Tambua Vitu Mwanaume Anavyokupima ili Akujue Unafaa Kuolewa Au Ni Hit And Run !

mussa victor

Senior Member
Jul 12, 2015
116
161
Wadada kazi kwenu
By darasa la Mapenzi
1. Ukienda kwake ukutane na vyombo vichafu na nguo chafu zimejazana usidhani ni mvivu, ni kamtihani anakupa.

2. Ukiingia kwake ukaona anampigia simu yule dada wa usafi anayekujaga mara moja kwa wiki aje afanye usafi alipwe usidhani eti anajali kihivyo. Anakutest aone kama utasema "Acha baby, ntakufulia mpenzi wangu".

3. Ukikuta kwake amefanya shopping ya vyakula vya kupika kama unga, mchele, na vingine halafu akakwambia mwende ule mgahawa fulani mkapate dinner usidhani eti ana hela kibao ya kutumia! Anakutest aone kama utamwambia mbaki kwake mpike mle. Uko chumba cha mtihani!

4. Siku kakuahidi kukutoa out halafu unafika kwake unakuta kajikunyata kama mgonjwa anakwambia mama ake kapiga simu anaumwa anaomba atumiwe hela. Halafu anakwambia hela aliyo nayo na ukipiga mahesabu unaona ni kama ile ya kutumia mkiwa out. Anakuomba ushauri afanyaje. Wewe unamwambia "Baby twende out, suala la mama nina uhakika kaka zako na dada zako watalishughulikia, atawapigia". Woiyeeee! My sista hapo umejimaliza!!

5. Ukimtembelea kwake ukakuta anapika na kufanya usafi wewe Umekaa tu unaangalia muvi halafu ukitaka umsaidie anakwambia endelea kuangalia muvi karibu anamaliza na wewe kweli ukarudi ukakaa kuendelea na muvi yako! Siku zako zinahesabika!!

6. Ulishawahi kumwambia mpenzi wako aende kwenye ibada? Alipokataa ulimsisitizia? My sister, hata walevi wanapenda wanawake ambao wanawasisitiza kwenda kwenye ibada. Sio tule wale kila siku wanashinda baa na club.

7. Mara ngapi huwa unamkumbusha kuwapigia simu wazazi au ndugu zake kuwajulia hali mkiwa wote? Angalao akupe na simu na wewe uwasalimie? Huo ni mtihani mwingine huwa mnafeli sana.

8. Jifunze pia kusisitiza kujitunza kabla ya ndoa. Sio kila saa ukimtembelea ni kujiachia tu. Inaleta adabu na inawafanya mkazanie kufikia lengo kubwa la maisha.

9. Jaribu ukiwa unaenda kwake uwe unaenda na tuvitu kama nyanya, vitunguu, n.k. Hivyo vyote huwa wanaume ni shida kununua mara nyingi.

10. Wakati mwingine nenda kwake hata na CD za dini mpelekee msikilize. Sio kila ukifika kwake wewe ni rege, Eminem, Lil Wayne na kina nani sijui. Ukiwa hivyo hataona tofauti kati yako na wale macho juu anakutana nao club kila wikiendi.

11. Jenga na tabia ya kumnunulia tuzawadi tudogo tudogo. Sometimes unakuja na boksa au kavesti au kadodoranti. Hiyo kwa wanaume inaonyesha unaweza kujipa majukumu na kuyasimamia. Marks hizo.

Ila Angalizo
 
umesahau kitu kikubwa sana. Kuvua pichu kiurahisi kila wakati na kujifanya umezidiwa genye. kama umemvulia yeye kiurahisi bila hata kuzungusha ati unampenda sana, utashindwaje siku umeingia kwenye ndoa mmekorofishana naye ukakutana na mwanaume anayekushauri vizuri usimvulie? kati ya mtihani wangu kuwapa ulikua ni huo. wale ninaokutana nao na ndani ya miezi sita ameshanivulia pichu, hao nilikuwa nawatumia na kuwaweka kapu la takataka. mama watoto alinizungusha kuja kustuka kumbe alikuwa bikira huyo ndiyo sikumwacha hadi leo.
 
Saa nyingine mbali na yote bahati pia ina nafasi yake. Wapo wanaojitahidi hata zaidi ya hivyo ila mwisho wa siku wanaambulia kuwa zilipendwa.
wanakuwa na mbunye mbaya, ujue haijafiti vizuri. kama mbuye iko fresh, mtu ana adabu, mzuri, msafi, anaonyesha upendo usio wa kinafiki kwanini usiolewe? ila kama mchafu, ushachezewa sanaaa kama wewe ulivyo, mashine imeshalegea kama bablish, nani anataka mzigo huo? ujana ulikuwa na nani, nani ale makapi? katafute makapi wenzio huko.
 
wanakuwa na mbunye mbaya, ujue haijafiti vizuri. kama mbuye iko fresh, mtu ana adabu, mzuri, msafi, anaonyesha upendo usio wa kinafiki kwanini usiolewe? ila kama mchafu, ushachezewa sanaaa kama wewe ulivyo, mashine imeshalegea kama bablish, nani anataka mzigo huo? ujana ulikuwa na nani, nani ale makapi? katafute makapi wenzio huko.
Mmh.
 
Kuna kipengere pendwa hapo sijakiona mkuu! Mimi ukiniomba pesa nakuhesabia Tu,mwisho wa mwezi naangalia nimekulipa bei %ngapi ya mshahara wangu ikizidi 1/4 umenifukuza....Nikikuoa si tutagawana mshahara 1/2 kwa nusu kwani mi kijakazi wako.
 
We unatafuta kulelewa sio bure.
Si kwamba anatafuta kulelewa. We utaendaje na demu shopping mall then badala ya kuhangaika na kuuliza bei za vitu vya maana anahangaika na ice cream, bisi (kwenu Masaki mnaitaga popcorn) na midoli? What the hell is she?
 
Ni vzr kuchagua lakini mwisho wa siku ukichagua sana utapata vibovu maana mchgua nazi huangukia koroma
 
Back
Top Bottom