Babu la Bara
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 529
- 575
Mbona hukioji waliokuwa wanauwawa kule kibiti?ENDELEENI KUUWA WATU TU,KUARIBU FAMILIA ZA WATU NA KUIBA KURA....HICHO NDICHO CHA KUJIVUNIA....HAMNA CHA ZAIDI...
Nyie watu ningaliwaona ni wazalendo wa kweli kama mngekua mnahoji beyond mahaba yenu kwa vyama,watu wanakufa, watu wanapotea hamsemi kitu chochote..kisa ni wa Chadema..hivi kweli....
Mm sio mfuasi wa itikadi ya Chama chochote..lkn kwa hili ccm mmechemka vibaya sana....ushindi wowote mtakao upata utakua hauna legitimacy yoyote....