TAMISEMI toeni muongozo wa malipo kazi ya uandikishaji pesa za Uchaguzi Serikali za Mitaa 2019. Huko Halmashauri hawana aibu pesa zinapigwa

Nazi embe

Member
Sep 20, 2016
73
125
Nasema hivi sababu nimeshangaa kusikia kuna halmashauri wandikishaji pesa ya semina wamelipwa shilingi elfu tano, wakati mwingine wamelipwa elfu therathini, mwingine elfu hamsini, mwingine elfu sitini

Ukifutilia pesa ya malipo ya kazi inchi nzima malipo yanafanana elfu ishirini kwa siku sasa iweje kwenye semina malipo yatofautiane kama hakuna upigaji hapo

MY TAKE:

Tamisemi ziambieni halmashauri zilizoleta janja janja kwenye malipo ya semina watoe pesa kwa wahusika vinginevyo watazitapika hizo pesa wawalipe stahiki zao wandikishaji haraka sana kama muongozo mlivyoutoa, kama ilistahili elfu hamsini na kalipwa elfu ishirini basi ziongezwe hizo therathini
 
christeve88

JF-Expert Member
Aug 11, 2018
1,071
2,000

Mkuu ungetaja baadhi ya halmashauri ungerahisisha uchunguzi.
 
havanna

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
1,526
2,000
Nashangaa sehemu moja wanalipa elfu 20000, sehemu nyingine 22,000 na sehemu nyingine 25,000, hawa jamaa wanatakiwa washikishwe adabu kila kitu wanawaiba
 
Nazi embe

Member
Sep 20, 2016
73
125
Mkuu ungetaja baadhi ya halmashauri ungerahisisha uchunguzi.
Mkuu unawapiga kikubwa wasije kufa na presure ujumbe juu wakiuona watajiongeza kama wao ni wahusika basi watarekebisha hesabu ila wakijifanya hawaoni na hawasikii tunarudi kuwataja mpaka na majina na nafasi zao

Mda huu unawapa uwanja wakujirekebisha ili wasije shikana uchawi umo ofisini kwao kuwa furani katusaliti kaenda andika mitandaoni kwaiyo huu ni ujumbe kwa nchi nzima wasipoelewa tunatoa sample

Na tamisemi waombe report kutoka takukuru kila halmashauri ndio watapata majibu husika yani kuna uhuni unaendelea uko balaa kuna vituo hewa majina hewa yani full sinema watu hawaogopi kabisa pesa za magufuri😀😀😀
 
REJESHO HURU

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
2,851
2,000
Wivu tu mnaona tunafaidi sana, nyumba zetu hazijaisha, huu mwaka wa tatu sijabadili gari ninayo ile ile nyumba yangu ya mbezi sijabadili rangi, mnatafikilia tutaoa wapi pesa za kumalizia nyumba zetu na kubadili magari yetu tunasema hivi hatubadili hata mia kudadadeki tunasubilia waziri mkuu au mh rais ndie aje tutumbua tena kwenye mkutano wa hadhara siyo vikao vya ndani

Alisikika boss mmoja akisema😀😀😀

Kazi kweli kweli
 
kifinga

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
3,576
2,000
acha roho mbaya chapa kazi hizo hela wamepewa kutokana na changamoto za mazingira yao ya kazi
 
NAKWEDE

JF-Expert Member
Aug 1, 2007
28,003
2,000
Na kuzitaja unasubiri nini?
Hivi hujui kuwa Suleiman Jafo ni member wa JF, sasa atazifuatilia vipi.
Funguka kama una taarifa kamili (kama ni majungu, kaa nayo upike chakula)
 
Top Bottom