Tambwe Hiza, kesho alfajiri naenda Iguga, nikupe lift?

Sabung'ori

JF-Expert Member
Jul 19, 2011
2,166
1,247
...ni-kitambo sijakuona wala kukusikia Tambwe Hiza,uwapi ndugu yangu?,kesho alfajiri naenda Igunga,vp nkupitie twende?,usione so mwana-kwetu,we twende tu ata kwa hiki kibajaj changu,nasikia elkopta za CCM zilikuacha?!,'"usijali"' lakin nilikukanya tangu awali kuwa hao CCM si watu wema,wanatabia mbaya sana yaan u-mtumia mtu kama ile karatasi ya kupangusia masaburi 'TP' alfu wanakubwaga kama gunia la misumari.POLE SANA KAKA..haaa haaa teeeii teeeii****ama kweli CHADEMA NI KIBOKO YA WASEMA OVYOO
 
we boya eti? Kwanin usimfate pale lumumba? Unakuja andika hapa? Au ulitaka nawewe uonekane umeanzsha mada?
 
Huyu jamaa si ndio alisema akirudi ccm amlale mama yake?
Na alirudi, natumaini alitimiza agano alilojiwekea mwenyewe.
 
Kina Tambwe ni moja ya watu nisiopenda kutoa comment juu yao,achananeni na hilo jitu
 
Wasiliana pia na nepi helikopta zimemuacha...na masikini mzee Six kapigwa marufuku hata kufika mkoani kwake dah CCM kiboko.
 
we boya eti? Kwanin usimfate pale lumumba? Unakuja andika hapa? Au ulitaka nawewe uonekane umeanzsha mada?
...hii ndo ile unasikia watu wanasema "ukirusha jiwe kwenye giza"...ukisia ai ai,ujue limempata nukta
 
Tambwe ni kama Nape tu hawatakiwi kuonekana Igunga kabisa hata kama kwenda kuwatembelea ndugu zao waliopo huko mpaka uchaguzi upite. Nape alijipendekeza mwanzoni kujidai anaenda kuhani msiba, walipogundua wakamtumia mgambo wa jiji wakamrudishe. Unacheza na msgamba wewe!
 
Nepi (Nape) kukosa Perdiems za Igunga naskia imemuuma sana. Imebidi ajianzishie vijisafari vya kwenda kuwanadi wagombea Udiwani sehemu mbalimbali nchini. Mfano kule Serengeti ambapo alizomewa hadi akashuka jukwaani.
 
Nafasi unayo ya kutosha manake atakuja na watoto wengi waende kulala kwenye uchaguzi na midaharo..

Kichwa cha habari kilinistua kuona Igunga kusomeka iguga!
 
Back
Top Bottom