU SHETANI (FREEMASON) NA WANAOPINGA KABISA UWEPO WA MWENYEZI MUNGU (BAADHI YA WANASAYANSI).

PILI USIONGEE USICHOKIJUA, UNAUSEMEA UISLAM WAKATI HAUUJUI.
ALLAH (subuhana wataala) SIO messenger, ALLAH ndio MWENYEZI MUNGU KWA MUJIBU WA UISLAM.

3. Kuna wanao amini uwepo wa mungu lakini mungu asie ALLAH kama wanaoabudu watu, n'gombe au sanamu na kuwaita mungu, hao kwa mujibu wa uislam ni MAKAFIR, yoyote yule asomuabudi/kumuamini ALLAH yeye ni KAFIR, hayo ndo mafundisho ya uislam.
 
Mkuu MAMMAMIA kama kweli wewe ni muislam tafuta mwalimu akufundishe dini yako, ulichoeleza ni kinyume na mafundisho na imani ya kiislam.
 
Kama kweli wewe ni muisilamu basi naona kama umechanganya mambo hapa.Ulianza vizuuri kuhusu matamko ya jazba ambayo hata mimi kidogo imenifanya nijisikie tofauti.Lakini hapa unaonyesha ujuzi wako wa kuwafahamu mitume ni tofauti na uisilamu unavowatambua.Kwani ktk uisilamu unawatambua mitume hao kama waisilamu na sio kutoka ktk dini tofauti na ndio maana sisi waisilamu tunaikubali Quraan,Tourati,Injili na Zaburi.Ingekuwa mitume hawa hawakutambulika kiisilamu tusingevipokea vitabu hivi na hivo tungebakia na kimoja tu ambayo ni Quraan.All in all huwa sipendi mtu kukashifu dini za watu na nadhani wanasiasa wetu ndio wanasababisha udini ktk nchi hii.

mkuu ndiomana nimemshauri arudi akasome, uelewa wake ni kinyume na mafundisho ya uislam.
 
Sasa kwanini wasitumie tu kiswahili "amani iwe juu yako/yenu" badala ya "Assalaamu alaykum" ?
Naomba kujua maana ya "warahmatullaah"

warahmatullah-na rehma zake mwenyezi mungu...salamu hii haitumiki kiswahili kwani ni Global salutation ya waislam kokote ulimwenguni
 
Mimi hapa ndio huwa siwafahamu [baadhi ya] Waislamu wenzangu. Kwa mafundisho niliyopewa. moja ya imani za Uislamu ni kuwatambua na kuwaheshimu mitume wote wa Mwenyezi Mungu. Kuwatambua na kuwaheshimu ni pamoja na uwepo wao na dini zao, katika hao ni Mitume waliopewa vitabu na dini zao - "Tunamuamini Mwenyezi Mungu, na katika yale yaliyo teremshwa kwetu na yaliyo teremshwa kwa Ibrahim, Ismail, Isaka, Yakub, na makabila, na [tunaamini] katika (Vitabu waliyopewa) Musa, Yesu, na manabii, kutoka kwa Mola wao. Hatutafautishi baina ya mmoja na mwingine miongoni mwao ." [Surah 3:84]. Sasa kusema kuwa Mtume Muhammad ameletwa kuzishinda dini nyengine, dini za hao hao ambao imani yetu inatulazimisha kuwatambua na kuwaheshimu, lakini sisi tunageuka na kuwaita makafiri na kutaka kulazimisha imani yetu juu ya wengine. Iko wapi amani na kuvumiliana ambavyo ndio maana na msingi wa Uislamu?

MAMMAMIA ebu kidogo rejea darasani dah hapa umejichanganyaje?
 
Last edited by a moderator:

tehe tehe tehe tehe hii dhambi itawatafuna sana.hapo kwenye red
 
subirini siku ya kiama tutajua ukweli wote kwani situtakuwepo tutawaona makafiri na wenye dini zenu za haki hili suala lina maamuzi ya kimungu zaidi hakuna anayejua life after death inakuwaje hakuna aliyekwenda akarudi.namwomba mungu nione siku ya mwisho mie .hizi za blablabla zitasahaulika .ila kuna imani nyingine kweli ni tishio sana hata maneno hayana upako wa mungu hayaonyeshi heshima ya mungu kwao,unajumuisha maneno ya mungu na matusi.ni mbaya sana kudharau imani za wengine Bajabiri mkuu nimekosea mimi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom