Tamisemi ajira za ualimu zilizobaki mbona hamtoi majina?

kesho kutwa

JF-Expert Member
Dec 7, 2016
1,616
1,763
Nakumbuka mliahidi kabla ya mwaka 2021 mtakua mshatoa majina sasa zimebaki siku chache tu tafadhali wengi tumekosa mtoe majina hayo mtaani sio aisee.
 
Wenzako wanalia hawajapata hata posho ya kujikimu ww unaulizia batch ya pili dah

Kila la heri watatoa shule zikifunguliwa January
 
Saivi serikali haina hela ndio maana hata walioajiriwa majuzi bado hawajapewa pesa ya kujikimu na mshahara wa mwezi huu. Alafu kuhusu majina mimi sishauri kabisa kuendelea kutumia majina hayo ya kwenye database maana tayali yana hitilafu ni mara mia wafungue dirisha tuombe upya.
 
Wafungue dirisha upya kwa walimu 5k?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom