Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 34,671
- 40,912
Malema ni mwanampotevu.Kidogo kidogo dunia nzima inakuja Tanzania kuishinikiza serikali irudie uchaguzi huru na wa haki ikiwa na katiba mpya, si hii katiba ambayo wanaikanyaga wenye mamlaka halafu raia anaelipa kodi hio katiba haimlindi mbele ya vyombo vya serikali. We have to do something.