TAMISEMI hili suala la vifaa vya ujenzi wa madarasa kununuliwa na Halmashauri wakati pesa zimeingizwa kwenye account za shule tupieni jicho

Sheria ya manunuzi inasemaje?
Hii nisheria ambayo ipo tailored to the IMF and WB financial regulations ambazo zinalenga fedha zinazotolewa kwa nchi husika zisikidhi malengo halisi yaliyokusudiwa ili nchi hiyo iendelee kuwa tegemezi kwao. Kuna mapungufu makubwa kwenye sheria hizi za manunuzi.
 
Hapa umewaza kwa kutumia tumbo.Sio kila anayeleta mjadala huu lazima awe mwalimu.Anawezakuwa raia anayeangalia masilahi mapana ya shule na wadau wake.Ukweli ni kwamba halmashauri nyingi zimejaa wapigaji.Maamuzi kama hayo yatawasaidia kuzipiga hela.Mbaya zaidi ukifika muda wa wakaguzi wataanza kuwasumbua walimu wasaini derivery notes feki.
Asante sana Mwami Ntale kwa kumuelewesha mwenzetu kuwa watu wanaoleta mjadala sio lazima awe Mwalimu bali watu wana nia njema ya kujenga nchi yetu haya matatizo na malalamiko yamo katika jamii yetu hivyo ni muhimu kuyasema wazi yapate ufumbuzi.
 
Hii nisheria ambayo ipo tailored to the IMF and WB financial regulations ambazo zinalenga fedha zinazotolewa kwa nchi husika zisikidhi malengo halisi yaliyokusudiwa ili nchi hiyo iendelee kuwa tegemezi kwao. Kuna mapungufu makubwa kwenye sheria hizi za manunuzi.
So inabidi zifuatwe mpaka pale zikaporekebishwa mkuu
 
Hapa umewaza kwa kutumia tumbo.Sio kila anayeleta mjadala huu lazima awe mwalimu.Anawezakuwa raia anayeangalia masilahi mapana ya shule na wadau wake.Ukweli ni kwamba halmashauri nyingi zimejaa wapigaji.Maamuzi kama hayo yatawasaidia kuzipiga hela.Mbaya zaidi ukifika muda wa wakaguzi wataanza kuwasumbua walimu wasaini derivery notes feki.
Anayekaguliwa si DED mkuu? Head teacher anauelewa wa manunuzi au ujenzi pamoja na masuala ya fedha?
 
Uelewa na elimu yako juu ya mambo vipo chini sana , na kifupi ni kwamba mjadala huu umezidi na ni mkubwa sana kwako hivyo ni busara uka kaa kimya ili ujifunze kutoka kwa watu wenye uelewa na swala hili.
Usiwe na hasira baada ya mgawo kwenda pembeni
 
Procurement officer wa Halmashauri katika ubora wako. Onyesha wapi panasema hivyo vifaa vinunuliwe na Halmashauri.

Kitu unachotakiwa kuelewa hizo pesa zinaingizwa kwenye account ya shule na signatory nakuwa mwalimu mkuu na Mwenyekiti wa kamati.

Endapo pesa zitapotea mwalimu mkuu ndiw ane wajibika.
Jengo likiwa chini ya kiwango nani anakaguliwa au nani anapata hoja?
 
Ndiyo, lakini force account majengo yanakuwa chini ya kiwango maana mnachukua local fundi wa mitaani tupu mnagawana nayo pesa
Wewe huijui Force Account. Na kwa jinsi unavyoandika, utakuwa mwalimu ulinyimwa ujumbe kwenye zile Kamati za Ujenzi, Manunuzi na Mapokezi. Kwa taarifa yako, kwa hapa Jijini Mwanza, hakuna majengo yaliyojengwa kwa kutumia Force Account yakawa chini ya kiwango. Kama unalo, nitajie moja.
 
Achana na hiyo chenga haijui chochote.
 
Wewe huijui Force Account. Na kwa jinsi unavyoandika, utakuwa mwalimu ulinyimwa ujumbe kwenye zile Kamati za Ujenzi, Manunuzi na Mapokezi. Kwa taarifa yako, kwa hapa Jijini Mwanza, hakuna majengo yaliyojengwa kwa kutumia Force Account yakawa chini ya kiwango. Kama unalo, nitajie moja.
Kwani mi nipo Mwanza mkuu mpaka nikutajie? ujumbe wa kamati unataka posho mkuu?
 
Anayekaguliwa si DED mkuu? Head teacher anauelewa wa manunuzi au ujenzi pamoja na masuala ya fedha?
Hapna anaekaguliwa ni Mkuu washule,yani hapa mh waziri ummy tunaomb uwe makini kweny hili japo mwisho anaewajibik ni Mkuu washule na kamati yake
 
Kuna Halmashauri nyingi hapa nchini zimetoa maelekezo kwamba vifaa vya ujenzi watanunua wao wakati huo pesa imeingizwa kwenye accounts za shule, TAMISEMI kama mmetoa maelekezo haya basi wekeni utaratibu mzuri kabisa ili wasije wakazidisha bei ya vifaa maana halmashaur zetu huko kuna shida sana na matokeo yake pesa isitoshe, maana kuna dalili za wizi hapa na tuhuma zitaelekezwa kwa walimu wakuu.

Kuna kipindi ujenzi huuhuu kuna halmashauri zilitumia njia hii matokeo yake baadhi ya shule wakajikuta wanapelekewa malipo ya saruji Tsh 18,500/ kwa mfuko wakati bei ya sokoni kwa mfuko ni Tsh 15,500/ na mifuko bado haikutosha na pesa zimeisha na ujenzi ukakwama.

Kama TAMISEMI mmeliweka katika utaratibu huu ambao ukifanyika kwa uzalendo kabisa ni mzuri sana ila tu usimamizi uwe wenye umakini ili kuepusha wizi wa kuongeza gharama na kusababisha pesa kuto tosha.
Ukweli mtupu
 
Waziri wa TAMISEM Ummy Mwalimu na Naibu wake wanatakiwa waingilie kati swala hili haraka maana viongozi wa halmashauri wamejigeuza MIUNGU watu wananunua vifaa kwa bei ambayo haipo na viko chini ya viwango.Humu ktk jukwaa hili kuna viongozi wengi.Lakini pia kwa sasa viongozi wa halmashauri hawaoni haya wala soni kuomba teni (10%)percent kutoka mamlaka za chini.
Ulijuaje kuwa vifaa vipo chini ya kiwango?
 
Back
Top Bottom