Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 7,811
- 10,819
WamewekezaHv imekuaje watu waliomaliza 2019 wameajiliwa hvyo vyuo wamemaliza lin?? Mbona ujanja mwingi hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
WamewekezaHv imekuaje watu waliomaliza 2019 wameajiliwa hvyo vyuo wamemaliza lin?? Mbona ujanja mwingi hapa
Haiwezekani waliochaguliwa Asilimia kubwa Ni object oriented kuelekea kwenye nyonyo kubwa katika huyu mwanamke mweusi.Rais ili kujisafisha utumbue tamisemi nzima haiwezekani miezi mitatu mnatuletea madudu yote haya
Wanafundishaje hawana Vyeti vya taaluma, hiyo Ni system ilizingua tu kwa sababu ilikua na tatizo kwenye namba mtu anaweza weka 18 baadae system ikaweka 20, kwahiyo tuache kubwabwaja tu bila kureasonBaadhi ya waliomaliza O level 2019 na kupangiwa vituo vya kazi wakafundishe msingi/sekondari mbalimbali nchini ni:
ABDALLAH AHMED JIGWA
S2732-0091/2019
M
HISTORY, KISW AHILI
RUVUMA
TUNDURU
LELOLELO PRIMARY
ALLY MIRAJI SHALUA
S3838-0063/2019
M
BIOLOGY, GEOGRAPHY
MARA
RORYA
BUKURA SECONDARY
SARAH KEITARAMIRWA HERMAN
S0232-0068/2019
F
ENGLISH LANGUAGE, HISTORY
IRINGA
MAFINGA TC
UPENDO SECONDARY
SHAFII MOHAMMED NAMKURUNG'UNDU
S0738-0076/2019
M
HISTORY, KISW AHILI
MBEYA
KYELA
KYELA PRIMARY
SHOTO SOSTHENES NYANDA
S1380-1058/2019
M
BASIC MATHEMATICS, PHYSICS
MWANZA
BUCHOSA
MAISOME SECONDARY
SIMPSON RUGARABAM BUGENYI
S0566-1259/2019
M CHEMISTRY, PHYSICS
TABORA
KALIUA
KAPUYA SECONDARY
SOPHIA JUMANNE ATHUMANI
S0660-0926/2019
F
BIOLOGY, PHYSICS
SIMIYU
ITILIMA
IKUNGULIPU SECONDARY
VICTOR CHESCO MLAWA
S0179-0032/2019
M
BIOLOGY, PHYSICS
PWANI
MKURANGA
LUKANGA SECONDARY
W INNIE ELIAS MBISE
S0687-0124/2019
F
HISTORY, LITERATURE IN ENGLISH
TANGA
MUHEZA
MLINGANO SECONDARY
Ndugu zetu nyinyi ni wale wenye nyota ya jaha. Nendeni mkawaonyeshe watanzania na dunia kuwa sio tu tumeishinda korona kimiujiza, bali hata nyinyi bila degree wala diploma mnaweza kwenda kwenye mashule na kuliinua Taifa. Kila la kheri.
Ndio umeongea nn sasa?Wanafundishaje hawana Vyeti vya taaluma, hiyo Ni system ilizingua tu kwa sababu ilikua na tatizo kwenye namba mtu anaweza weka 18 baadae system ikaweka 20, kwahiyo tuache kubwabwaja tu bila kureason
Na ndomaana wameliona hilo wakaupdate hiyo PDFNdio umeongea nn sasa?
Kwahiyo hapo wangeamua kuondoa hiyo collumn ya index number na wakaweka anuani ya muombaji, we ungejua kama kuna mizengwe imetendeka? Kwahiyo kama system imezingua, sisi walaji wa taarifa ndio tufanye kazi ya kupitia makosa ya kimfumo badala ya wao wenyewe?
Mbona kama unawashwa washwa wewe?
Nenda kwenye hiyo pdf mpya ucheki kama hakuna hao wahitimu wa 2019.Na ndomaana wameliona hilo wakaupdate hiyo PDF
Sasa mkuu ukisikia ujinga ndio huu! Wenzako hawana hata mia wewe ukaamua kwenda kuwazibia nafasi!!Wakuu msaada , mm huku niliko napata p
750 kwa mwezi ila nimejaribu kuwasiliana na wenzangu ambao tayari wameajiliwa na serikali wanapata 360. Ila huku niliko sina bima. Naombeni ushauri wenu nibaki huku niliko au nionde serikalin
Huyo mwenye namba S1380 hicho kituoni tukuyu teachers college ni watu wanaorisiti na hiyo namba haipo kabisa na pia namba S0738/0078 haipo ni ridhwaa secondary seminary index namba ya mwisho S0738/0068Baadhi ya waliomaliza O level 2019 na kupangiwa vituo vya kazi wakafundishe msingi/sekondari mbalimbali nchini ni:
ABDALLAH AHMED JIGWA
S2732-0091/2019
M
HISTORY, KISW AHILI
RUVUMA
TUNDURU
LELOLELO PRIMARY
ALLY MIRAJI SHALUA
S3838-0063/2019
M
BIOLOGY, GEOGRAPHY
MARA
RORYA
BUKURA SECONDARY
SARAH KEITARAMIRWA HERMAN
S0232-0068/2019
F
ENGLISH LANGUAGE, HISTORY
IRINGA
MAFINGA TC
UPENDO SECONDARY
SHAFII MOHAMMED NAMKURUNG'UNDU
S0738-0076/2019
M
HISTORY, KISW AHILI
MBEYA
KYELA
KYELA PRIMARY
SHOTO SOSTHENES NYANDA
S1380-1058/2019
M
BASIC MATHEMATICS, PHYSICS
MWANZA
BUCHOSA
MAISOME SECONDARY
SIMPSON RUGARABAM BUGENYI
S0566-1259/2019
M CHEMISTRY, PHYSICS
TABORA
KALIUA
KAPUYA SECONDARY
SOPHIA JUMANNE ATHUMANI
S0660-0926/2019
F
BIOLOGY, PHYSICS
SIMIYU
ITILIMA
IKUNGULIPU SECONDARY
VICTOR CHESCO MLAWA
S0179-0032/2019
M
BIOLOGY, PHYSICS
PWANI
MKURANGA
LUKANGA SECONDARY
W INNIE ELIAS MBISE
S0687-0124/2019
F
HISTORY, LITERATURE IN ENGLISH
TANGA
MUHEZA
MLINGANO SECONDARY
Ndugu zetu nyinyi ni wale wenye nyota ya jaha. Nendeni mkawaonyeshe watanzania na dunia kuwa sio tu tumeishinda korona kimiujiza, bali hata nyinyi bila degree wala diploma mnaweza kwenda kwenye mashule na kuliinua Taifa. Kila la kheri.
Nafasi ngapi wametangazaa ?TAMISEMI kupitia katibu wake mkuu imetangaza ajira mpya za walimu wa shule za msingi na secondari mchana huu.
Sent from my itel A31 using JamiiForums mobile app