Tamko la JK dhidi ya wahamiaji haramu siku 3 zimebaki,Mkuu wa mkoa wa Kagera ameripoti haya

Alafu msichanganye madesa.Hii si operation ya kwanza kubwa dhidi ya Wanyarwanda.
Mkapa alifanya operation ya kijeshi ikiongozwa na JWTZ na FFU na helcopta juu hadi mpakani.
Tatizo wanajua kilema chetu baada ya muda watarudi kama kawaida ndio maana safari hii hawajauza kwa wingi mifugo na mashamba kama kipindi cha Mkapa wamewaachia rafiki na jamaa zao.
Mipaka yetu ipo wazi sana.

Ni kweli, mifugo na mashamba, majengo, maduka wamewaachia Watanzania marafiki zao. Na kama unavyofahamu Tanzania ni watu wa matukio. Likipita hili mwezi mmoja wamejaa tena maeneo yao. Haya yote ni kwa sababbu ya viongozi watanzania wasiofuatilia wala kuzingatia sheria achilia mbali za uhamiaji. Viongozi wa kijiji, kata, tarafa, maofisa wilayani (hapa ni pamoja na DED, Migration, DC,etc), RC, uhamiaji mipakani kote huko ni chukua chako mapema! Kabla ya ziara ya Kikwete mkoani Kagera nilikuwa naongea na baadhi ya marafiki zangu kwamba hivi mkuu wa mkoa anafanya kazi gani? Nikasema ningekuwa mkuu wa Mkoa ningeanzaisha operation takatifu kijiji hadi kijiji kila wilaya na kusafisha wahamiaji halamu wote. Mazingira yameharibika sana kwa sababu ya mifugo mingi hadi kwenye hifadhi za Taifa (vyombo vya habari vimereport haya lakini hakuna anayechukua hatua hata za muda)! Kwa aliyewahi kutembelea mikoa ya kanda ya ziwa miaka 10 iliyopita hatashangaa hiki ninachokizungumzia (uharibifu wa mazingira). Upande wa idadi ya watu, idadi ya watu katika kila wilaya inaongeza kwa kasi ya ajabu na si ofisi ya takwimu wilaya, Madiwani au hata DED wote hakuna anayejaribu kufikiria ongezeko la watu likoje na kwa sababu gani? Watu hawa hutuongezea gharama ya kuendesha nchi. Kama kweli Masawe anataka kumuunga mkono Rais,
1. Aombe vitabu vya orodha ya wananchi kwa kila kijiji kisha achukue muda kuhakiki majina hayo.
2. Aaulize viongozi wampatie majina na idadi ya wananchi wapya mfano waliongezeka ndani ya miaka 15 ya hivi karibuni kisha ahakiki kwa kuuliza katika mikutano ya hadhara kwamba huyu au yule katoka wapi na kama anafahamika kwa wanakijiji wenzake,
3. Katika orodha hiyo achukue muda kuhakiki kama vielezo vyote muhimu kwa mujibu wa taratibu sheria za uhamiaji kama zilizingatiwa. Awaulize Wananchi kama mkutano mkuu wa kiji uliitishwa kuidhinisha maombi ya wahamiaji husika na kama 'korum' ilitimia?

HAYO NI MACHACHE AMBAYO KAMA MIMI NINGEKUWA HATA MKUU WA WILAYA NINGEYAFANYA BILA AJIZI!
 
Mkuu wa mkoa wa Kagera kanali mtaafu FABIANI MASSAWE akihojiwa na Radio One katika kipindi cha NIPASHE amesema kuwa Bunduki 14 zimesalimishwa, mamia ya wahimiaji haramu wanazidi kuondoka kurudi makwao, zaidi ya mifugo Ng'ombe 5000 wanasagwa kuelekea mipakani.

Wakati huo huo Vikosi vya ulinzi vya majeshi ya ulinzi na usalama, Jeshi la JW, polisi, jeshi la uhamiaji, Magereza na usalama wa Taifa tayari wameshawasili mkoani Kagera kwa ajili ya utekelezaji wa operation hiyo iliyoagizwa na Raisi, wengi ya wahamiaji haramu wanaonekana wanatoka Rwanda aliitaarifu radio one mkuu wa mkoa huyo.

Ametahadharisha pia mara baada ya muda uliotangazwa na Rais kuisha kitakachofuata ni ukaguzi wa Nyumba hadi nyumba ili kuwabaini wahamiaji haramu na baadae hatua za kisheria zitafuata

My take
Kagame kapata pigo kabla hata hajaguswa kwani wengi wa wahamiaji haramu wanatoka Rwanda hivyo basi wao hadi sasa wanajua kua wanahamishwa Tanzania kwa sababu ya ukorofi wa dictator wao

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
YES KAGAME!
"It's an IDEOLOGICAL PROBLEM an NOW is the TIME TO DEAL WITH IT!"
 
Habari Ndugu El-cohel,
Natamani kama nitoe pongezi kwa hatua hiyo ya Rais ( mtanisamehe kwa kutomwita Mheshimiwa, ni kwa kuwa nafahamu watu hawamheshimu tena siku hizi) hata hivyo napata kigugumizi kwa sababu nyingi kidogo. Let me see:

Najaribu kufikiria kama ilikuwaje hawa Wanyarwanda walikuwa humu at first place. Waliingiaje? Can somebody please tell me loudly uhamiaji walikuwa wapi na wanafanya kazi gani? Tunaweza kujivunia usalama wa mipaka yetu kwa mtindo huo? Ni kwa nini hii nchi imekuwa ni nchi "rahisi sana " kwenda na inayoingilika kijingajinga kuliko nchi zote? Ni kwa nini kwenda China kwa mfano, ni ngumu mpaka " wameamua kuwaletea soko la china hapa halafu kwetu kuja ni rahisi mpaka Wachina wamejaa Tandale na Kariakoo wanauza mpaka mahindi ya kuchoma?"

Halafu na hawa Wakuu wa Mkoa na Maafisa usalama wanaoteuliwa walikuwa wapi? Hawa Maafande wa JWTZ na Immigration walikuwa wapi? Mimi naona harufu ya system failure kutoka juu mpaka chini.

Mbaya zaidi ni kwamba KUNA WAGENI WENGI SANA WAMEJAZANA HUMU NCHINI, wengine wanatafuta riziki tu wengine majasusi. Wengine magaidi wamekimbia makwao na wengine wameamua kuja kuwekeza kwa sababu ni nchi isiyo na kodi wala utaratibu! Nchi gani hii?

Lakini sipati jibu ninapokuja kwenye mkwara wa Rais. Ni kwa nini asubiri mpaka agombane na His Excelence Kagame? Na kumbe alikuwa anajuwa wapo wahamiaji kibao ila akawa kimya? Na huu ndiyo uongozi gani? Mbona napatwa na kigugumizi kumalizia kufikiria kiwango cha uzalendo wa Viongozi wetu?

Let me say this: Ninachoona kutokana na sakata lote la uhamiaji ni ukosefu wa uzalendo na kupuuzia mambo ya msingi. otherwise alivyoongea Rais ni wazi alikuwa anajua kuna mijitu kibao ya nje humu. Hawa "wazungu" wanaoingia kila kukicha wanaonekana ila kwa kukosa uadilifu, uzalendo na kuabudu rushwa kupita kiasi tunawaacha waendelee kuja tu. Lakini kinachoniuma ni FAILURE ya SERIKALI YA CCM KATIKA KULINDA MIPAKA YETU. Hii ni aibu kwa Walinzi wa mipaka yetu JWTZ, na Idara ya Uhamiaji Tanzania. Ni kushindwa kazi kwa Usalama wa Taifa na ni kufeli kwa TAKUKURU...(kwa sababu bila rushwa hawangekuwepo humu)

Kwa hiyo: kwa kuwa SERIKALI YA CCM IMESHINDWA KULINDA MIPAKA YETU, na kwa kuwa ni kutoka ngazi ya juu mpaka chini. Nikimaanisha kuanzia Rais na wasaidizi wake wote, mimi nadhani hatua ya Rais ya juzi ilitokana na jazba tu ya bifu la shombo za Kagame (don't get me wrong sijasema Kagame was right) na siyo nia ya dhati ya uwajibikaji.

Ningekuwa mimi in his shoes ningeshawawajibisha wakuu wa mikoa na wilaya zote za mipaka inayoingiza watu hovyo (kuwabaini ni rahisi kama unavyosikia Kagera sasa!), Ma RSO na Wakuu wa Brigedi za mipakani wangeshaniambia ni kwa nini wasiwajibike kwa kushindwa kazi, kisha ningemalizia kwa kuwawajibisha wote bila aibu halafu naunga mwenyewe mwisho kwa kutangaza kujiuzulu wadhifa wangu kwa Kushindwa kazi niliyoapa kuifanya kwa uaminifu!......Ninachojaribu kusema ni kuwa CCM NEED TO GO SO OUR COUNTRY REMAINS SAFE!

Samahani kama nimemuudhi yeyote lakini hivi ndivyo ninavyoona mimi. :A S-fire1:
 
Kwani hyo ni operation maalum kwa wanyarwanda tu? Mbona tunao wasomali (kinana, Rage etc), wahindi, wakenya etc wanaoishi kinyemela?
 
Kuna wanyarwanda wapo hadi usalama wa taifa. Hutaki unaacha
Pengine operation hiyo itakuwa na maana zaidi kama itawasaka na kuwashughulikia wote waliojipenyeza katika sekta nyeti serikalini na kupatiwa madaraka makubwa. Inasikitisha na kuhuzunisha kuona hata msaidizi wa Gavana wetu nae ni mnyarwanda, wako wengi sana kwenye halmashauri, kwenye sekta ya afya, wanasheria na hata wanausalama... siyo kazi rahisi sana maana tulizebea sana kama nchi siku za nyuma...
 
Walilenga na kuangalia mbali sana hawa jamaa ni hatari sana-Hv kwanini rais anayetawala ka nchi kadogo...kama kiberiti aitingishe EAC??its time now to act

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

usiseme kainchi kidogo kama kiberiti....WW1 and WW2 german and britain size yao nini? Propaganda ikiaminika anything is possible
 
Hakuna haja ya kutoa comments za kuwakejeli Wanyarwanda maana hakuna ugomvi kati yetu wananchi na maneno ya Kagame si ya Wanyarwanda.
Mnajua kwa nini Nyerere hakuwahi kusema tutawapiga Waganda bali Idd Amin?
Nyerere alishinda kirahisi sababu aliungwa mkono na Waganda.
Tuache kejeli dhidi ya ndugu zetu hawa.
Hapa umesema sawa. Wanyarandwa/watusi na baadhi ya watanzania wa Kagera/Ngara huwezi kuwa tofautisha. Wameingiliana sana kindugu. Tusitoe general comments
 
Taifa lina hasara kuwa na watu wa sampuli hii, yaani watoa maoni. Inasikitisha sana! wanashabikia ethnic cleansing maskini wakati Watanzania wengi tu wanaishi nchi za watu, na siku hizi uhamiaji kitu cha kawaida. Kuhusu udogo wa Rwanda, hiyo ni kukufuru. wazungu ndo waliamua ukubwa wa kila nchi, wabantu hawakuwa na maamuzi, ukubwa wa Tanzania ni zawadi ya yule mzungu Mjerumani jasri sana aliyeamua kutembea kutoka bagamoyo mpaka Kigoma, mpaka Kilimanjaro, Mpaka Ruvuma, akiweka mipaka shamba la Kaizari. Sasa leo watu wananza eti Rwanda ni kiberit1, hawakuwa na chaguo, Berlin ilikuwa na chaguo. Pia msongamano wa watu labda ndo unasababisha watu wahame nchi yao, sasa mnawanyanyapaaa! Nyerere kweli alikuwa mzazi, God rest him in peace

Kuishi kwa watu siyo tatizo, tatizo ni kuishi bila kibali. Nenda kajaribu kukaa bila kibali ndo utajua kama J.K yuko sahihi AMA la.
 
Hapa umesema sawa. Wanyarandwa/watusi na baadhi ya watanzania wa Kagera/Ngara huwezi kuwa tofautisha. Wameingiliana sana kindugu. Tusitoe general comments
Hasa hao Watutsi wa Rwanda acha waondoke kwani walioko Tanzania ambao ni Wahangaza na wengineo tunawajua
Hawa watu sio ndugu zetu labda kama hujui Historia ya HIMA EMPIRE na Wabantu kwa kukusaidia Mtikila alisema :-

Lakini apartheid ya Makaburu haikuweza kuufikia ushetani wa Watusi, jinsi wanavyowadhalilisha Wahutu na Wabantu wengine, kwa imani yao chafu sana kwamba wao eti waliumbwa kwa ajili ya kutawala tu, na kwamba Wahutu waliumbwa kwa ajili ya kuwa watumwa wao! Ni makufuru yanayojulikana wazi ya Watusi kuwatema mate Wahutu au Wabantu wengine kwa kinyaa kama vile ni mavi mbele zao. Na imani yao hii ya kishetani ndilo chimbuko la mbinu na mikakati yao yote ya kutawala siyo tu Maziwa Makuu bali hatimaye hata Afrika yote ya ‘watumwa’ wao! Tabia ya Watusi ya kula wao kwanza, halafu kuwatupia makombo watumwa wao (Wahutu), tena baada ya kuyatemea mate na makohozi, ni historia inayojulikana na kila mzawa wa Maziwa Makuu. Hata maendeleo yalipozidi kutowesha giza hili, bado wanawake Watusi walilazimika kudumisha udhalili wa Wabantu kwa kuolewa na wale wenye mali lakini mimba wapate kwa Watusi wenzao, ikibidi hata kwa ndugu zao wa damu kama hakuna Watusi wengine karibu. Historia itamuenzi shujaa Gregory Kayibanda wa Rwanda

Mtikila's allegations - Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania
cc; Koba murutongore MTAZAMO
 
Last edited by a moderator:
Wee ndiyo Mtusi, hujui hata SIKONGE ni nini.... Umekalia tu "Inka yane irafwiye....." KIKUNGU, unamuona MSULA UYU?

Mie na Mtusi wapi na wapi? Heri uniite Mkimbu maana kweli nina damu ya Kikimbu.

Ngoja nikuimbie wimbo wa kikwetu " nguluve ikulyanga twingi vayaya........ Nani wamleta M..... nina........" tetete:)
MSULA halafu ......KIKOKOTA MTINKO........ ha ha ha ha unakumbuka huyu mdudu Sikonge?.Halafu wewe Sikonge mbona na sisi tuna damu hiyo hiyo......hebu nenda PM ukipata muda kunsunsumule
 
Hakuna haja ya kutoa comments za kuwakejeli Wanyarwanda maana hakuna ugomvi kati yetu wananchi na maneno ya Kagame si ya Wanyarwanda.
Mnajua kwa nini Nyerere hakuwahi kusema tutawapiga Waganda bali Idd Amin?
Nyerere alishinda kirahisi sababu aliungwa mkono na Waganda.
Tuache kejeli dhidi ya ndugu zetu hawa.
Upo sahihi mkuu ni kweli tuache kejeli
 
nimeshangaa sana waamiaji haramu walivyo wengi kutoka rwanda. nimesikiliza bbc leo tayari 350 wanapokeleo mpakani, cha kushangaza kumbe jk alikuwa anajua kuwa kuna watu wanaishi nchini bila kibali sana sana kutoka rwanda, Kagame amemtibua sasa anafanya kweli, inabidi kagame aombee msamaa hao watu wote wataenda kukaa wapi na mifugo yao, jaman watanzania tuwaonee wanyarwanda huruma, kosa la mtu mmoja lisiwaadhibu wananchi, kagame aliteleza tu jamani

Wewe fa.la nini tuwaachie ?!! Unajua ni namna gani wameharibu mazingira ya kigoma, kagera na geita? Mijitu ina kiburi inalisha mifugo yao kwenye mashamba ya watanzania. Watanzania hawaruhusiwi kulalamika. Swi.ne kabisa
 
Habari Ndugu El-cohel,
Natamani kama nitoe pongezi kwa hatua hiyo ya Rais ( mtanisamehe kwa kutomwita Mheshimiwa, ni kwa kuwa nafahamu watu hawamheshimu tena siku hizi) hata hivyo napata kigugumizi kwa sababu nyingi kidogo. Let me see:

Najaribu kufikiria kama ilikuwaje hawa Wanyarwanda walikuwa humu at first place. Waliingiaje? Can somebody please tell me loudly uhamiaji walikuwa wapi na wanafanya kazi gani? Tunaweza kujivunia usalama wa mipaka yetu kwa mtindo huo? Ni kwa nini hii nchi imekuwa ni nchi "rahisi sana " kwenda na inayoingilika kijingajinga kuliko nchi zote? Ni kwa nini kwenda China kwa mfano, ni ngumu mpaka " wameamua kuwaletea soko la china hapa halafu kwetu kuja ni rahisi mpaka Wachina wamejaa Tandale na Kariakoo wanauza mpaka mahindi ya kuchoma?"

Halafu na hawa Wakuu wa Mkoa na Maafisa usalama wanaoteuliwa walikuwa wapi? Hawa Maafande wa JWTZ na Immigration walikuwa wapi? Mimi naona harufu ya system failure kutoka juu mpaka chini.

Mbaya zaidi ni kwamba KUNA WAGENI WENGI SANA WAMEJAZANA HUMU NCHINI, wengine wanatafuta riziki tu wengine majasusi. Wengine magaidi wamekimbia makwao na wengine wameamua kuja kuwekeza kwa sababu ni nchi isiyo na kodi wala utaratibu! Nchi gani hii?

Lakini sipati jibu ninapokuja kwenye mkwara wa Rais. Ni kwa nini asubiri mpaka agombane na His Excelence Kagame? Na kumbe alikuwa anajuwa wapo wahamiaji kibao ila akawa kimya? Na huu ndiyo uongozi gani? Mbona napatwa na kigugumizi kumalizia kufikiria kiwango cha uzalendo wa Viongozi wetu?

Let me say this: Ninachoona kutokana na sakata lote la uhamiaji ni ukosefu wa uzalendo na kupuuzia mambo ya msingi. otherwise alivyoongea Rais ni wazi alikuwa anajua kuna mijitu kibao ya nje humu. Hawa "wazungu" wanaoingia kila kukicha wanaonekana ila kwa kukosa uadilifu, uzalendo na kuabudu rushwa kupita kiasi tunawaacha waendelee kuja tu. Lakini kinachoniuma ni FAILURE ya SERIKALI YA CCM KATIKA KULINDA MIPAKA YETU. Hii ni aibu kwa Walinzi wa mipaka yetu JWTZ, na Idara ya Uhamiaji Tanzania. Ni kushindwa kazi kwa Usalama wa Taifa na ni kufeli kwa TAKUKURU...(kwa sababu bila rushwa hawangekuwepo humu)

Kwa hiyo: kwa kuwa SERIKALI YA CCM IMESHINDWA KULINDA MIPAKA YETU, na kwa kuwa ni kutoka ngazi ya juu mpaka chini. Nikimaanisha kuanzia Rais na wasaidizi wake wote, mimi nadhani hatua ya Rais ya juzi ilitokana na jazba tu ya bifu la shombo za Kagame (don't get me wrong sijasema Kagame was right) na siyo nia ya dhati ya uwajibikaji.

Ningekuwa mimi in his shoes ningeshawawajibisha wakuu wa mikoa na wilaya zote za mipaka inayoingiza watu hovyo (kuwabaini ni rahisi kama unavyosikia Kagera sasa!), Ma RSO na Wakuu wa Brigedi za mipakani wangeshaniambia ni kwa nini wasiwajibike kwa kushindwa kazi, kisha ningemalizia kwa kuwawajibisha wote bila aibu halafu naunga mwenyewe mwisho kwa kutangaza kujiuzulu wadhifa wangu kwa Kushindwa kazi niliyoapa kuifanya kwa uaminifu!......Ninachojaribu kusema ni kuwa CCM NEED TO GO SO OUR COUNTRY REMAINS SAFE!

Samahani kama nimemuudhi yeyote lakini hivi ndivyo ninavyoona mimi. :A S-fire1:
Mkuu hata mimi nimekua nikijiuliza maswali kama yako kwamba je hawa wahamiaji wallingiaje nchini??????
 
Ni kweli, mifugo na mashamba, majengo, maduka wamewaachia Watanzania marafiki zao. Na kama unavyofahamu Tanzania ni watu wa matukio. Likipita hili mwezi mmoja wamejaa tena maeneo yao. Haya yote ni kwa sababbu ya viongozi watanzania wasiofuatilia wala kuzingatia sheria achilia mbali za uhamiaji. Viongozi wa kijiji, kata, tarafa, maofisa wilayani (hapa ni pamoja na DED, Migration, DC,etc), RC, uhamiaji mipakani kote huko ni chukua chako mapema! Kabla ya ziara ya Kikwete mkoani Kagera nilikuwa naongea na baadhi ya marafiki zangu kwamba hivi mkuu wa mkoa anafanya kazi gani? Nikasema ningekuwa mkuu wa Mkoa ningeanzaisha operation takatifu kijiji hadi kijiji kila wilaya na kusafisha wahamiaji halamu wote. Mazingira yameharibika sana kwa sababu ya mifugo mingi hadi kwenye hifadhi za Taifa (vyombo vya habari vimereport haya lakini hakuna anayechukua hatua hata za muda)! Kwa aliyewahi kutembelea mikoa ya kanda ya ziwa miaka 10 iliyopita hatashangaa hiki ninachokizungumzia (uharibifu wa mazingira). Upande wa idadi ya watu, idadi ya watu katika kila wilaya inaongeza kwa kasi ya ajabu na si ofisi ya takwimu wilaya, Madiwani au hata DED wote hakuna anayejaribu kufikiria ongezeko la watu likoje na kwa sababu gani? Watu hawa hutuongezea gharama ya kuendesha nchi. Kama kweli Masawe anataka kumuunga mkono Rais, 1. Aombe vitabu vya orodha ya wananchi kwa kila kijiji kisha achukue muda kuhakiki majina hayo. 2. Aaulize viongozi wampatie majina na idadi ya wananchi wapya mfano waliongezeka ndani ya miaka 15 ya hivi karibuni kisha ahakiki kwa kuuliza katika mikutano ya hadhara kwamba huyu au yule katoka wapi na kama anafahamika kwa wanakijiji wenzake, 3. Katika orodha hiyo achukue muda kuhakiki kama vielezo vyote muhimu kwa mujibu wa taratibu sheria za uhamiaji kama zilizingatiwa. Awaulize Wananchi kama mkutano mkuu wa kiji uliitishwa kuidhinisha maombi ya wahamiaji husika na kama 'korum' ilitimia?HAYO NI MACHACHE AMBAYO KAMA MIMI NINGEKUWA HATA MKUU WA WILAYA NINGEYAFANYA BILA AJIZI!
Mkuu kwa bahati nzuri mkuu wa Mkoa ni mwanajeshi, nisieleweke kwamba nataka kumsema vibaya lakini nilivyo muona anaji-conduct pale Kaboya alipo ulizwa maswali na JK sina hakika kama operation hii ataiweza - kisaikolojia alionekana kana kwamba ndio kahamia mkoani Kagera, labda alikuwa amechoka sana siku hiyo hata sijui! Hii window of opportunity aliyo toa Mh.JK ndio ingetumika kikamilfu ku-deal na matatizo haya sugu katika Mkoa wa Kagera, hiwe operation ya kijeshi kabisa, wajumbe wa majumba kumi watoe takwimu za kaya zote na wakazi wake na majina yao kamili pawepo na watu wa kuhakiki data integrity na ionyeshwe watoto waliozaliwa ndani ya miaka kumi/kumi na tano wazazi wao ni wenyeji wa nchi gani maanake hizi taarifa za kutokea population explosion ndani ya miaka kumi katika mkoa wa Kagera inatia shaka sana, tusije tukajikuta saula la Wanyamlenge likahamia Mkoani Kagera siku zijazo - sio utani jamaa hawa wana mbinu nyingi SANA za kutaka kujitanua tusiwachezee oh yes baada ya muda utawasikia oh tunanyanyaswa na Serikali ya Tanzania tunataka kujitenga tupewa sehemu ya Kagera. Uzuri wenyeji wa mkoa wanawajua Wanyarwanda wote hata wale walio hamia kwenye miaka ya hamsini na kijipachika Surname za Kihaya au ya kujiita majina yote ya Kiislam i.e jina lake na la baba ili wasingundulike kirahisi (wenzangu waislaam msinielewe vibaya) sisemi walio hamia kwenye miaka ya hamsini na kupewa uraia watimuliwe, lakini inapokuja suala la Watutsi hajalishi kahamia hapo karne gani lao moja wale tusije tukajidanganya hapa, wahulize wenyeji wa Karagwe watakwambia kulitokea nini wakati wa TUTSI waliyo ishi Karagwe zaidi ya miaka hamsini kusikia Kagame amechukua madaraka Rwanda, hilo ndilo lingekuwa fundisho kwa wenyeji na Serikali yetu! Tukumbuke operation hii inahusu mkoa wa Kagera kwanza hivyo wenyeji wanapashwa kuwa na mshikamano watoe tahaarifa ngazi za juu au hapa JF kama kuna Viongozi au raia wanaotaka ku-grease au kuweka spana kwenye system ili operation hisifanikiwe (Mch Mtikila alilitolea tahadhali tusimpuuzie). Tusipo kuwa makini tukashindwa kulivaria njuga suala hili mapema basi in less than ten years matatizo ya KIVU na GOMA yatahamia mkoani Kagera, kusema kweli dalili sio NZURI hata kidogo. Mimi naongezea tu lakini mwenzangu hapo juu ame-itemise vizuri nini kifanyike nampongeza sana kusema kweli, nimalizie kwa kusema kama kuna Viongozi wanao fikilia watakuwa wobbly wakati wa kutekeleza zoezi hili ingekuwa vyema sana kama watajiengua mapema au wachukue early retirement na kuwapisha wenzao WAZALENDO na wenye kujali usalama wa TAIFA letu kuliko maslahi yao binafsi.
 
Hakuna haja ya kutoa
comments za kuwakejeli Wanyarwanda maana hakuna ugomvi kati yetu
wananchi na maneno ya Kagame si ya Wanyarwanda.
Mnajua kwa nini Nyerere hakuwahi kusema tutawapiga Waganda bali Idd
Amin?
Nyerere alishinda kirahisi sababu aliungwa mkono na Waganda.
Tuache kejeli dhidi ya ndugu zetu hawa.

No Way! Umemtukana Baba yangu.. sawa na umenitukana Mimi. Kama vipi nitakukabili. Umemtukana Rais wa Nchi Yangu...Sawa na kumtukana Kila Mtanzania. Rais wa Rwanda Mtusi ana Matusi ya Kutusi .. inamaana Kila Mnyarwanda Katukana. KAMA VIPI WAMKABILI NA KUMUADABISHA.
 
Hawa wanyarwanda pia wapo kibao katika jiji la dar Wamenunua viwanja wamejenga majumba na wanayapangisha kwa zaidi ya dola 2000 kwa mwezi!
mfano round about ya Mlimani city opposite na kakobe Barbara ya survey inasemekana kuna nyumba ya mnyarwanda iko ndani ya fence kajenga na amekodisha kwa bei hiyo si ajabu HATA kodi halipi. Wapo wanyarwanda wengi head quater immigration Huko ndiko waaanzie kusafisha wahangaza wote wachunguzwe kuwajua kweli nimwahangaza wetu au wanyarwa?wengi wamesoma kwa kodi zetu then rais wao mtusi anamtusi rais wetu vibaya hivyo tena pasipo Kosa!
watafutwe HATA huko TISS! Kagame alitamba kuwa there is a line our JK will never cross! Tena kwa kujiamini sana! Tujichunguze anaweza kuwa na watu wake huko TISS iliyogeuka kuwa ya viongozi na Si taifa!
 
Hawa wanyarwanda HAPA dar weapon kibao. Wamenunua viwanja wamejenga majumba na wanayapangisha dola 2000 kwa mwezi!

mfano round about ya Mlimani city opposite na kakobe Barbara ya survey inasemekana kuna nyumba ya mnyarwanda iko ndani ya fence kajenga na amekodisha kwa bei hiyo si ajabu HATA Jodi halipi. Wapo wanyarwanda wengi immigration Hugo ndiko waaanzie kusafisha wahangaza wote wachunhuzwe kuwajua kweli nimwahangaza wetu?

mkuu asilimia kubwa ya watu wanaojita wahangaza na waha ni Wanyarwanda pure tena wengine wafanyabiashara za mbao,hardware,nenda tegeta,boko na bunju wamejaa tele wenyine wametoka tabora huko nenda vyuoni wanasoma tena na mikopo wanapata wanafahamika tu.tupewa simu au website tupeleke majina yao.
 
Hakuna haja ya kutoa comments za kuwakejeli Wanyarwanda maana hakuna ugomvi kati yetu wananchi na maneno ya Kagame si ya Wanyarwanda.
Mnajua kwa nini Nyerere hakuwahi kusema tutawapiga Waganda bali Idd Amin?
Nyerere alishinda kirahisi sababu aliungwa mkono na Waganda.
Tuache kejeli dhidi ya ndugu zetu hawa.

Maneno ya busara haya.
 
Overpopulation in Rwanda - nchi kama wilaya afu wanatuletea nyodo zao hapa. ifanyike nchi nzima kwa gharama yeyote, mbna ndege ya rais ilinunuliwa tukala nyasi? na hawa watu wafukuzwe tu
 
Back
Top Bottom