Tambua nyota yako

wamadish

JF-Expert Member
Jan 17, 2013
438
87
Ukiwa mwanaume na unapendwa sana na wanawake (kimapenzi) jua una NYOTA ya UKIMWI! take it from me!
 
Ukiwa mwanaume na unapendwa sana na wanawake (kimapenzi) jua una NYOTA ya UKIMWI! take it from me!
  • Ujumbe umefika kwa walengwa bila shaka
  • Wenye hii nyota wapaswa kubadili mfumo wa maisha yao ili waweze pata mafanikio kwa mwaka 2014.
  • Vinginevyo hawataweza maliza salama mwaka ujao
 
yaani nimekuja mbio, kumbe...! loh!
>> Karibu Jukwaani
n1vy.png
 
izi ndo mada zakutoa hasa muda huu,unakuta mtu mzima anatoa mada yakuchochea ngono,usalit na mambo kama ayo.ubarikiwe sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom