Tambua vitu unavovifanya vinawakilisha ukubwa wa akili yako

Lwitiko de sponsor

New Member
Apr 7, 2020
2
0
Ndg zangu aliesema fikiri kabla ya kutenda yupo sahihi kabisaa,,, unajua ukiamua kupigana na mtu hyoo inaonesha kabisa akili yako ndo mwisho kufikil apo, umeona hakuna altenative ya kusolve hiyo conflict,, najarbu kusemaa fikiri kabla ya kutendaa

Kitu kingne, kuitwa mwanaume sio ndevu au suruali tunazo vaa bali ni vile tunaeza kufanya maamuz.. ukiwa hujui kufanya maamuz lazima tutakwita we mvulana bt ukiamua vyema tutakwita kweli we mwanaume,,, FIKIRI KABLA YA KUTENDA AU KUSEMA


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom