TAMISEMI: Watakaoshindwa kukamilisha zoezi la kupandisha watumishi madaraja kuchukuliwa hatua

tatizo la watumishi wa umma hampendani, kila idara mnaumizana nyinyi kwa nyinyi, mnabaniana, unafiki na majungu ndio mtindo wa maisha yenu, kusemana vibaya kuharibiana n.k, unakuta kiongozi anapiga pini aliye chini asipande, roho mbaya!! utadhani hela inayo lipwa ni ya kampuni yake binafsi kumbe ni serikali ya watanzania wote.
Jirekebisheni, badilikeni, pendaneni ndipo hata sisi wananchi tutakuwa na imani kwenu.
Ngozi nyeusi ililaaniwa hakika.utamkuta mkuu wa idara/afisa utumishi anambania mtu asipande daraja ,wengine mpaka wahongwe ka rushwa .Mambo ya ajabu kweli haya.
 
Ngoja nione viongozi wa halmashauri yangu ya wilaya ya Kwimba watachukuliwa hatua gani,mana wilaya nzima hawajapandisha mtu japo wao wanadai watu watatu ndio waliona mabadiliko ktk mishahara yao.
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom