Tambarare la Run Way

Mr Marcus

Member
Sep 8, 2011
23
13
Hivi apart from Runway kuna sehem nyingine ambayo mtu unaweza kujimwaga bila kukutana na wauza sumu?

Bills imekuwa kama DDC kariakoo

Kempisky ile ya once a month is ok lakini nako inaonekana nafasi hakuna na kila mfanyakazi wa benki na wafanyakazi wa simu Dar atataka kuja

Movenpick ile ya once a month huwa inakuwa poa sana sema sie wengine huishia kukaa kule uani kwenye garden...na pia mle ndani ni padogo mno sema Music is on point

Mediteraniao kule poa na nyama za kumwaga sema miziki nayo ndio hivyo hivo

All I know entertainment ni biashara kubwa na hasa kama kutakuwa na niche market...najaribu ku imagine sehem kama vile super super exclusive club yenye ku carter high end lakini kama mjuavyo wafanya biashara wengi Bongo wanapenda kubahatisha

Plse dont tell me about Zhongwa na sehemu zinginezo...zimejaa wauza sumu na wanuka jasho
 
Seriously dude, how do you maintain a database of usernames that large??!! It's beholding...
 
Wauza sumu na wanuka jasho ndio kina nani?!

Kama hutaki kuwa karibu nao (na wanaonekana wako kila mahali) hama nchi!
 
It is 2much actually: you just imagine, sehemu kama Meditrenio unaenda na familia kupumzika then jamaa gafla wanaibuka kiaina na kimauzauza, infact aipendezi.
 
weeh! wauza sumu na wanuka jasho ndo wakina nani? usikute unasikiaga harufu ya jasho lako mwenyewe afu unadhani ni la wenzio?
waswahili bwana, unapata income increment ya laki 2 unatamani jiji lote watu wahame wakuachie ww?u ar on top of ur balloon,huh!
 
weeh! wauza sumu na wanuka jasho ndo wakina nani? usikute unasikiaga harufu ya jasho lako mwenyewe afu unadhani ni la wenzio?
waswahili bwana, unapata income increment ya laki 2 unatamani jiji lote watu wahame wakuachie ww?u ar on top of ur balloon,huh!
limbukeni huyooo.... ni wa kumuonea huruma tu, hawa ndio hawakawii kuwaita wazazi wao wachimba chumvi
 
ushamba hauna mwenyewe nimeamini,kha! boarding kuna watu mama zao wakija na kandambili na kitenge kiunoni walikuwa wanajificha,siku hizi wanakuambia proudly 'mama yupo town,karibu umsalimie'
lets hope akikua ataacha!
limbukeni huyooo.... ni wa kumuonea huruma tu, hawa ndio hawakawii kuwaita wazazi wao wachimba chumvi
<br />
<br />
 
Yaani umenichekesha sana hawa unawaita 'wauza sumu' wanakuwepo kwakuwa kuna soko lao msipowanunua watachoka kuja na kuacha, unataka kuinjoi clubbing na hutaki kukutana na wafanyakazi wa kampuni za simu wala mabenki ambao ni upper middle class yetu hapa bongo ? unataka a more exclusive club si uanzishe wewe na kualika type yako ?
Kama unaenda sehemu zote hizo nawe ni mnuka jasho tu.Usijipandishe juu sana mzungu anaweza kukufukuza kazi Kwa Macheni ukapaona 'high class'.
 
starehe za kukariri hizi tabu tupu!!!!!mla bata rafiki yake mla bata!hampeani taarifa kunapo happen?acha ushamba mwanzisha thread
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom