Ringo Edmund
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 4,879
- 1,125
mbona unawaka sana anael mrisho?
usihofu kaka yako hakamatwi.
usihofu kaka yako hakamatwi.
chash,A drowning man will clutch at a straw... ati he was referring to watanzania ! Lakini tutajua Kenya inawenyewe kwa kuwa hatofungwa. Faini kidogo na onyo bhaasss! Impunity. Ndvyo wanavyo chochea vita vya ukabila
inatuhusu kweli hii?au umepotea njia
Ndo tatizo la waswahili wanashindwa kujitambuaHatua ipi wamepiga? Hicho ndio wamepiga hatua? hatua gani sasa hapo? wewe mkenya nini?
kaomba msamaha kwa Wakenya na wala si Watanzania...kama umesoma vizuri utetezi wake utaona anasema matamshi yake yalikuwa yakiwalenga walinzi Watanzania(ambao yeye kawaita Wamaasai).
Hiyo si mara ya kwanza kwa Waititu kufanya mambo hapaswi kufanya kama kiongozi...ashawahi kishiriki maandamano, kushiriki kurushia polisi mawe na sasa ndio katamka hayo aliyoyatamka.
It doesn't matter, it is still hate speach. Kwani TZ Masai's are not human beings? This guy needs to be put in.
One wonders....
Katambua kosa lake na kaomba msamaha. Yaishe.