Dola Iddy Wa Chelsea
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 2,114
- 1,485
Hapo katika dishi la c band hilo kubwa ni uelekeo wa Azerspsce degree 45 e hapo unapata Clouds tv, Star tv, Channel ten, tv E, Mwangaza na Wasafi tv bila malipo kwa mwezi.
Hilo dishi la kushoto ni uelekeo wa Eutelsat 7 e (Azam tv) Ila ukilizongusha kidogo tu kurudi kushoto ukiwa umesimama mbele ya dish unapata ses 4 degree 5 e zuku na startimes walipo.
Hilo dishi la kulia lenye nembo ya Azam tv ni uelekeo wa Astra 2f degree 28 e ambapo utapata chaneli zwidi ya 100 zikiwa FTA mfano lion tv kwa movies, amen tv kwa mieleka, sport connect kwa michezo mbalimbali, fight tv kwa ngumi tu na nyingine nyingi za bure za watoto comedy ,wanyama nk bila malipo yoyote kwa mwezi
Angalizo: Ili upate chaneli hizi lazima uwe na king'amuzi chochote cha NPEG 4 HD kama ALPHSBOX, FREESAT, ONEAT, STAR SAT nk.
Naimani huu uzi utawasaidia sana wanaopemda kujifunza ufundi wa madishi ambao hawajui satellite ipi dishi lake linaelekea wapi.
Picha zaidi zitafuata.
Mawindo mema!!!
Sent using Jamii Forums mobile app