TAMISEMI imemwajiri Babu Lembrice Peter kwa kutumia namba ya kidato cha nne ya mtu mwingine

Umemdhalilisha huyo alie pata zero ujue?

Usikute saivi ni bilionare
 
Ukistaajabu ya Abdallah Shonde utayaona ya "Babu Lembrice Peter" mwalimu mtarajiwa shule ya msingi Maliwa.

Tukiwa tunaendelea kubaini madudu na ukiritimba uliofanywa na TAMISEMI kwenye ajira mpya za walimu, nimebaini kuna mtu ameajiriwa kwa kutumia index namba ya kidato cha nne ya mtu mwingine.

Huyu mtu si mwingine bali ni BABU LEMBRICE PETER mwenye nambari ya kidato cha nne (S. 1802-0102/2010) ametumia namba ya kidato cha nne ya EMMANUEL MANEMBE MABHU( S. 1802-0102/2010).

Katika uchunguzi wangu nimebaini kuwa EMMANUEL MANEMBE MABHU aliyewahi kuwa mwanafunzi wa shule ya sekondari BWERI ndiye mmiliki halali mwenye index number ( S.1802-0102/2010). Hii ni kwa mujibu wa matokeo ya mtihani wa kidato cha nne CSEE 2010. Pia unaweza kujiridhisha kwa kuangalia matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2010.

Katika matokeo yake EMMANUEL MANEMBE MABHU hakubahatika kuendelea na elimu ya kidato cha tano kutokana na matokeo yake kuwa hafifu kama ifuatavyo;

CIV-F, HIST-F, GEOG- F, KISW-F, ENG-F, BIO- F, MATH- F. Division: 0 point: 35

Katika hali ya kushangaza. Tamisemi imetumia namba hiyo hiyo ya kidato cha nne ya mtu aliyefeli kumwajiri BABU LEMBRICE PETER kama mwalimu wa History na Kiswahili kwenda kufundisha shule ya msingi Maliwa. Jina la BABU LEMBRICE PETER lipo ukurasa wa 21 kwenye ajira za walimu pia nimeweka kiambatanisho.

Maswali ya kujiuliza:

1. Imekuwaje namba ya kidato cha nne kuanzia center namba ya shule, namba ya mwanafunzi na mwaka wa kumaliza zifanane kwa kila kitu?

2. Watu watakuja na utetezi kwamba EMMANUEL MANEMBE alibadili majina na kutambulika kama BABU LEMBRICE. Kama ni hivo, imekuwaje Tamisemi ikaajiri mtu aliyefeli masomo ya kidato cha nne kwa kupata daraja sifuri?

3. Je, BABU LEMBRICE ana undugu au alicheza deal na moja ya mtumishi huko tamisemi akamfanyia mpango wa kupata ajira?

Kutokana na mapungufu yaliyo kwisha kubainiwa na mengine tutakayo endelea kuyabaini na kuyaibua hadharani. Tunaomba serikali isitishe kwa muda mchakato wa kuwaruhusu walimu wapya kuripoti vituoni badala yake mchakato wa kuwapangia walimu shule za kufanyia kazi urudiwe upya na uchunguzi kwa kupitia takukuru na TISS ufanyike ili watumishi wote waliohusika kufanya ubadhirifu kwenye hizi ajira wachukuliwe hatua kali za kinidhamu.

Kiambatanisho: majina na index namba ya BABU LEMBRICE PETER
View attachment 1637560
Kiambatanisho: jina, matokeo(csee 2010) na index ya kidato cha nne ya EMMANUEL MANEMBE

View attachment 1637565
View attachment 1637567View attachment 1637567
Tanzania Kuna wivu sanaaaa...
 
Acheni kuumiza vichwa nyinyi hizo ni ajira hewa serikali haina hela ya kuajiri watu 13000,kinachofanyika ni kuweka majina hewa ila kiuhalisia walioajiriwa kihalali hawafiki 1500!!!!SHITUKA ACHA KUKAA KIBOYA
 
Tokea mwaka 2020 nimejaribu kuwatafakari Hawa jamii forum ila niliona nikae kimya kwanza...
Kuna taarifa inasambaa ety Babu Lembrice Peter kaajiriwa na Tamisemi KWA kutumia Index namba ya form four ya mtu mwingine. Naomba kusema yafuatayo.
1. Mimi ndo mwenye Jina Babu Lembrice Peter
2. Kwann nyie jamii forum hamkunitafta mniulize kuhusu namba yangu mpaka mfike sehem mnaandika jina langu na kunipa taharuki bila kuniuliza?
3. Mnawezaje kupost habari bila kubalance story? Yaani mnachukua taarifa za upande mmoja alaf mnapost bila kupata taarifa za upande mwingine?
4. Nawaza na naendelea kukusanya taarifa vizuri nione jinsi ganii naweza kuwashitaki maana mmenichafuaaa....
5. Kama mnaweza tafta index namba za huyo mnayedai tumelingana namba imewashinda nn kupata ukweli ni nani hasa mmiliki wa namba hyo? Kuliko kuniandika mimi moja KWA moja? Mlishindwa nn kwenda Tamisemi mkauliza mpewe majibu?
Hii post itawagarimu tu na inaonyesha mnachuki na mimi ndomaana mmenidhalilisha, kwann msingesema mtu mwenye index namba........ Aliyepata division 35 kaajiriwa sehem fulani badala yake mnasema Babu Lembrice Peter ndokaajiriwa na index namba nyingine?? Mfano Tamisemi wakithibitisha walikosea kutoa namba na mmiliki halali ni Babu Lembrice Peter je utakuja kunisafisha? Ndomaana kuna mtu wa jamii forum nilisikia kapelekwa mahakamani ni kwasababu ya haya mambo, unachukua stori upande mmoja haina balance unapost....... Nawataka mnitake radhi ndani ya masaa 48 tokea hapa.
 
Acha kutishia watu.
Huna uwezo wa kufanya au kumfanya yeyote chochote.
 
Kama tangu 2020 umeitafakari JF, na mpaka ukajiunga, basi unaijua, na uko katika nafasi ya kuweka ukweli wa mambo na, au hata kutaka mhusika alete ukweli wake ili ijulikane Nani mkweli au muongo.
Huwezi kuchafuliwa na, au kuletewa taharuki, halafu ukae kimya tu kwa muda wote huu!
 
Ukistaajabu ya Abdallah Shonde utayaona ya "Babu Lembrice Peter" mwalimu mtarajiwa shule ya msingi Maliwa.

Tukiwa tunaendelea kubaini madudu na ukiritimba uliofanywa na TAMISEMI kwenye ajira mpya za walimu, nimebaini kuna mtu ameajiriwa kwa kutumia index namba ya kidato cha nne ya mtu mwingine.

Huyu mtu si mwingine bali ni BABU LEMBRICE PETER mwenye nambari ya kidato cha nne (S. 1802-0102/2010) ametumia namba ya kidato cha nne ya EMMANUEL MANEMBE MABHU( S. 1802-0102/2010).

Katika uchunguzi wangu nimebaini kuwa EMMANUEL MANEMBE MABHU aliyewahi kuwa mwanafunzi wa shule ya sekondari BWERI ndiye mmiliki halali mwenye index number ( S.1802-0102/2010). Hii ni kwa mujibu wa matokeo ya mtihani wa kidato cha nne CSEE 2010. Pia unaweza kujiridhisha kwa kuangalia matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2010.

Katika matokeo yake EMMANUEL MANEMBE MABHU hakubahatika kuendelea na elimu ya kidato cha tano kutokana na matokeo yake kuwa hafifu kama ifuatavyo;

CIV-F, HIST-F, GEOG- F, KISW-F, ENG-F, BIO- F, MATH- F. Division: 0 point: 35

Katika hali ya kushangaza. Tamisemi imetumia namba hiyo hiyo ya kidato cha nne ya mtu aliyefeli kumwajiri BABU LEMBRICE PETER kama mwalimu wa History na Kiswahili kwenda kufundisha shule ya msingi Maliwa. Jina la BABU LEMBRICE PETER lipo ukurasa wa 21 kwenye ajira za walimu pia nimeweka kiambatanisho.

Maswali ya kujiuliza:

1. Imekuwaje namba ya kidato cha nne kuanzia center namba ya shule, namba ya mwanafunzi na mwaka wa kumaliza zifanane kwa kila kitu?

2. Watu watakuja na utetezi kwamba EMMANUEL MANEMBE alibadili majina na kutambulika kama BABU LEMBRICE. Kama ni hivo, imekuwaje Tamisemi ikaajiri mtu aliyefeli masomo ya kidato cha nne kwa kupata daraja sifuri?

3. Je, BABU LEMBRICE ana undugu au alicheza deal na moja ya mtumishi huko tamisemi akamfanyia mpango wa kupata ajira?

Kutokana na mapungufu yaliyo kwisha kubainiwa na mengine tutakayo endelea kuyabaini na kuyaibua hadharani. Tunaomba serikali isitishe kwa muda mchakato wa kuwaruhusu walimu wapya kuripoti vituoni badala yake mchakato wa kuwapangia walimu shule za kufanyia kazi urudiwe upya na uchunguzi kwa kupitia takukuru na TISS ufanyike ili watumishi wote waliohusika kufanya ubadhirifu kwenye hizi ajira wachukuliwe hatua kali za kinidhamu.

Kiambatanisho: majina na index namba ya BABU LEMBRICE PETER
View attachment 1637560
Kiambatanisho: jina, matokeo(csee 2010) na index ya kidato cha nne ya EMMANUEL MANEMBE

View attachment 1637565
View attachment 1637567View attachment 1637567
Uchunguzi ufanyike. Mambo ya ubabaishaji na ufeki yameanza tena.
 
Tokea mwaka 2020 nimejaribu kuwatafakari Hawa jamii forum ila niliona nikae kimya kwanza...
Kuna taarifa inasambaa ety Babu Lembrice Peter kaajiriwa na Tamisemi KWA kutumia Index namba ya form four ya mtu mwingine. Naomba kusema yafuatayo.
1. Mimi ndo mwenye Jina Babu Lembrice Peter
2. Kwann nyie jamii forum hamkunitafta mniulize kuhusu namba yangu mpaka mfike sehem mnaandika jina langu na kunipa taharuki bila kuniuliza?
3. Mnawezaje kupost habari bila kubalance story? Yaani mnachukua taarifa za upande mmoja alaf mnapost bila kupata taarifa za upande mwingine?
4. Nawaza na naendelea kukusanya taarifa vizuri nione jinsi ganii naweza kuwashitaki maana mmenichafuaaa....
5. Kama mnaweza tafta index namba za huyo mnayedai tumelingana namba imewashinda nn kupata ukweli ni nani hasa mmiliki wa namba hyo? Kuliko kuniandika mimi moja KWA moja? Mlishindwa nn kwenda Tamisemi mkauliza mpewe majibu?
Hii post itawagarimu tu na inaonyesha mnachuki na mimi ndomaana mmenidhalilisha, kwann msingesema mtu mwenye index namba........ Aliyepata division 35 kaajiriwa sehem fulani badala yake mnasema Babu Lembrice Peter ndokaajiriwa na index namba nyingine?? Mfano Tamisemi wakithibitisha walikosea kutoa namba na mmiliki halali ni Babu Lembrice Peter je utakuja kunisafisha? Ndomaana kuna mtu wa jamii forum nilisikia kapelekwa mahakamani ni kwasababu ya haya mambo, unachukua stori upande mmoja haina balance unapost....... Nawataka mnitake radhi ndani ya masaa 48 tokea hapa.
bado masaa 45 tu.
 
Back
Top Bottom