Uchaguzi 2020 Tamaa za Wateule wa Rais kutia nia Ubunge zitawaponza wengi. Ushahidi huu hapa wa Rais Magufuli na Humphrey Polepole

Jidu La Mabambasi

Katiba ya Tanzania inasema kila mtu mwenye majority age ana haki ya kuchagua kiongozi na kugombea kuchaguliwa uongozi.

Rais kuwazodoa watu walioona wanaweza kuwa na mchango mzuri zaidi kwa kugombea uongozi ni ushamba na ubeberu.

Vipi kama Mkuu wa Mkoa kaona kwamba, muhimili wa executive haumfai, anataka kuongoza kupitia muhimili wa bunge, hapo si anatumia haki yake ya kikatiba tu, kuna makosa gani hapo?

Kubadilisha kazi ndiyo iwe nongwa?

Mbona Magufuli mwenyewe kabadilisha kazi?

Kuhusu Makonda, huyo jamaa hakuwa na sifa mujarab za kuwa mkuu wa wilaya au mkoa.

Alipaishwa kwa upendeleo kwa kuwa ni mtoto wa Samwel Sitta tu.

Na kama kawaida ya watu wanaopaishwa kwa sababu ya kujuana zaidi ya kujua kazi, alijionesha kwamba kazi imemzidi kimo mara nyingi sana.
 
Makonda alikuwa na makando Kando mengi Sana, sema Mzee hakutaka kumuondoa sababu ingekuwa noma Sana kitaa , ukiangalia dogo ndo alimkaribisha Ikulu mzee na kumpa ABC za wazee....kitendo cha Makonda kujichanganya kwenda kugombea na kuacha ofisi kilimpa ahueni Sana Mzee....Ila hawez kumwacha hv hv , dogo kamtoa tongo tongo jiwe hapa mjin
 
Makonda alikuwa na makando Kando mengi Sana, sema Mzee hakutaka kumuondoa sababu ingekuwa noma Sana kitaa , ukiangalia dogo ndo alimkaribisha Ikulu mzee na kumpa ABC za wazee....kitendo cha makonda kujichanganya kwenda kugombea na kuacha ofisi kilimpa ahueni Sana Mzee....Ila hawez kumwacha hv hv , dogo kamtoa tongo tongo jiwe hapa mjin
Na vistory vyenu vya vijiweni. Mfyuuuuuuuuuu
 
Makonda alikuwa na makando Kando mengi Sana, sema Mzee hakutaka kumuondoa sababu ingekuwa noma Sana kitaa , ukiangalia dogo ndo alimkaribisha Ikulu mzee na kumpa ABC za wazee....kitendo cha Makonda kujichanganya kwenda kugombea na kuacha ofisi kilimpa ahueni Sana Mzee....Ila hawez kumwacha hv hv , dogo kamtoa tongo tongo jiwe hapa mjin
Makonda alimpa ABC gan? Mnadanganyana sana nyie sio umbea ulimpandisha juu😁😁
 
Makonda alimpa ABC gan? Mnadanganyana sana nyie sio umbea ulimpandisha juu😁😁
Ha haaaa Mzee si inasemekana sku ya Kwanza pale Ikulu mzee alijikuta kalala nje , ndo makonda akampa chocho za pale ....Mzee ikabd ampe ofisi 🤣😀🤣😀🤣😀🤣 za kwenye kahawa hzi lakn mzee
 
Poro
Ha haaaa Mzee si inasemekana sku ya Kwanza pale Ikulu mzee alijikuta kalala nje , ndo makonda akampa chocho za pale ....Mzee ikabd ampe ofisi 🤣😀🤣😀🤣😀🤣 za kwenye kahawa hzi lakn mzee
porojo kaka Makonda anaijua ikulu wap?

Taasisi ya Urais sio banda la Chips kaka Makonda aliinuliwa tu kwa aina yake ya Uongozi pale Kinondoni Akiwa Dc kwenda kuwa Rc na Vita yake ile ya sembe ...
 
Makonda alikuwa na makando Kando mengi Sana, sema Mzee hakutaka kumuondoa sababu ingekuwa noma Sana kitaa , ukiangalia dogo ndo alimkaribisha Ikulu mzee na kumpa ABC za wazee....kitendo cha Makonda kujichanganya kwenda kugombea na kuacha ofisi kilimpa ahueni Sana Mzee....Ila hawez kumwacha hv hv , dogo kamtoa tongo tongo jiwe hapa mjin

..wakati Jpm anasoma Udsm Makonda alikuwa yuko kolomije.

..Na Jpm alikuwa waziri kwa muda mrefu kabla Makonda hajajulikana kisiasa.

..sasa Makonda atamtoaje Jpm tongotongo?
 
KUNA FUNZO LOLOTE KWA SASA?

Aprili 2019 Rais Magufuli ktk moja ya vikao vya ndani ya chama cha CCM, amemlaumu Naibu Waziri wa zamani wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na aliyewahi kuwa pia RC Tabora ndugu Ludovick Mwananzila kwa kumwita mwenye tamaa nyingi sana.

Mwananzila alishika nafasi ya unaibu waziri ktk awamu ya kwanza ya Kikwete na Mkuu wa Mkoa katika awamu ya pili baada ya kukosa ubunge mwaka 2010.

Rais Magufuli anamlaumu Mwananzila kwa kuwa baada ya kukosa ubunge 2010 aliteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa lakini 2015 kwa tamaa zake alirudi tena jimboni kwake kuomba ubunge ilihali ana cheo kikubwa serikalini. Alifika mbali kwa kusema Mwananzila hafai hata kuwa Katibu Tarafa na ndiyo maana kampoteza kabisa.

Je, kuna funzo kwa wateule wa Rais Magufuli?

View attachment 1508189
View attachment 1508190
Makavu live
 
Back
Top Bottom