TAMISEMI yatangaza ajira za walimu shule za msingi na sekondari. Walimu waliopata ajira watakiwa kuripoti kuanzia Desemba mosi, 2020

Licha ya kwamba sio 13000 kama ilivyotangaza, jina la kwanza linajitokeza kwenye page moja. So kuna mtu mmoja ana nafasi 100+
 
Wakuu msaada , mm huku niliko napata p
750 kwa mwezi ila nimejaribu kuwasiliana na wenzangu ambao tayari wameajiliwa na serikali wanapata 360. Ila huku niliko sina bima. Naombeni ushauri wenu nibaki huku niliko au nionde serikalin
Ingia utumishi wa umma..

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Rais ili kujisafisha utumbue tamisemi nzima haiwezekani miezi mitatu mnatuletea madudu yote haya
 
Wakuu mm Nina diploma na nmekosa ajira hizi je Kama kuna chansi ya pili na nikakosa Tena mwaka kesho niapply nikasome degree Kama nikipata mkopo baada ya hapo ndo niendelee na Mambo yangu maana naona umri utakua unaenda au vipi. Naomba ushauri wadau
 
Back
Top Bottom