Elections 2010 Tamko la Dr.Slaa

Uncle Rukus

JF-Expert Member
Jun 16, 2010
2,415
398
Nawashukuru wote mliojitokeza kupiga kura na kukipa chama chetu ushindi wa kukumbukwa, ushindi wa kihistoria mkikaribisha mapambazuko mapya ya uongozi katika taifa letu. Kama ilivyokuwa kwenye matokeo ya Ubunge matatizo yamehamia kwenye matokeo ya Urais na kutokana na unyeti wa nafasi hii tunahitaji uangalifu katika kushughulikia. Msife moyo kwani tukiwa tayari muda si mrefu ujao tutazungumza nanyi kwa taarifa zaidi.
Dr. Wilbrod Slaa | Facebook
 
http://www.facebook.com/WilbrodSlaa/posts/161833713850854
Mwanapinduzi Dr Slaa.....tuko nyuma yako baba, tuko nyuma yako!
 
Nawashukuru wote mliojitokeza kupiga kura na kukipa chama chetu ushindi wa kukumbukwa, ushindi wa kihistoria mkikaribisha mapambazuko mapya ya uongozi katika taifa letu. Kama ilivyokuwa kwenye matokeo ya Ubunge matatizo yamehamia kwenye matokeo ya Urais na kutokana na unyeti wa nafasi hii tunahitaji uangalifu katika kushughulikia. Msife moyo kwani tukiwa tayari muda si mrefu ujao tutazungumza nanyi kwa taarifa zaidi.

Dr. Wilbrod Slaa | Facebook

http://www.facebook.com/WilbrodSlaa/posts/161833713850854

Umejitahidi kadiri unavyoweza! Kila mwenye nia njema na uchungu na nchi yetu analifahamu hili. Endelea kupigania haki za wanyonge, hasa kuleta mabadiliko katika maisha yao. Kumbuka haya maneno: "The glory of God is to be a human being fully alive".
 
icon1.gif
Tamko la Dr.Slaa

Nawashukuru wote mliojitokeza kupiga kura na kukipa chama chetu ushindi wa kukumbukwa, ushindi wa kihistoria mkikaribisha mapambazuko mapya ya uongozi katika taifa letu. Kama ilivyokuwa kwenye matokeo ya Ubunge matatizo yamehamia kwenye matokeo ya Urais na kutokana na unyeti wa nafasi hii tunahitaji uangalifu katika kushughulikia. Msife moyo kwani tukiwa tayari muda si mrefu ujao tutazungumza nanyi kwa taarifa zaidi.

Hii ni kauli ya kiutu uzima lakini sisi tunaomba Chadema wadai kura zirudiwe kuhesabiwa tu na huo ndiyo mwisho wa JK na CCM yake..aibu itakayowakuta haitasahaulika milele.....................................
Dr. Wilbrod Slaa | Facebook
 
Hii ni kauli ya kiutu uzima lakini sisi tunaomba Chadema wadai kura zirudiwe kuhesabiwa tu na huo ndiyo mwisho wa JK na CCM yake..aibu itakayowakuta haitasahaulika milele.....................................
Dr. Wilbrod Slaa | Facebook

Bw. Rutashubanyuma,

Naomba uwe REALISTIC. Huwezi kuanza kuhesabu kura zilizoharibiwa; zingine zimechomwa moto, zingine zimeongezwa (mfano, kuna watu wako Lupango kwa kukamatwa na masanduku ya kuchakachulia). Cha kufanya ni kujumlisha UPYA, siyo kuhesabu kura!
 
Wakuu hii nimeipata toka Dr. Wilbrod Slaa Facebook wall post:.

"Nawashukuru wote mliojitokeza kupiga kura na kukipa chama chetu ushindi wa kukumbukwa, ushindi wa kihistoria mkikaribisha mapambazuko mapya ya uongozi katika taifa letu. Kama ilivyokuwa kwenye matokeo ya Ubunge matatizo yamehamia kwenye matokeo ya Urais na kutokana na unyeti wa nafasi hii tunahitaji uangalifu katika kushughulikia. Msife moyo kwani tukiwa tayari muda si mrefu ujao tutazungumza nanyi kwa taarifa zaidi"

Tuwe na subira wakuu Dr. Slaa atatoa tamko kuhusu matokeo yaliyopikwa NEC/CCM ambayo yanatia kichefuchefu hata kuyasikiliza. Watanzania hatudanganyiki....
 
Tutasubiri tu ingawaje tunajua dhuluma kali JK na CCM yake wameifanya dhidi ya wapigakura wa nchi hii na Mwenyezi Mungu hatakaa kimya...

PROVERBS 15:21 These things you have done, I kept quiet, and you thought I was altogether like you; but I will rebuke you and set them in order before your eyes."
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom