Tambua kuwa kuna mananeno ya ugaidi yaliyo fanyiwa utafiti kila lugha ugunduliwa kwa njia yoyote

edjizzo

Member
Nov 2, 2010
81
1
jamii tunashindwa tambua kuwa kuna vitu vingi kama kampuni ya goole imekuwa ikipigwa marufuku nchi nyingi kuchunguza siri za watu mpaka sasa ikiwa mshiriki na mzamini wa android.japo itakuwa siri ya watu wengi.ikitumia kampuni kuchanganya watumiaji wengi wa vifaa vya smart kwa sasa.MIMI NIMTANZANIA ULINZI NI KAZI YAKO KILA JAMII ATA KAMA NIMAWASILIANO
 
Duh! huo mpangilio wa sentenso zako si mchezo!yaani kama vile mtu kakukuta katikati ya mada.
hebu anza upya, jipange ndugu yangu, umetirirka kama unafukuzwa?
 
Back
Top Bottom