mafinyofinyo
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 4,398
- 3,252
Mmmh! Hili swali limekaa kama kuchangamkia fursaUpo kwenye kundi gani upo kwenye msoto au tajiri?!
Mmmh! Hili swali limekaa kama kuchangamkia fursaUpo kwenye kundi gani upo kwenye msoto au tajiri?!
Wewe ni mvumilivu?Wavumilivu wapo ila ndio hivyo hawana chura na sura nzuri mnazozitaka,,,,,, pambaneni tu
Tumestuka, tukiwapenda mkiwa hamna kitu mkipata mnatudharau na kwenda kutafuta mnaoona wanawafaa. Hivyo basi mtafute kwanza mkizipata ndio muoe. Adamu alikuwa na kila kitu ndio Eva akafuata.
Mwanamke wa mkoani nakosaje kuwa mvumilivuWewe ni mvumilivu?
Tafuteni kwanza, mkipata tutawaridhia baba.uyo adamu unae msema aliletwa na kuona kila kitu kipo-kutafuta na kupata c jambo raisi-mturidhie tuu maisha ya songee mbele
Lucky me!!Mwanamke wa mkoani nakosaje kuwa mvumilivu
hahahaha hakika!Wanazd kutokomea kusikojulikana
Asante kwa maoni. Yako mkuu!Dr Shika miaka yote aliyoishi tabata hakupata hata wa kumuomba selfie,leo hii baada ya kutangaza kuwa anasubiria mabilioni vimwana wanamwagika,muda mzuri ni pale unapokuwa nazo,maana utaziona nyingi na kuchagua iliyo bora!
Kweli,sensitive. nimeipenda. Sana!Ndoa ni sawa na karata tatu.
Kuna mshikaji wangu enzi hizoooo,yeye aliamua kutoka na house girl wa jilani mara baada ya mademu wakali kumgomea maana ndio alikua anazichanga,huku na huku house girl mimba,jamaa akaamua kumsogeza getto na bado watu mtaani wakawa wanamcheka how come unachukua house girl?jamaa tukampa moyo kwamba huyo ndio mkeo so wewe usisikilize ya mtu,baada ya kuweza kuzichanga kiasi na demu kajifungua wakaamua kwenda ukweni huko Tanga,jamaa alikaa kule na mkewe kama miezi7 tukajua nauli hana,mara kodi ya nyumba ikaisha na mwenye nyumba akaomba chumba chake,tukatoa vitu tukamuhifadhia,jamaa kumbe alipofika ukweni alikutana na fulsa ya kupata kazi kwa wachina waliokia wakichimba madini fulani hivi,kumbe wakati sisi tunamsubiri yeye akawa anajenga Arusha Njiro na baada ya muda akahamia njiro,ilipotimia mwaka na miezi3 tukashangaa jamaa anaingia na Prado,ndio akatupa full story,jamaa alipiga pesa sana na baadae biashara iliharibika akahamia China na mpaka sasa yupo China na maisha yanasonga poa tu.
So my point is usichague sana,fata moyo wako unatakaje.
Uko vizuri..! Tabia ya mtu hafichwi na umaskini au utajiri mwovu ni mwovu kunguru huwezi mfuga utamkata mabawa ila yakiota atapaa tuuh.Kwenye shida ndo utampata MTU sahihi, si waume tu na wake pia
Hapo wahenga tunasema. "Pata pesa tujue tabia. Yako".ukweli ni kuwa mwanaume ukiwa hauna pesa hata wanawake utachagua mwenyewe wa quality ya chini siku ukipata pesa ndio utajua hakufai automatic hivyo ni bora u iwn maisha uchague mwanamke wa ndoto yako.