Tamasha la Kilimanjaro - Beer festival - Leaders Club

tulawaka

Member
Aug 1, 2010
6
0
Timu ya bia ya Kilimanjaro & David Minja.... Tamasha leaders club siku ya jumapili tena mmeanza muziki mkubwa saa 12 jioni. Hebu fikirieni kesho ni Jumatatu (October 3rd 2011) siku ya kazi, siku ya wanafunzi kwenda shule,na tena ni siku ya watahiniwa wa kidato cha nne kuanza mitihani haafu mnapiga muziki mpaka usiku wa manane kwenye makazi ya watu??? Haiingii akilini kwa kampuni kubwa kama yenu na mnaajiita eti you are co-operate & socially responsibe?? How??? Kuna wazee na wagonjwa wanaoishi kwenye jamii hilo mmeshindwa kuliona kabisa????
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom