Tamko kutoka jumiya na taasisi za kiislam (t)

Status
Not open for further replies.
hivi ile ya kule Pemba maeneo ya Chakechake kijiji cha Wawi mwislamu amekashifu kitabu hicho kwa kukikojolea kumvisha mbwa tasibii na kumlazimisha mama yakekumpakata mbwa huyo keshashughulikiwa??
 
Tatizo la kuongozwa na viongozi,waliomaliza darasa la saba kwa mbinde.Hawana mikakati ya kimaendeleo kila siku fujo
 
Kwa kifupi kuna mkakati mkali sana ku ISLAMICIZE Tanzania.
Maoni waliyopeleka kwenye Tume ya Katika ni ushahidi tosha wa azma yao hii.Baadhi yao ni kama ifuatavyo:
1. Serikali ianzishe Mahakama za Kadhi
2. Ijumaa iwe siku ya kupumzika ( kwa vile ati Jumamosi na Jumapili ni siku za Wakristo).Na wapagani wasio na dini inakuwaje?
3. Serikali ifute MOU na Kanisa ( hapo wamesahau kuwa hata Rais aliwapa changamoto nao waombe kwa kupeleka proposal ya nini wanafanyia jamii ili iwepo MoU kama ya Kanisa. Hawajapeleka hadi leo.Pia wamesahau kuwa waislam wenzao wa Agha Khan ambao wana structures na systems zinazoeleweka nao wana MoU na serikali.Hili hawalizungumzii kabisa!)

Point 2 hapo juu sijui wanajitetea vipi kwa maana Kadhi courts ni zao na walishaambiwa waanzishe kwa utaratibu wao wenyewe, na hili hawataki!
 
kama kweli kuna mtu kakojolea Quran basi huu ni uchokozi wa dhahiri. Yule mtoto niliona ni utoto lakini sasa huyu mtu mzima kweli hapa Waislamu watakuwa wanachokozwa. Huyu aliye kojolea Quran yafaa apekwe mahakaman na afungwe miaka hata 3 na adhabu kali ili liwe fundisho kwa mtu yoyote kutodharau imani ya mwingine. Haya mambo tukiyachekea yatavunja amani kabisa maana naanza kuona logic kwenye madai yao.
 
Haya mambo tusiyafanyie mzaha,tunatukana ktk vichalazo wakati moto unawaka mitani,ni vyema serikali ijipange,la sivyo tujiandae kuwa kama kenya maana wao sasa kila kitu na kila sehemu ni ulinzi kwa kuogopa milipuko,tujifunze yanayotokea nigeria maana haya hayana macho yeyote yatamkumba hata sie tunaotumia vichalazo kufikisha ujumbe
ombi kwa serikali,kusimamia sheria zake pasi ya kuangalia aina ya dini iliyopo ktk nchi hii.
 
Haya naona amani ya nchi hii inafika ukingoni maana naona wakristo wanazid kuwebeza waislam na madai yao .huwezi kulinda amani kwa kundamiza wengine machafuko yote duniani chanzo chake ni classes zinazotengenezwa wengine kujiona wana haki kuliko wengine kama ilivyo sasa wakristo wanategemea jeshi lifanye vile wanavyo taka ila ngoja tuendeleee kushabikia uzur wa vita haichagui tuta poteza wote
 
kama kweli kuna mtu kakojolea Quran basi huu ni uchokozi wa dhahiri. Yule mtoto niliona ni utoto lakini sasa huyu mtu mzima kweli hapa Waislamu watakuwa wanachokozwa. Huyu aliye kojolea Quran yafaa apekwe mahakaman na afungwe miaka hata 3 na adhabu kali ili liwe fundisho kwa mtu yoyote kutodharau imani ya mwingine. Haya mambo tukiyachekea yatavunja amani kabisa maana naanza kuona logic kwenye madai yao.

Hivi kwa mfano, nimenunua quran kama mali yangu binafsi, je naruhusiwa kuitupa jalalani iwapo imechakaa au nimeichoka?

Na je, niki-download quran kwenye pc yangu, naruhusiwa kui-delete?- kiuweka kwenye recycle bin? Naomba majibu kwa yeyote asiye na jaziba. Nataka kufahamu tu.
 
mimi nadhani ingekuwa vyema mkawafundisha waamini wenu kuhusu kumjua mungu na matendo mema hasa watoto wanaokuwa sasa kuliko kuwafundisha namna ya kuandamana siku za swala. tunafanya kama utani lakini mbegu tunazopanda kwa kizazi cha sasa ni mbaya mno. Chonde chonde ndugu zangu waislam hebu tutafakari upya haya maandamano ya kila ijumaa hayana tija yoyote badala yake tuitumie siku hii vyema kupeleka maombi yetu mbele za Mungu, tumwachie Allah atatupigania, Allah si mnyonge hivyo hadi tumsaidie kupigana, yeye anaweza!!
 
Natumaini sasa mambo yameiva naibu AMIRI amesema mengi hata asieyajua, haya ndio matatizo ya kuwatenga wasomi wa kiisilam kwenye uongozi, jeshi lenu limekamilika juzi kipozi kalipa mazoezi uweni mwende peponi madai yenu yote yakupika, viwanja vimeuzwa na waisilam wanalaumiwa wakritu, mwisho nawatakia vita njema na kuendelea kuuchafua uisilamu na mtume wake kama boko haramu
 
Halafu kwa nini mnaanzia kwenye eti quran kukojolewa then mnaleta grievances zenu, iliyokojolewa Zanzibar juzi alikojolea mkiristo!!?, una ushahidi gani kuwa serikali inaamrishwa na maaskofu!??, ficha upumbavu wako na kutoelewa kwako na kuidhalilisha serikali, kama hujui ni kuwa serikali inatenda kazi kwa kufuata katiba tu na hakuna mwenye ubavu wa kuiamrisha serikali, kwa uchochezi wako huo utaambulia wahuni na walevi lakini watanzania wengi wamewastukia
 
Hilo tamko ni kasha kubwa kwa Watanzania wote. Mtoto wa miaka 14 akifanya kosa kama wazazi nini kinatakiwa kifanyike? Mabishano ya watoto wawili hawa watu wazima wanataka kupelekana polisi? Utashi gani huo?

Lakini kuna kitu hao walioandika huo waraka wameruka ama kwa makusudi au kutojua. Mafundisho ya dini kwa watoto wao yakoje? Wanaofundisha watoto, kweli wanazo sifa, na wanaelewa dini ya kiislam vizuri? Ilikuwaje mtoto wa kiislam akaamini kuwa ukikojolea kuran unageuka mjusi? Hivi hii ndiyo njia sahihi ya kumfundisha mtoto ili aheshimu kuran? Unamtisha badala ya kumuelimisha, huo ndio utaratibu? Ni mambo mangapi ya uwongo wamefundishwa watoto kwenye madras?

Na kuhusu kukashfu dini, hawa waandika waraka wanatumia definition gani? Ni kitu gani hasa wanaangalia na kusema dini fulani imekashifiwa?
 
Mimi nasikitika, matatizo ya waislam yanahusishwa na serikali tukisema kwamba huu ni mfumo kristo wakati walioshikilia vyombo vya dola karibu wote ni waislam.
1.kikwete muislam.
2.bilali makamu wa rais muislam.
3.jaji mkuu othman chande muislam.
4.mkuu wa polisi said mwema muislam.
5.mkuu wa usalama wa taifa othman muislam.
6.RPC dsm Kova muislam
7.mkuu wa mkoa said mislam
8.mwenyekiti wa uwt sophia simba muislam .


Je ni kweli hao wote wameshindwa kusaidia au kuna kingine cha ziada??
 
hivi ile ya kule Pemba maeneo ya Chakechake kijiji cha Wawi mwislamu amekashifu kitabu hicho kwa kukikojolea kumvisha mbwa tasibii na kumlazimisha mama yakekumpakata mbwa huyo keshashughulikiwa??

ile ilikuwa hadithi ya kubuni iliyoandaliwa na kanisa na kutangazwa na radio wapo kwa lengo lilelile la kuupaka matope uislam
 
Mtendwa akitendewa..... Kuweni na busara katika maamuzi.... Munadhani kuchoma makanisa kunasaidia nini zaidi ya kupata kichapo kikali tu toka kwa polisi?
 
Maneno kama haya kwenye waraka, msiyapuuze.Kuweni macho sana kuanzia majumbani kwenu, makazini, kwenye biashara, barabarani nk. Mjue utafanyika unyama wa ajabu katika ngazi zote.Jihadharini ndugu zangu.Ukiona nduguyo kila siku ana visa na wewe, hata pale unapomuachia kila kitu achukue yeye, ujue kifuatacho ni kukuua!
BE WARNED!
 
Jamani hivi hawa waislamu nani kawaroga? Habari imejaa contradictions na uongo kibao!! Nani anawaonea? Nyerere alipotaifisha mashule na mahospitali ya wakristo na kuyafanya mali ya umma, huo ulikuwa ni uonevu kwa waislamu??? Mnataka mbebwe mgongoni??? Mbona viongozi wakuu wa nchi wote ni waislamu?? Hivi ni laana gani hii inayowatafuna??? Mnatia kichefuchefu!!
 
Hivi yale makanisa mliyochoma Zanzibar na Mbagala hamjaridhika tu!! Bado mnatafuta visa na sababu ya kuchoma makanisa mengine???
 
Kweli kichwa kisicho na elimu dunia ni hatari kuliko hata bomu la nyuklia.Kwanini uisilamu unaleta shida dunia nzima?(Tazama Nigeria,Chechnia,Somalia,Mali na India kwa kutaja mifano michache tu) kila mahali mnalalamika kuonewa, je ni kweli? Mimi naona siyo kweli. Kwa mfano mnasema Nyerere aliwabagua ki-elimu mbona huyu huyu Nyerere ndiye aliyetaifisha shule nyingi za sekondari za wakristo ili nanyi muweze kunufaika nazo.Sasa mnataka elimu mlishwe mdomoni kwa kijiko? Haya serikali iliyokuwa inaongozwa na Mkapa ndiyo iliyowapa majengo ya Tanesco pale MOROGORO ili muanzishe chuo chenu kikuu cha Waisilamu.Sasa katika yote haya ni nani amependelewa na Serikali, mkristo au muislamu? Yote kwa yote ushauri wangu kwenu ni kuongeza bidii katika kuitafuta elimu dunia ili muwe na uwezo mkubwa wa kukabiliana na changamoto za dunia vinginevyo mtaendelea kulalamika milele na hakutakuwa na mtu wa kuwahurumia kamwe.Kazi ni kwenu!
 
Hotuba za Chuki kwa Wakristo kila kukicha. Leo wamemix na Pollisi eti wamemdhihaki Raisi kwa Uislamu wake. Tukiwaendekeza hawa Jihads at the end Fatwa. Mimi napata hofu sana wasije wakajivalisha Mabomu kutumaliza kama huko Nigeria. Kila Ijumaa naogopa kutembea huru kwa kuwa sivai baibui. Pse fanyeni kitu "HATE SPEECH kama hii huleta moto wa uharibifu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom