TAMISEMI harakisheni kutoa ajira za afya kama mlivyokuwa mmetangaza

Nikhil

JF-Expert Member
Apr 16, 2013
361
116
Habari zenu wana Jf.
Ni siku chache tangu KUSITISHWA kwa Ajira za Afya tar 31/10. Kumekuwa na Effects nyingi mno kwa hawa vijana. Kibaya zaidi kuna kijana ameacha hadi kazi mahali alipokuwa kijishkiza huku akijua ameshaajiriwa serikalini.

Ninachowaoomba WIZARA YA AFYA ikishirikiana na TAMISEMI mlidai katika vyombo vya habari ni matatizo ya kiufundi pamoja na ajira hazikkukamillika..

Zimepita siku chache tangu KUSITISHWA kwa ajira hizo mlisema ni kwa Muda mfupi basi huo Muda umeshapita kama ni marekebisho mmeshafanya kwa nini msizitangaze hizo ajira. Tumechoka malalamishi ya vijana mitandaoni.
 
Back
Top Bottom