Tamko la CCM UK & USA kuhusu Dowans na bei ya juu ya Umeme Bongo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tamko la CCM UK & USA kuhusu Dowans na bei ya juu ya Umeme Bongo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by VUVUZELA, Dec 29, 2010.

 1. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2010
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Wenyeviti, wanachama, wapiga debe na wawakilishi wa matawi ya CCM kule UK, Russia, na kule USA mmekuwa na kelele sana wakati wa uchaguzi na hasa baada ya Mkwere kushinda tena. Fine.
  Mmmeitisha mikutano ya kumpongeza Mkwere na ushindi aloupata baada ya November na mmekuwa mkiitisha mikutano ya kujadili muelekeo na vision ya CCM in the future. Fine.
  Sasa vipi mbona mmekuwa mabubu wakuu katika suala hili la Dowans?
  Mmekuwa mabubu kuhusu katiba mpya.
  Ningefarijika sana kama mngeitisha vikao vya ku-discuss energy crisis in Tanzania, Dowans Saga, and the Referendum for the New Constitution kisha muwaeleze akina Makamba, Ngeleja na Werema kuhusu maoni yenu...lakini mmekuwa mabubu and that says a lot.
  That tells me you are just a bunch of losers.
  Yes, LOSERS with your fu-cking CCM.
  Endeleeni na kubeba maboksi lakini mjue boksi halina ujanja na mtarudi tena bongo na ku-face reality ya umeme, maji na siasa uchwara.
  Na hata mkipewa huo ukuu wa wilaya kwa upiga debe wenu mjue kabisa hakuna umeme huko wilayani.
  Ukimya wenu ni vijisenti vya Dowans mlivyogaiwa ndio vinawafungisha midomo.
  CCM=DOWANS
  Nawatakia schedule njema na boksi jema!!
   
 2. Keynes

  Keynes JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  YES tunataka kauli zenu kuhusu haya mambo yaliyotajwa hapo juu siyo mnaleta habari za kujipendekeza kwa serikali kumbe ndo wale waleee mnaandaa ulaji wa badae mje kutuibia upya.
   
 3. S

  Solomon David JF-Expert Member

  #3
  Dec 29, 2010
  Joined: Mar 1, 2009
  Messages: 1,148
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hakuna CCM USA. Kuna jamaa wawili tu ndio wanaojipendekeza kwa mafisadi ya CCM
   
 4. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #4
  Dec 29, 2010
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  So far naona wako kimya, labda wanapiga boksi mpaka baadae
   
 5. S

  S.M.P2503 JF-Expert Member

  #5
  Dec 29, 2010
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 463
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Hata hapa Uk si wore ni ccm ! Majority hatuipendi hiyo ccm na tumekwusha toa maoni yetu humu! Vikaza wa ccm na serikali Yao hawasikii maoni ! Itakuja fikia mahali tunasema punda haendi iks kwa cha mjerumani na hao ccm watapewa cha mkoloni mpaka waanze kuamka na kuleta maendeleo yetu!
   
 6. Keynes

  Keynes JF-Expert Member

  #6
  Dec 29, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Mzee mzima vuvuzela wengi wao si ndo wale wale watoto wa wakuu wa nchi!! we unadhani watatoa tamko wakati hela za DOWANS na wao watapata vi mgawo!!
   
 7. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #7
  Dec 29, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,937
  Likes Received: 12,207
  Trophy Points: 280
  Hivi mnafikiri nje kuna CCM, kuna watoto wa kina msekwa, malecela na wapambe wao kina owino basi ndio wanaopiga kelele kila kukichwa wasisahaulike kutupiwa mabaki ya mifupa ya kina RA.
   
 8. C

  Chief Rumanyika Senior Member

  #8
  Dec 29, 2010
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Malipo yoyote kwa Rostam Azizi na Edward Lowasa kwa kificho nyuma ya kampuni inayoitwa DOWANS hakika ndio itakua WARAKA RASMI YA TALAKA TOKOMEA kati ya wapigakura na CCM.

  Tomewaonya sana wasitoe malipo hayo bila kutueleza hadharani wamiliki wake wamegoma. tumewaambia wasichezee fedha zetu za kodi ovyo wamechagua kuwa kichwa ngumu.

  Sasa ndio wakilipa tu hata senti tano hapo basi viongozi waadilifu waliobakia ndani ya CCM mapema waanze kutafuta vyama vingine vya kuhamia; nao pia wasiposikia hilo hata mtu awe mzuri kama Magufuli, shauri yako.

  Haya na nyinyi mliotangulia kwenda ng'ambo kabla ya Mtanzania yeyote katika historia ya nchi, mnasemaje hapa leo?? Akili kichwani.
   
 9. Masanja

  Masanja JF-Expert Member

  #9
  Dec 29, 2010
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 3,595
  Likes Received: 3,763
  Trophy Points: 280
  Mkuu ingawa unaweza kuwa umeandika hii thread kwa lugha kali kidogo, lakini maneno uliyoyaandika kwa yeyote yule mwenye uelewa anapata message. Ni maneno mazito sana. Whoever ignores them, will do so at his or her own peril. Maana ukweli ni kwamba hata ukiwa ulaya (hata kama umenunua nyumba..au unalipa motgage... home bongo utarudi tuu..Otherwise uwe prepared kuishi kwenye nursing homes! Kitu ambacho si wengi wenye msimamo huo.

  Kama asemavyo Vuvuzela..hawa watu tunaowaona kila siku na siasa za CCM..jamani kama kweli you are a force for a good cause..why not..give your statements kuhusu hizi changamoto zinazolikabili taifa letu? Mh. Mwenyekiti Maina Owino..kunradhi mkuu..tunasubiri tamko lako....
   
 10. C

  Chief Rumanyika Senior Member

  #10
  Dec 29, 2010
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aheri nchi iongozwe na mgonjwa wa akili aliewahi kutibiwa ugonjwa huo na pengine ukawa unamrudia rudia kuliko kuongozwa mtu mhuni aliejificha ndani ya dini na suti.
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  Dec 29, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,527
  Likes Received: 19,946
  Trophy Points: 280
  wew unataka wajiharibie? hapo hakuna kidudumtu atakaye nyanyua kimdomo chake wote kimyaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 12. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #12
  Dec 29, 2010
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Hata huyo mr Owino?:hungry:
   
 13. Peasant

  Peasant JF-Expert Member

  #13
  Dec 29, 2010
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 3,949
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  Huyo jamaa, Maina Owino hana maana kabisa, sijui kwa nini watu wengine hawathamini utu wao?!!
   
 14. Keynes

  Keynes JF-Expert Member

  #14
  Dec 29, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Mi hua najiuliza huko nje wanasoma nini kama hawawezi kua na moyo wa kuchangia na kukosoa serikali yetu ili iweze kuleta maendeleo zaidi??!! AU napo huko nje kuna vyuo vya Kata!!!
  Msomi yoyote hata ungekua na phd ngapi kama huwezi kubadilisha elimu uliyo nayo ili ikuletee maendeleo ni sawa na mtu ambaye hakwenda shule kabisa. Hakuna sababu ya kua mtumwa wa watu fulani wakati una elimu. Mi ndo maana napenda lile kabila lenye tabia ya kwenda kuhesabiwa kila mwaka maana kule ukienda hata kama umetoka mbinguni, hata ungekua na phd ngapi hawaziitaji.....wao wanataka kujua umefanya nini au una nini!!!
   
 15. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #15
  Dec 29, 2010
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  umelonga, mkuu!
   
 16. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #16
  Dec 29, 2010
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Mkuu samahani kama lugha imeonekana kuwa kali kidogo
   
 17. z

  zamlock JF-Expert Member

  #17
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  awana lolote wanabeba maboksi uko na waendele kukaa uko uko c mdo akina masha leo wamekosa ubunge wanakombia kutoa vitu na kuondoka navyo kwenye ofisi ya mbunge wa mwanza hyo akili au matope'na hao wa uk na wa kwa obama ndiyo hao hao
   
 18. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #18
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1,158
  Trophy Points: 280
  v
  vuvuzela, umetoa meseji nzuri ila umekosea ku generalize sio wote ambao hatuishi tanzania tunaipenda ccm na madudu yake, na sio wote ni watoto wa vigogo wa ccm na mbaya zaidi sio wote ni wa beba boks. Usiongee bila kua na ushahidi wa kutosha. Huku nilipo kila mtz ni very professional na ana kazi nzuri some of them ni madaktari, ma injiania na project planners wanaotegemewa. Karibu uje utembee then next time uta andika vizuri. Sina la zaidi ila punguza jazba ndugu yangu nchi haitajengwa kwa jazba na kukurupuka, kumbuka adui yako amejiandaa muda mrefu na amerithi utajiri tokea tanu na mpaka kwenye dili kubwa za kifisadi angalia usiishie kupiga kelele hum jamvini bila kutekeleza kwa vitendo mnayoyalalamikia. Me voy, hasta la vista.
   
 19. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #19
  Dec 30, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Hao wa UK sijui US mbona wapo mbali hivyo? kwanza wapo out of bounds na serikali. kwanini msianze kwanza kumuuliza Dr.Mwakyembe na trupu lake?? au mna selective memory?
   
 20. m

  makeke Member

  #20
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 33
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wale ni opportunist hawana nia njema na nchi wala hiyo ccm, wanachotaka ni kujiweka mbele waonekane na hao viongozi LABDA watapata ulaji usio halali, hawana mtazamo wa maendeleo,, kama kweli wangekuwa na uchungu na nchi japo wangeunda civil society ambayo inamtazamo maendeleo na mshikama bila kuajli itaikadi za siasa,,,, Nadhani ipo siku wataelewa
   
Loading...