Tamko kutoka jumiya na taasisi za kiislam (t)

Status
Not open for further replies.
kumbe duniani kuna watukufu???? i thought MTUKUFU NI MUNGU PEKEE!! sisi ni viumbe tu, acheni kujikweza, eti 'matukufu yao' mfyuuuuuu, hebu nipite mie!
 
Serious! As far as I'm concerned nakumbuka waislamu ndio walianza tabia ya kuita mihadhara na kuikashifu biblia pamoja na Yesu toka miaka mingi iliyopita (hakuna msikiti uliowahi kuchomwa). Tena wanatoa kashfa mbaya hadharani, hii ilipelekea kikundi kimoja cha wakristo nao kuanzisha hiyo tabia kwa kujibu hoja.
Nadhani waislamu mfunguke na kutambua kuwa baadhi ya mambo mmejitafutia wenyewe. Bisheni, kataeni ila hamkuwapa watoto wenu elimu dunia ya kutosha. Kipaumbele cha elimu hakikuwa na mkazo. Motokeo yake ni kwamba mnaona kama kuna upendeleo wa ajira (skilled labour) na wakati sio ukweli.
Ili iwe fair, mfanye uchunguzi wa kugundua ni asilimia ngapi ya waislamu wasomi walioajiriwa na ni ngapi ya wakristo wasomi walioajiriwa. Nadhani muanze kuwapa watoto wenu elimu na sio kuwapandikiza chuki zisizo na maana.
Kuhusu mahakama ya kadhi, mimi binafsi sitakubali kuona kodi yangu ikitumika kuanzishia mahakama ya kadhi (anzisheni na endesheni kwa fedha zenu wenyewe - sidhani kama serikali itakataa kuwasajilia hiyo mahakama yenu).
Serikali yetu sio ya kidini kwa hiyo haiwezi ikatumia pesa za wananchi kuendesha taasisi ya kidini na wala kujiunga na OIC.
NAOMBA TUENDELEE KUISHI KWA AMANI JAMANI, NJIA MNAZOTUMIA KUDAI HAKI ZENU NI ZA KICHOKOZI SANA NA UVUMILIVU WAKE UNA MWISHO.
PAMBANENI NA SERIKALI NA SIO NA MAKANISA
MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Hili tamko limetolewa na wahuni tu, kwa sababu hata waliochoma makanisa ni wahuni...................

Ndugu zangu watanzania, ni sharti tuwaelewe hawa wenzetu, kwamba tatizo siyo kuwa muislamu, TATIZO KUBWA ni hii IMANI YA UISLAMU, isiyopenda kuchangamana na watuwa imani zingine. Mbaya zaidi, imani hii ya kislamu ipo tayari kufundisha UWONGO kwa gharama yoyote ile ili watu waamini ktk uwongo as if ndio ukweli.

Hapa chini nawasilisha uwongo wa waislamu jinsi ulivyosababisha machafuko na umwagaji damu huko Burma. Tusipokemea huu uwongo wa waislamu kwa kisisngizio cha imani ya amani, Tanzania yatatokea mambo kama haya ya Burma. Nawasilisha, Bonyeza Hapa:
Muslims Killing in Burma and our Social Media / Islamic Parties | Faraz Ahmed Siddiqui

nimeingia nimeangalia..hawa jamaa wanasikitisha sana..yani kila sehemu wanamalalamiko tofauti tofauti..ata ukiangalia hapa bongo wanazunguka zunguka ila tatizo lao ni wakristo..ndio maana mwenzao anayeishi vizuri na wakristo wanamuhukumu sio mwislamu.
 
mbona zanzibar muisilamu kakojolea msaafu na kachukua tasbih kamvisha mbwa, akamchukua huyo akampakatisha mama yake kwenye mapaja, mbona hawaja choma misikiti wala kuandamana.
ugomvi wa kifamilia huo utasuluhishwa kifamilia
 
waoooooooooooo!ni ugumu wa maisha tu unaleta yote haya.A busssy man cant engage himself into this.
 
hivi ile ya kule Pemba maeneo ya Chakechake kijiji cha Wawi mwislamu amekashifu kitabu hicho kwa kukikojolea kumvisha mbwa tasibii na kumlazimisha mama yakekumpakata mbwa huyo keshashughulikiwa??

Huu ndo upuuzi unaonifanya nikisoma michango ya makafiri kama hawa mpaka natetemeka kwa hasira! Hivi muambiwe vp ndo muelewe kuwa huu ni uzushi kutaka kuvuruga ajenda iliyopo?
Mimi si mshabiki wa hiyo jumuiya lakini jaribuni kuwa waelewa, read between lines utapata kitu hapo.
Sikubali tu approach yao lakin msiwabeze kwa wanachokiona. Wekeni hoja zenu na nyie.
Ushasoma waraka wa Malasusa na makanisa mengine kuhusu sakata hili? hali si kama unavoiona em practice uGT wako hapa JF ingawa nafaham wavamizi ka wewe mpo wengi tu humu.
 
Katika hoja namba 3, hapo umechemka sana shekhe, how come mtufanyie uharibifu, na uibaji makanisani kwetu, halafu badala ya ninyi kutuomba radhi eti sisi ndo tukuombeni ninyi radhi!!!! Eish!!! Hii ajabu sana hii!! Kumbuka wakristo hawajafunzwa roho ya woga, bali roho ya upendo,nguvu, upole na uvumilivu. Tena huo mchezo mlioucheza kwa kumtuma mtoto wenu amshawishi mtoto wetu akojolee Quran, ni bora mkatubu kwa hiyo dhambi vinginevyo laana zi juu yenu nyote kwa uzushi,uongo na uchokozi wa waziwazi mnaoufanya na kufikiria na wenzenu wanafanya kama mfanyayo ninyi!!!
 
Kaka mimi bado hainiingii akilini zaidi ya kuona tu namna ambavyo hawa ndugu wanafanya kila liwezekanalo ili kuchafua amani ya Tanzania iwe machafuko kama huko kwenye nchi za waarabu.Ni hivi Quran ni tofauti sana na Biblia, nikimaanisha kwamba kwa wakristo ni rahisi kukuta kila mkristo (hata mtoto wa miaka mitatu) ana Biblia yake.Hii ni tofauti sana kwa waislamu, hata wanapotoka msikitini wachungunuze ni kina nani na wangapi wamebeba Quran mikononi mwao!? Ukichunguza hili utagundua kwamba hata yule mtoto wa kiislam aliyemshawishi mtoto wa kikristo aikojolee Quran, ni lazima atakuwa alibebeshwa kitabu hicho na wenye njama na kutumwa akamshawishi huyo mtoto mwingine aikojolee kwa kujua kwamba kwa tendo hilo lazima azma yao ya kushawishi waislamu watulivu wapandwe hasira dhidi ya wakriso!! Hii ni ajabu sana hii kutaka kunishawishi kwamba kijana mwingine mkristo kakojolea Quran??? Mm mm, haiwezi kuwa kweli, Quran haina tundu la kumshawishi hata punguani wa akili aikojolee!!! Na mna uhakika gani kama huyo ni "mkristo kweli"? Wa kanisa/dhehebu gani? na ilikuwaje hata aikojolee? Alionwa na nani na wapi?? Na aliipata wapi hiyo Quran?? Tena kwa nini alipofanya kitendo hicho hamkumkamata mara moja na kumfikisha kwenye vyombo vya dola badala yake mkamwacha na ninyi kwenda kuripoti police tu? Kwa maswali haya ndugu zangu mi hainiingii akilini kabisa hii kitu, labda waweke hadharani tu agenda yao ya kutaka Theocracy ya kiislam kwenye Tanzania yenye Secular system, hapo watakuwa clear kabisa mbele ya umma na mbelele za Mungu!!!
 
hivi hii kukojoea hivi vitabu vina uhusiano wa waraka kwa waislamu uliotoka kabla ya mtoto wa mbagala kukojoa? maana huo waraka una mikakati kibao wa kuwashughulikia wakristo, mithili ya ule waraka wa pik botha kuwashughulikia weusi. wanaharakati jitahidini, tuone kama Mungu ataruhusu hayo makusudio yenu yote yafanikiwe.
lakini kwa upande mwingine mi naona ni makusudi ya Mungu haya yote yatokee kipindi hiki, maana na sisi wakristo tulizidi kunyanyapaana, oh mara yule mkatoliki, oh yule msabato, oh mlokole. sasa mpaka tushike akili, at least sasa tunaanza kuwa kitu kimoja-wote ''wa kristo''
 
Serikali inatakiwa ijibu hoja hizo sio kutumia mabavu kama unavyotaka. kuweka watu rumande, kuwanyanyasa, kuwakejeli, kuwadharau,kuwafunga hakutasaidia kitu. Hoja hujibiwa kwa hoja.
Mbona sijaona hoja yoyote hapo! Au kwamba polisi walimtukana Kikwete na familia yake ndio hoja? au Kikwete aliwekwa kuwa raisi kwa busara ya waislam ni hoja? Ebu jaribu kuainisha hoja kwenye hilo tamko!
 
Mimi nasikitika, matatizo ya waislam yanahusishwa na serikali tukisema kwamba huu ni mfumo kristo wakati walioshikilia vyombo vya dola karibu wote ni waislam.
1.kikwete muislam.
2.bilali makamu wa rais muislam.
3.jaji mkuu othman chande muislam.
4.mkuu wa polisi said mwema muislam.
5.mkuu wa usalama wa taifa othman muislam.
6.RPC dsm Kova muislam
7.mkuu wa mkoa said mislam
8.mwenyekiti wa uwt sophia simba muislam
9.rais Znz mwislam
10.makamu wote waislam
Bakwata inaongozwa na waislam wenyewe waliowachagua
miskiti inaongozwa na waislam mdrasa za wanafundisha waislamu .


Je ni kweli hao wote wameshindwa kusaidia au kuna kingine cha ziada??

UKIWA NA ORODHA ZAIDI ONGEZA hapa kuonyesha matatizo ya waislam watayarekebisha kwa busara zao wenyewe na sio kwa kufanyia fujo ndugu zao na makanisa ya wakristo.

Sent by chescomatunda using JamiiForums
 
anaposema kanisa anamanisha
1. rc
2. TAG
3.wasabato
4. anglikana
5.Lutheran
6.......
Au waliochomewa nyumba zao za ibada?
 
Status
Not open for further replies.
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom