Tamaa jamani

G 4real

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
454
212
Jamaa kaenda kwa mke wa rafiki
yake:

JAMAA: Shem nakupenda!

MKE: Hebu toka hapa! Je rafiki
yako akijua? tena koma!

JAMAA: Ntakupa milioni 1!

MKE: Basi njoo kesho mchana
mume wangu akiwa kazini!
Kesho yake Jamaa kaja
na milioni 1 wakamalizana na mke wa
rafki yake,
jioni ilipofika
Mume akarudi home na
kumuuliza Mkewe, "Rafki yangu John
kaleta hela yangu milioni 1?"

MKE akajibu kwa unyonge, "Ndio!"

MUME: Yes! Ndio maana nampenda
John kanikopa asubuhi jioni
karejesha!!!!
Mke hoi mzigo umeliwa bure..
 
funny.....but peleka jukwaa la jokes.......................
 
kuna mdada wa usafi nimempisha afanye usafi ofisini kwangu, ananshangaa nnavocheka peke yangu! .... haya bhana!
 
Jamaa kaenda kwa mke wa rafiki
yake:

JAMAA: Shem nakupenda!

MKE: Hebu toka hapa! Je rafiki
yako akijua? tena koma!

JAMAA: Ntakupa milioni 1!

MKE: Basi njoo kesho mchana
mume wangu akiwa kazini!
Kesho yake Jamaa kaja
na milioni 1 wakamalizana na mke wa
rafki yake,
jioni ilipofika
Mume akarudi home na
kumuuliza Mkewe, "Rafki yangu John
kaleta hela yangu milioni 1?"

MKE akajibu kwa unyonge, "Ndio!"

MUME: Yes! Ndio maana nampenda
John kanikopa asubuhi jioni
karejesha!!!!
Mke hoi mzigo umeliwa bure..
Hii haina rangi za chitchat. Rangi zake kidogo kama jokes na utani hivi.
 
Back
Top Bottom