Tambua uelekeo wa dishi katika satellite za chaneli (picha za madishi)

Hv kuna decoder mtu anaweza kutumia bila malipo na akapata channels za kenya, super sport (mechi za EPL na Bundes liga n.k) movies na series? Kama kipo kinauzwaje, wapi na ufungaji wake upoje.
 
Hv kuna decoder mtu anaweza kutumia bila malipo na akapata channels za kenya, super sport (mechi za EPL na Bundes liga n.k) movies na series? Kama kipo kinauzwaje, wapi na ufungaji wake upoje.
Zipo ndugu na huu ni.moja kati ya uzi una magwiji wa kucheza na ma dish

Ilaa izo decoder zipo ila ukipata mtalaam ndio atakutajia ipi ni mzuri
 
Wakuu hii nimechek kwa dstv hapa home inamaanisha nn?
IMG_7783.jpg
 
Canal wapo 16 degree east, unatakiwa ubinue na kusogesa kidogo kulia dish lako ila Sidhani kama hiyo receiver ya Azam itakubali ku add channels nyingine maana huwa wanazifungia na kuruhusu program search ilete frequency zao tu na channels zao.
Utahitaji king'amuzi rasmi cha canal+ vinauzwa madukani hasa Dar au tafuta FTA receiver kama Satstar Extreme, Satstar, Freesat n.k. inayo support internet key sharing (IKS) kama forever IKS au cccam,Mgcam,Newcamd nk. kisha nunua cccam account za 16e ila ukiwa na forever server nadhani inafanya kazi hata 16e.

View attachment 1445490View attachment 1445492View attachment 1445493

Sent using Jamii Forums mobile app
Unalipia ama umetumia utaalam kupata hizo sports channels
 
Back
Top Bottom