Tamko la Chadema: Rais asiteue wajumbe hadi sheria irekebishwe

chadema walikwenda kufunga ndoa na ccm ili wawe ccm-c
Mkuu unajitahidi sana!! Duh!! Page 1 post 8!
Nahisi utakuwa unashindana na Rejao, Ritz, Ff na Mwita25 kuwazidi bonus mwezi huu!!
Lazima laana ziwaandame kwa kushiriki kuwanyonya masikini!!
 
Nyie Mgwanda msituletee sarakasi zenu za kikatuni hapa. Hivi kulikuwa na ugumu gani ya kutoa haya madukuduku yenu pale kwenye sebule za magogoni? Au mlilewa zile kahawa za Brazil na kashata za Kuwait mlizokunywa na mkulu? Hapo hesabuni imeshakula kwenu na hakuna chochote mtakachoongea kitakachosikilizwa na Magamba.

JK aliwasikiliza CDM walipoanzisha hoja ya Katiba mpya kwani haikuwemo kwenye Ilani ya CCM, 2010! Kwa hiyo sioni kwa nini JK aanze "kufumba macho na masikio" sasa hivi! Mimi naamini itakula kwa JK badala ya CDM kwa sababu anatakiwa awasikilize wenye hoja (CDM) badala ya kuwapuuza sasa hivi! Sio siri JK anahitaji msaada mkubwa kwa sababu ya udhaifu wake wa kiuongozi! He is a short sighted leader, asikurupuke kwani nchi hii haitatawalika kama asipoangalia!
 
naomba niambie tangu sheria ya uchaguzi isainiwe kwa mbwembwe pale magogoni imetumika wapi?
Na TUONE ni nani anaujeuri na Kiburi cha kuitumia ... BILA MASAHIHISHO ... !!!!Hapo Ndipo Itagundulika kwa nini CDM walitoka nje Mjengoni ... na ... Kwa nini ...Walitinga Ikulu!! Hayo matukio Mawali yatakuwa na HISTORIA!Kwa sasa walichofanya CDM hakitaonekana wa kueleweka ...Lakini kweli kabisa ni busara kweli. Na Kwa kuwa CCM uwezo wa kutizama wanao lakini hawaoni imewafanya kuwashidwa magamba .... ugonjwa huo huo watauhamishaia kwenye Katiba... Rais ..amenawa mikono ...lakini CCM ya Bungeni Itamsaliti Rais ... Watakataa Kufanya mabadiliko ... CDM watatoka nje kwa mara nyingine ... safari Hii wakiwa huru kabisa miyoni mwao ... CCM ya Bungeni imekiuka makubaliano ya IKULU ... Nitamuunga Mkono Rais .. Nitaipinga .. CCM ya BUNGENI.Nina hakika ..CCM ya Bungeni haina upeo, hekima, busara na ubinadamu wa kutosha ... KUkubaliana na alichofanya ikulu Rais. Na CDM walijua hilo ... na watataka wasionekane kuwa ..ni wao wa kunyoshwewa Kidole ... Ila ni Bunge la CCM ! Hakika hili litatokea!!Kitakachofuatia ..hapo ... sijuu yangu kukisema ...lakini... hakitapendeza kwa jimii yetu ... Lakini kinaepukika ... CCM ya bungeni Itiii makubaliano ya IKULU tu!!! ... Lakini hatakubali!!!!!!!!!!!!!!!! Hawana busara hiyo ..wangekuwa nayo wangeitumia kumaliza tatizo dogo la magamba kwa kuwapa siku 90!!!??
 
Hivi ingekuwa vipi?kamati kuu ya chadema wangewateua zitto na shibuda waende wakaonane na rais kuhusu mchakato wa muswada wa sheria ya marekebisho ya katiba halafu mwisho wa siku waje na mwaafaka walio kuja nao wakina mbowe huku wakichekacheka nakujisifu kwamba leo tumekumya juice ya ikulu wanajamii hasa mavuvuvela wa chadema pamoja na toilet paper yao ya mwanahalisi wangesemaje?kuhusu swala hilo?
 
Nyie Mgwanda msituletee sarakasi zenu za kikatuni hapa. Hivi kulikuwa na ugumu gani ya kutoa haya madukuduku yenu pale kwenye sebule za magogoni? Au mlilewa zile kahawa za Brazil na kashata za Kuwait mlizokunywa na mkulu? Hapo hesabuni imeshakula kwenu na hakuna chochote mtakachoongea kitakachosikilizwa na Magamba.

Wewe katiba haikuhusu eee! kwa kweli kazi bado ipo mpka watu wenye fikra za kuwa katiba ni "yao" na siyo "yetu" waamke itatuchukua miaka mingi sana. Halafu tunajiuliza kwa nini hatuendelei, hahahaha! Aliyetulaani alitumaliza kabisa.
 
Nadhani ni rahisi kuifanyia marekebisho sheria kuliko mswada. Mara nyingi "option" ya pili ya kutosaini mswada huwa haitumiki sana na watawala walio wengi.

Endeleeni kutupa matumaini yasiyokuwapo huku wenzenu waki furahia delay tact na kidogo kidogo waki shusha imani mliyo jijengea kwa wananchi ili waweze kutu fix vizuri wananchi na chama chetu simply because tunashindwa kuongozwa na historia kwamba hakuna kizuri kitokacho Moab; hata Naomi aliyejidai kwenda huko kwajili ya njaa mwisho wa siku alirudi mtupu akiwa amepoteza hata kile kidogo alichonacho! Moab na watu wake wamelaaniwa na huwezi kupata baraka kutoka kwa mtu aliye beba laana kwasababu huwezi kutoa kitu usichokuwa nacho hii ni simple logic.
 
Na TUONE ni nani anaujeuri na Kiburi cha kuitumia ... BILA MASAHIHISHO ... !!!!Hapo Ndipo Itagundulika kwa nini CDM walitoka nje Mjengoni ... na ... Kwa nini ...Walitinga Ikulu!! Hayo matukio Mawali yatakuwa na HISTORIA!Kwa sasa walichofanya CDM hakitaonekana wa kueleweka ...Lakini kweli kabisa ni busara kweli. Na Kwa kuwa CCM uwezo wa kutizama wanao lakini hawaoni imewafanya kuwashidwa magamba .... ugonjwa huo huo watauhamishaia kwenye Katiba... Rais ..amenawa mikono ...lakini CCM ya Bungeni Itamsaliti Rais ... Watakataa Kufanya mabadiliko ... CDM watatoka nje kwa mara nyingine ... safari Hii wakiwa huru kabisa miyoni mwao ... CCM ya Bungeni imekiuka makubaliano ya IKULU ... Nitamuunga Mkono Rais .. Nitaipinga .. CCM ya BUNGENI.Nina hakika ..CCM ya Bungeni haina upeo, hekima, busara na ubinadamu wa kutosha ... KUkubaliana na alichofanya ikulu Rais. Na CDM walijua hilo ... na watataka wasionekane kuwa ..ni wao wa kunyoshwewa Kidole ... Ila ni Bunge la CCM ! Hakika hili litatokea!!Kitakachofuatia ..hapo ... sijuu yangu kukisema ...lakini... hakitapendeza kwa jimii yetu ... Lakini kinaepukika ... CCM ya bungeni Itiii makubaliano ya IKULU tu!!! ... Lakini hatakubali!!!!!!!!!!!!!!!! Hawana busara hiyo ..wangekuwa nayo wangeitumia kumaliza tatizo dogo la magamba kwa kuwapa siku 90!!!??

Nyie watu msicheze na psychology yetu tumechoka na hatutaki siasa katika hili...Tunataka katiba itakayo heshimu utu na uhuru wa mtanzania period hizo tic tac zenu mzifanyie siasa siyo issue inayohusu maisha yetu ya kila siku alas!
 
CDM ili kunusuru taswira yenu mbele ya jamii na wakereketwa wenu sasa ni muhimu kuacha kukaa ofisini na mje mtaani kutueleza haswa ni nini milongea Ikulu na ni nini kinafuata sasa.
Mkichelewa mtapigwa bao maana wenzenu wako mitaani tayari tena kwenye majimbo yenu mapya wanamwaga sumu.

CDM ndio tumaini langu na wanyonge wengi, ila kwa style hii ya kimya kimya na kufyata mkia wengi wanaanza kukosa imani na ninyi. Fanyeni hima mje mtujuze

2015 sio mbali sana, Lindeni majimbo yenu
 
Hivi ingekuwa vipi?kamati kuu ya chadema wangewateua zitto na shibuda waende wakaonane na rais kuhusu mchakato wa muswada wa sheria ya marekebisho ya katiba halafu mwisho wa siku waje na mwaafaka walio kuja nao wakina mbowe huku wakichekacheka nakujisifu kwamba leo tumekumya juice ya ikulu wanajamii hasa mavuvuvela wa chadema pamoja na toilet paper yao ya mwanahalisi wangesemaje?kuhusu swala hilo?

Yameshakuwa haya? ! ! !
 
Kuna makubaliano mengine zaidi ya yale yaliyosainiwa na kutangazwa kwenye vyomba vya habari??? mawili tu

Hiyo ya kutosaini mimi sikuona au nyinyi mliona hiyo y kutosaini?? acheni ushabiki
 
Akiongea na waandishi wa habari leo John Mnyika amemshauri rais asianze kuitumia hiyo sheria hadi sheria hiyo ibadilishwe.

Kama hakusikia ushauri wa kutokutia saini kabla ya mabadiliko ni nini kitamfanya aianze kuitumia bila kusubiri mabadiliko?
 
Kwa mtz mwenye akili timamu haapaswi kuilaumu CHADEMA kwa sababu wametoa maoni yao bungeni na kwa mh rais pia kwahiyo kutokuzingatiwa ni kitu cha kumlaumu rais ambaye amesema "mimi naona mna hoja za msingi lakini nisiposaini wenzangu hawatanielewa" kwa hiyo maslahi ya taifa yanaangamizwa ili kutafuta kuelewana ndani ya chama? what a president!!!!!!!!!!!!?????Sheria ingekuwa nzuri mnahaki ya kuwalaumu lakini sheria iko vilevile na nyinyi mnamshambulia mtu/chama kinachotaka na kinachofaanya kila liwezekanalo kuweka mambo sawa. Endeleeni kuvunjana moyo sijui kama tutafika kwa mtindo huu!!!!!!Hivi umejiuliza CDM wangefanya nini zaidi ya waliyofanya kuwateteeni watz naona wengi humu hamtoi alternatives badala yake mnalaumu tu. I hate you who are here to discourage our heroes whose efforts must be praised for betterment of tz.
 
hakuna ila wananchi watakuwa wanajua nani yupo kwa maslahi yao kwani hakutakuwa na sikushauriwa.
 
Back
Top Bottom