Tambua hulka kwanza kabla ya kufanya maamuzi


God'sBeliever

God'sBeliever

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2015
Messages
5,863
Likes
2,617
Points
280
God'sBeliever

God'sBeliever

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2015
5,863 2,617 280
Habari wana MMU,

Natumai wazima,

Nawashauri sana ndugu zangu wake kwa waume kutambua hulka za watu wawatakao kabla ya kufanya maamuzi.

Wengi watauliza kwanini hasa hulka?
Nasema hulka kwasababu wengi hupotea hapo. Bila kujua mtu umtakae ni wa kaliba gani mnaweza msiendane, hapo ndipo mapenzi yanapofia.

Wapo wa tabia na mitindo mbalimbali ya maisha so ni vyema uangalie umpendae ni mpenzi wa vitu gani (anapendelea nn hasa). Kama mtalandana na unaona unafiti mahitaji yaje basi anza maneno.

Laiti watu wangekua wanawaelewa wapenzi wao kiundani basi hivi vilio vya ngono visingekwepo humu. Mapenzi sio maswala ya kukurupuka tuu bali satisfaction kila idara.

Sio wengine mnakutana kwenye mabasi humo au club mnaanza ujinga. Wapo wanaopenda weupe, weusi, maji ya kunde, wenye macho mlege, macho makubwa, warefu, wembamba, wanene, waliokomaa, standard seven, mabeki tatu, malaya, walevi, wenye aibu n.k. Ni mwendo wa kujipimia tuu. Ukipigwa chini humo usikonde ni sehemu ya mapenzi.
 

Forum statistics

Threads 1,237,184
Members 475,465
Posts 29,280,575