TAMISEMI yatoa orodha ya vituo vya afya 90 vitakavyojengwa kwa tozo za miamala

Kwa nini za miamala waonyeshe vituo vya Afya watuambie Pia kodi za kwenye madini zimejenga nini, za luku %18 zimejenga nini, za majengo zimejenga nini, za mafuta ya kupikia zimejenga nini za mitungi ya gesi zimejenga nini, za mafuta ya gari zimejenga nini, tuachane na za wafanyabiashara(TRA kila baada ya miezi mitatu) hizo tunajua niza kula bata.
taarifa zake ziko kwenye wizara husika. ukitaka kuzipata nenda wizaran omba report ya mapato na matumizi. simple as that
 
Hapa sawa.... wakate tu. Ila pia ni vyema tukapewa mrejesho tuvione vituo hivo vikiwa vinaendelea kujengwa au kuwa na taarifa za kukamilika kwake. Na kamwe sitolalamika...

Go Mama

RIP our Father JPM
Hili tulifungulie uzi kupeana taarifa
 
Kwa nini za miamala waonyeshe vituo vya Afya watuambie Pia kodi za kwenye madini zimejenga nini, za luku %18 zimejenga nini, za majengo zimejenga nini, za mafuta ya kupikia zimejenga nini za mitungi ya gesi zimejenga nini, za mafuta ya gari zimejenga nini, tuachane na za wafanyabiashara(TRA kila baada ya miezi mitatu) hizo tunajua niza kula bata.
HIZO zingine wacha ziende kulipa mishahara kununua dawa na matumizi mengine ya serikali maana zote zikija kujenga zahanati mtalalamika hakuna mishahara ndugu
 
Haya ndio matatizo ya muungano, zanzibar pia tunakatwa makato haya lakini sijaona hata kituo kimoja katika listi kitakaco jengwa zanzibar!
 
Back
Top Bottom