Tamaduni Music Punchlines Special Thread

Iende habari Kwa dunia
Kuna mahali watachukia
Kwenye mtihani wa Maisha uwe na maksi za kuvutia
Sijali ukali Ila mkali sicheki na dhiki
Kashangae magari bwana mdogo haki hailipi...

One "soga za mzawa"
 
Stereo ni Bomu linalipuka hewani
Swaga nazokupa nyota unazitupa begani
Waigizaji wanigiza kaole CD dukani
Kina dada wanaigiza ulokole mwili buchani

Stereo "incredible remix"
 
Mistari ya njaa . mistari ya wasio na pesa

Wale wa ukinikuta nimelala unakuja juu,, tuna comment wapi
Mi ni Simba mwenye njaa so nakula nachopata
Muuza Sura anatafunwa kama swala aliyetakaswa
Kwa sala iliyotakata neno moja latangazwa
Niko conscious lala wewe fala unayepakatwa
Nahisi ukavu kwenye ubeti mahili
Wanadai na hisia chafu zaidi ya nyeti ya mswahili
Hizi hisia ni gazeti mi mhariri we mkariri
Mi kiti chenye msumari ukiketi keti kiakili.....

One "classic material"
 
Nakushangaza kama mshamba ndan ya Posta//
Sijavaa magwanda na najiamin ni askar tosha//
Bado nawap hisia ka kinanda cha Kanisa//
Huu ni msala kama Padri ndan ya choo cha ma sister//
Nawapiga but salute kwa den Texas//
Yupi bora tcha wa class au alokufundsha sex//
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom