Tamisemi wamefanya yao, bado NACTEVET

Kuna dogo kachaguliwa irrigation engineering nimeshindwa hata kumwambia aende au laaa, mwenye uelewa na hii kozi na changamoto zake katika kutatua shida za maisha anieleweshe
Ngoja waje kukushauri..pia jaribu ku search nyuzi kuhusu hiyo kozi utapata info nyingi za kutosha.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom