Tamisemi mnataka nini kuhusu swala la uhamisho wa watumishi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tamisemi mnataka nini kuhusu swala la uhamisho wa watumishi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ticha, Jun 28, 2012.

 1. Ticha

  Ticha Senior Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: Aug 26, 2007
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Serikali imeanzisha utaratibu mpya wa kuhamisha watumishi wake kupitia TAMISEMI utaratibu huu ni mgumu sana kwa mtumishi kuutekeleza kwa wakati.hususani walimu.

  1.Unaomba kibali kule inakofanyia kazi,upitishe kwa mwalimu mkuu,afisa elimu wilaya na kwa mkurugenzi.
  2.unapeleka barua hiyo kule unakotaka kuhamia ili wakutaftie nafasi,ya mtu aliyehama,aliyestaafu ama kufariki.
  3.Ikipatikana nafasi hiyo afisa elimu anamwandikia barua mkurugenzi wake naye anaandika barua mtumishi kupitia kwa mkurugenzi wake kule anakofanyia kazi kumjulisha kuwa amepatanafasi.
  4.Mkurugenzi wa anakotaka kuhama anapitia faili la mtumishi huyo akiridhika anamwandikia katibu tawala wake na nakala anaituma Tamisemi mkurugenzi mwenyewe,ikiwa na data sheet.
  LAKINI ZINGATIA UHAMISHO HUWA UNATOKA KWA MSHIKEMSHIKE SANA MAAFSA ELIMU WANAWAKATALIA WAFANYAKAZI KUHAMA,WATU WANATUMIA NGUVU,HALAFU BAADA YA MIZUNGUKO YA KUTAFTA NAFASI BADALA YA MTUMISHI KUPELEKE MWENYEWE TAMISEMI ETI ANARUDISHA KWA MKURUGENZI,KWA HIYO WANACHELEWESHA MAKUSUDI ILI WATU WASIONDOKE.
  SHIDA IKO KWA MAAFISA ELIMU WA WILAYA,HATA WAKE ZA WATU WANAWAKATALIA VYETI VYA NDOA HAWAVIJALI.
   
 2. giraffe

  giraffe JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 6, 2010
  Messages: 504
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  kabisa na mimi wife anasubili kibali kutoka tamisemi dom mwz wa 7.proces ni ndefu imetughalimu pesa yingi sana.
   
 3. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,245
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  weeee mi ndio kwanza nimemaliza hatua ya 1 so ntakesha kumbee!!!
   
 4. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #4
  Dec 16, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  utaratibu mbovu sana siupendi kabisa wadau hatujashirikishwa
   
 5. m

  mmteule JF-Expert Member

  #5
  Dec 16, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,004
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280

  demokrasia ikizidi hatutasongambele...... chapenikazi msibague vituo vya kazi wakuuu kooote huko ni Tanzania.
   
 6. G

  Godwishes JF-Expert Member

  #6
  Dec 16, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Hii ndo TZ.Kama huko serious unakomaa na kinaeleweka.Cha msing usife mwoyo.
   
 7. Tuyuku

  Tuyuku JF-Expert Member

  #7
  Dec 16, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 3,149
  Likes Received: 1,407
  Trophy Points: 280
  mie wife alisumbuliwa mwaka mzima. Nikaona isiwe taabu nikamwambia apige chini ualimu sasa anakamata zake kadigrii
   
 8. M

  Mang'ula New Member

  #8
  Jan 19, 2013
  Joined: Dec 26, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ajira zimezidi kuvunja ndoa. Uhamisho kumfuata mwenzi wko kpata tabu m2pu.
   
 9. Possibles

  Possibles JF-Expert Member

  #9
  Jan 19, 2013
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 558
  Trophy Points: 280
  Urasimu unaongezeka wakati mwalimu wa masomo ya sayansi anapotaka kuhama.Hakuna halmashauri iliyo tayari kumwamisha mwalimu wa sayansi.Upungufu ni mkubwa mno
   
Loading...