Uchaguzi 2020 Tamaa za Wateule wa Rais kutia nia Ubunge zitawaponza wengi. Ushahidi huu hapa wa Rais Magufuli na Humphrey Polepole

Makonda kaishapigwa chini mkuu sio mkuu wa mkoa tena na kesho anahama nyumba ya Serikali Masaki nae yuko shocked kutenguliwa kakuona kwenye watsap kama sisi
anabahat 1hajapelekewa majina makubwa kule...... ndungulile anapungukiwa na utovu w nidham kwa mkubwa wake wa kaz na ndo bahãti ya Makonda.... vingnevyo asingetosha kabisa.....
 
Hoja ya Rais;

Tupeane nafasi.

Kupunguza ulafi wa madaraka.

Hoja za watia nia;

Haki kikatiba kuomba nafasi hizo.

SASA ;

Tuangalie kwenye mzania umeegiama wapi
 
Kila Mtia Nia Ataguswa Kwa Namna Yake
Kusikia Kwa Kenge Hadi Atoke Damu Puani
😀😁😂😄😄😃😃🤣
 
Kitendo Cha idadi kubwa ya viongozi aliowateua kuamua kuziacha nafasi Hizi na kutimka kwenda kugombea ubunge, Ni funzo kwa Rais na anapaswa kujitafakari Ni wapi anakosea.
 
Kitendo Cha idadi kubwa ya viongozi aliowateua kuamua kuziacha nafasi Hizi na kutimka kwenda kugombea ubunge, Ni funzo kwa Rais na anapaswa kujitafakari Ni wapi anakosea.

Kwani ni mara ya kwanza hao viongozi kugombea?
Safari hii ni kwa vile wanatumbuliwa, lakuni zamani walichukua likizo na wajishindwa walirudi kwenye mikoa yao.
 
Rais ajitafakari, je hao walioacha hizi position zao wamejitafakariiiii!
Mimi nafikiri watanzania wote tujitafakari sio rais pekee au watia nia peeke!
 
Anakosea kuweka makada kwenye nafasi za utumishi wa umma.

Anakosea kuteua makada kwenye vyeo vya kiserikali kama asante au pole ya kukatwa jina kwenye chaguzi ndani ya chama.

Anakosea kuamini kuwa waimba mapambio na sifa 24/7 na wanaokandamiza upinzania ndio 'viongozi' wazuri.
 
Mnatakiwa mjue kuwa majukumu ya mkuu wa mkoa, mkuu wa wilaya, na mkurugenzi ni kama Dada wa kazi kwenye familia wa kwanza kuamka wa mwisho kulala

Lakini makujukumu ya mbunge ni utashi anaweza chaguliwa akaenda dodoma mwaka mzima ni Dodoma to dar Siku akija jimboni nikuita wapambe wa chama wale wanywe uyo anapotea tens mpaka miaka Kitano wanainchi mnalalamika tu

Mnaweza kuona kwanini wakuu wa mkoa na wakuu wa wilaya na wanataka ubunge
 
Habari za wana bodi!

Nimeona nije niulize kwenu wanabodi ili angalau nijiridhishe na ninayowaza, kuwa nipo sahihi au hapana!

Nafasi za uteuzi ni za kudumu kama mteuliwa anafanya kwa uadilifu mkubwa mpaka pale atakapostahafu.
Tofauti na ubunge, mpaka wananchi waridhike na utetezi na hoja zako bungeni.

1. Makonda
2. Ole sendeka
3. D. Kafulila nk
Hawakusikia au hawakuelewa mwenyekiti wao alipotoa tahadhari au hawakuelewa?

Hawajui kuwa wakishindwa kwenye kura za maoni au kwenye uchaguzi mkuu hatima yao kisiasa na kimaslahi itakuwa imekwisha?

JE HUU SIYO MPANGO WA KUPATA WATU WENYE KUJENGA HOJA BUNGENI (hata kama ya kipumbavu)NA KUISIMAMIA?

JE SIYO MPANGO WA KWENDA KUBADIRI UKO WA URAIS?

Ninashaka mwenyekiti wao ameona bunge lijalo halita kuwa na wabunge wa ccm wabishi wa hoja, ndiyo maana umepangwa huu mpango.

Tukumbuke kwamba amesema yeye ndiye anayeweza kumtoa hata mtu wa chini kwenye kura za maoni na kumpitisha kuwa mgombe ubunge.

Karibu tutafakari

Mods, tafadhari msiufute uzi wangu wala kuuchanganya na uzi wowote
 
Wote wametumwa hao!!! Umemsahau Mwamri...Hawa waliochaguliwa kucover nafasi zao watapigwa chini watakuja kuwa replaced na waliokosa ubunge kwa mfano Siha kuna Mollel na Mwamri hapo mtanange mpana lazima Mollel apigwe chini.
 
Habari za wana bodi!

Nimeona nije niulize kwenu wanabodi ili angalau nijiridhishe na ninayowaza, kuwa nipo sahihi au hapana!

Nafasi za uteuzi ni za kudumu kama mteuliwa anafanya kwa uadilifu mkubwa mpaka pale atakapostahafu.
Tofauti na ubunge, mpaka wananchi waridhike na utetezi na hoja zako bungeni.

1. Makonda
2. Ole sendeka
3. D. Kafulila nk
Hawakusikia au hawakuelewa mwenyekiti wao alipotoa tahadhari au hawakuelewa?

Hawajui kuwa wakishindwa kwenye kura za maoni au kwenye uchaguzi mkuu hatima yao kisiasa na kimaslahi itakuwa imekwisha?

JE HUU SIYO MPANGO WA KUPATA WATU WENYE KUJENGA HOJA BUNGENI (hata kama ya kipumbavu)NA KUISIMAMIA?

JE SIYO MPANGO WA KWENDA KUBADIRI UKO WA URAIS?

Ninashaka mwenyekiti wao ameona bunge lijalo halita kuwa na wabunge wa ccm wabishi wa hoja, ndiyo maana umepangwa huu mpango.

Tukumbuke kwamba amesema yeye ndiye anayeweza kumtoa hata mtu wa chini kwenye kura za maoni na kumpitisha kuwa mgombe ubunge.

Karibu tutafakari

Mods, tafadhari msiufute uzi wangu wala kuuchanganya na uzi wowote
Wateule wa rais wamechoka kuburutwa wanataka kuwa huru.
 
Pamoja na kuwa ni haki yao kikatiba lakini Busara na Hekima vingetumika katika kuamua. Ni uamuzi wa kukosa Shukrani kwa Mungu na aliyewateua.

Wananchi mliokuwa mnawatumikia kwenye nafasi zenu za Teuzi ndio hao hao mnataka muwatumikie mkiwa Wabunge hakuna jipya hapo ni Uchu na Tamaa ya Madaraka na posho,marupurupu na Mafao ya Ubunge.

Tutakutana Oktoba kwenye Sanduku la Kura.
 
Hawataki ajira ya mashaka ile ya mtu kutegemea mood aliyoamka nayo.....

Ni hofu hofu usione RCs na DCs wanawatisha na kuwasweka ndani watu hovyo hasa wapinzani ni stress tu .....
Ni ngumu sn kufanya kazi na kiongozi asiyeshaurika anayedharirisha watumishi akitafuta sifa za kijinga
 
waliojitoa wana sifa tatu 1.washaiba za kutosha hawana njaa for five years na 2, ni dreamers ( naturally born people who are never satisfied) na 3. ni watu huru wasiotaka kuwa chini ya amri za Magu mtu wasiemuelewa na kumkubali!!wametafuta kichaka na kujiengua!!
 
Back
Top Bottom