Hivi apart from Runway kuna sehem nyingine ambayo mtu unaweza kujimwaga bila kukutana na wauza sumu?
Bills imekuwa kama DDC kariakoo
Kempisky ile ya once a month is ok lakini nako inaonekana nafasi hakuna na kila mfanyakazi wa benki na wafanyakazi wa simu Dar atataka kuja
Movenpick ile ya once a month huwa inakuwa poa sana sema sie wengine huishia kukaa kule uani kwenye garden...na pia mle ndani ni padogo mno sema Music is on point
Mediteraniao kule poa na nyama za kumwaga sema miziki nayo ndio hivyo hivo
All I know entertainment ni biashara kubwa na hasa kama kutakuwa na niche market...najaribu ku imagine sehem kama vile super super exclusive club yenye ku carter high end lakini kama mjuavyo wafanya biashara wengi Bongo wanapenda kubahatisha
Plse dont tell me about Zhongwa na sehemu zinginezo...zimejaa wauza sumu na wanuka jasho