Tamisemi ivunjwe tu... Ni chaka la wezi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tamisemi ivunjwe tu... Ni chaka la wezi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TIMING, Apr 18, 2012.

 1. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Ukichunguza sana siku hizi.... watumishi wa wilayani wengi siku hizi wamekua wezi wakuu

  System yetu imeshindwa kabisa kusimama na kuwa-reprimand kwa namna yoyote, kila afisa afya, elimu, mipango, ajira, injinia nk. wanabwiya mchana. there is only one system, "SUCKING, SUCKING AND SUCKING".... NO DELIVERABLE

  Tufunge wizara kuweke majimbo au tuipe mzigo tu serikali kuu

  Waziri afukuzwe kazi, waziri mkuu ambaye wizara iko chini yake naye afunge virago
   
Loading...