njiwa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 12,368
- 5,512
Wazushi tu nyinyi ..nyinyi mnadai fedha sasa mnakuja na uboreshaji wa afya .tumewachoka sasa msifikiri sisi wananchi tuko pamoja nanyi wauaji wakubwa ambao mumeweka fedha mbele... tumewachoka kama mmeshindwa kufanya kazi serikali nende mkaazishe zahanati zenu..... hongera serikali asiyetaka kazi fukuzeni tu tujue moja hatuna hawa binadamu wapenda fedha badala ya utu kwanza. mana madai yenu ya msingi mumetekelezewa lakini bado tu sijui mnawatakia nini watz... mengine mumeambiwa yatatekelezwa huko mbeleni kama uwezo ukiwepo lakini bado tu..ni haki kusema anajambo lenu nyuma
Come on don't make yourself look stupid haya hapa chini si madai ya msingi kwako ...???!
Madaktari tumechoka kuona huduma za afya nchini zikizidi kudorora mwaka hadi mwaka
Tumechoka kuona wagonjwa wakilala chini na watoto wakilala wanne katika kitanda kimoja
Tumechoka kuona msongamano mkubwa kwa wagonjwa katika hospitali zetu huku kukiwa hakuna mpango wowote wa uboreshaji.
Tumechoka kuona wagonjwa wakikosa dawa, vipimo sahihi na watumishi wa afya wakifanya kazi katika mazingira magumu yanayoviza ubora wa huduma na misingi ya taaluma.
unadhani yalitelekezwa..??? ulikwenda kutembelea hospitali baada ya muafaka wa ule mgomo wa kwanza na kukuta madai ya msingi yametelekezwa .. kwanini bajeti ya wizara ya afya wameishusha ..?! kwama kweli serikali ilikuwa na nia ya kutatua hayo mambo ...! tuweke siasa pembeni na kushirikisha ubongo wakati mwengine