Tamisemi yadanganya walimu

tyadcodar

Senior Member
Aug 16, 2011
170
12
Tarehe 01 july 2011 ilifanyika sherehe ya miamba ya mitihani ya kidato cha sita 2011 miamba hiyo iliingia mjengoni dodoma na baadae jioni kwenye hafla kupewa zawadi kila mmoja laptop na fedha taslimu,kila shule husika ilipata milioni moja na ikatangazwa kila mwalimu wa somo husika atapata cheti na laki 5,jambo la kusikitisha inaonesha serikali wamedanganya walimu mpaka sasa katika utafiti wangu hakuna mwalimu aliyepata fedha hizo na kama amepata kapunjwa,je tutafika?hawa walimu watakuwa na moyo wa dhati kama kauli za serikali tena za waziri si kweli,jamani tuwaonee horuma walimu

Walimu wameshazoea kudanganywa ndio maana na wenyewe wameamua kuwadanganya wanafunzi halafu mwisho wa siku iaibike serikali kwa matokeo mabovu

walimu wa kibongo wanadanyika kirahisi na kero kibao mnazopata kutoka kwenye serikali ya CCM bado mnaendelea kuibakiza madarakani

wana haki zoooooooote za kudanganywa kwani msimamo wao ni mdogo sana, na hawana uwezo wa kutikisa serikali

Walimu wameshazoea kudanganywa ndio maana na wenyewe wameamua kuwadanganya wanafunzi halafu mwisho wa siku iaibike serikali kwa matokeo mabovu

SASA NCHI INAENDA WAPI KWANI KUKATISHA TAMAA WALIMU SI WATAHARIBU MAAKE GABAGE GABAGE OUT WANAOUMIA NI SISI WAZAZI NA WATOTO WETU,SERIKALI INABIDI IFANYE KITU KWANI KUBEZA MAMBO HAYA MWISHO NI TAIFA BOVU NA USALAMA WA NCI UKO WAPI,HAYA NI MAMBO MADOGO KWA KUYAANGALIA UJUMLA WAKE NAOUONA MBAYA SANA

walimu wa kibongo wanadanyika kirahisi na kero kibao mnazopata kutoka kwenye serikali ya CCM bado mnaendelea kuibakiza madarakani

Tena walimu wa Universal Primary Education UPE wanaamini CCM imewalea, na wa secondary wale wakongwe lakini sio wote. Wengi sana wa secondari wanaichukia sana CCM na kuamini tumaini jipya kwa chama kimoja cha upinzani. Yaani kama mgomo ungetangazwa leo wa kudai maslahi ya walimu nadhani ni asilimia kubwa sana ya walimu wa secondary wataunga mkono. Nawaaminia sana walimu wa secondary lakini sio UPE.

Tarehe 01 july 2011 ilifanyika sherehe ya miamba ya mitihani ya kidato cha sita 2011 miamba hiyo iliingia mjengoni dodoma na baadae jioni kwenye hafla kupewa zawadi kila mmoja laptop na fedha taslimu,kila shule husika ilipata milioni moja na ikatangazwa kila mwalimu wa somo husika atapata cheti na laki 5,jambo la kusikitisha inaonesha serikali wamedanganya walimu mpaka sasa katika utafiti wangu hakuna mwalimu aliyepata fedha hizo na kama amepata kapunjwa,je tutafika?hawa walimu watakuwa na moyo wa dhati kama kauli za serikali tena za waziri si kweli,jamani tuwaonee horuma walimu

kama kawa ndo zao

Walimu wameshazoea kudanganywa ndio maana na wenyewe wameamua kuwadanganya wanafunzi halafu mwisho wa siku iaibike serikali kwa matokeo mabovu

KWA HIYO KIMBURU UNATAKA KUSEMA NI KAMCHEZO SERIKALI INAWAPIGA WALIMU USANII NA WALIMU WANAVURUGA WANAFUNZI MATOKEO MABAYA NGOMA DRAW!!!!!NAOMBA TUSILIWEKA JAMBO HILI KWA MTINDO HUO BADALA YAKE SISI WANA JF TUSAIDIE KUTOA SULUHISHO IKIWEZEKANA LA KUDUMU NALO NI SERIKALI IACHE KUDANGANYA UMMA

Kama wameshindwa kudai madai yao ya lazma kama fedha za likizo, wataweza kudai hizi zawadi?
Waalimu wamedharauliwa nao wakajidharau.

kwa hiyo ya walimu hata pale walipofanya kama taifa hatuna ufumbuzi? taifa linaenda wapi serikali sikivu kama wanavyojiita hamlioni taifa linaangamia kwa dhuluma hata ya vihela vidogo hata pale walipo fanya juhudi mkazisifu lakini mkatoa ahadi hewa,mbaya sana inakatisha tamaa sana

Tena walimu wa Universal Primary Education UPE wanaamini CCM imewalea, na wa secondary wale wakongwe lakini sio wote. Wengi sana wa secondari wanaichukia sana CCM na kuamini tumaini jipya kwa chama kimoja cha upinzani. Yaani kama mgomo ungetangazwa leo wa kudai maslahi ya walimu nadhani ni asilimia kubwa sana ya walimu wa secondary wataunga mkono. Nawaaminia sana walimu wa secondary lakini sio UPE.

yani mkuu we subiri ipo siku kitanuka tu ndo watajua kama nasi watu na fani zetu pia.

Kama wameshindwa kudai madai yao ya lazma kama fedha za likizo, wataweza kudai hizi zawadi?

Waalimu wamedharauliwa nao wakajidharau.

hakuna mkuu walimu hatujidharau. Tatizo ni cwt kutumikia wanasiasa ila ipo siku kitaeleweka tu. Tayari wanaharakati wameshachukua hii fani na watatoka vyuoni soon watakuja kuongeza nguvu. Na hapo ndio itakua kiama cha magamba.

Waalimu wanatakiwa kuamka sasa kwani wao wamekuwa ndio source ya matokeo ya chaguzi kuchakachuliwa, waamke sasa na kujua jamaa hao ni magamba na si wakuaminika

Hatutokata tamaa huu kwetu sisi ualimu ni wito sihasa zikae kando hatumfagilii mtu.

Back
Top Bottom