Tamko kutoka jumiya na taasisi za kiislam (t)

Status
Not open for further replies.
Huu ndo upuuzi unaonifanya nikisoma michango ya makafiri kama hawa mpaka natetemeka kwa hasira! Hivi muambiwe vp ndo muelewe kuwa huu ni uzushi kutaka kuvuruga ajenda iliyopo?
Mimi si mshabiki wa hiyo jumuiya lakini jaribuni kuwa waelewa, read between lines utapata kitu hapo.
Sikubali tu approach yao lakin msiwabeze kwa wanachokiona. Wekeni hoja zenu na nyie.
Ushasoma waraka wa Malasusa na makanisa mengine kuhusu sakata hili? hali si kama unavoiona em practice uGT wako hapa JF ingawa nafaham wavamizi ka wewe mpo wengi tu humu.

eh eh eh eh kafri wewe mwenyewe usokua na heshma kwa wenzio
hizo habari unazodai ni za uzushi ziko kwenye vyombo vya habari hata wewe umesoma sasa unakataa nini??
dah hiyo jazba ulonayo kama vile nakuona ilvyokua imekukaba ulivyokua unachoma makanisa mbagala
 
Sheikh Gorogosi angekuwa hai huu upuuzi unaofanywa na hawa wahuni kwa mgongo wa islam usingekuwwepo
 
Kweli ujinga hauna dawa. Tukubali tu kama haya ndiyo matamko maana inatisha. Ni kama mbuzi anayepigiwa gitaa sokoni acheze. Kama hawa ndio viongozi wa kislam Tanzania tutarajie lipi toka kwao?
 
Uchome kanisa la mwenzio then ugeuke kumdai akuombe radhi. Kweli uislam huu hauna mwelekeo. Utawasikia tu wakisema sio mafundisho ya dini.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom