Taliban yapiga marufuku Waafghanistan kuondoka nchini humo kuanzia leo

View attachment 1906330
Daaah! Kutokula hii kitu watu husababisha ukatili
Mbona Kama unajiua kwa hela yako ndugu yangu. Yaani just for instant gratification unamaliza afya yako.
Hebu niambie hapo umeongeza madini,vitamin ama kundi Gani la chakula mwilini. Kwanza epuka fried foods is poison.
Pia usiusikilize mwili unavyotaka Mana utakupoteza afya yako na nafsi yako.
Yaani ule utamu wa mdomoni na ni wa muda tu na sio kuwa ni milele.

Mie Nikila kitu najiuliza kinaenda kunijengaje.
Sayansi nimeisoma ya kunisaidia kuijua afya yangu. Mfano kitunguu swaumh ni kichungu mdomoni Ila mwilini kina faida kubwa Sana Tena Sana na kinatibu magonjwa mengi Sana. Gugo utaona.jipende cheki source ya cancer foods in USA and Europe.
 
Nile mkuu msaada wa mwongozo
 
Muonekano wa kimavazi wa kimsboy unaakisi mavazi ya watelaban🤣🤣🤣
 
Haya magaidi ya kiarabu yameathiriwa na kitabu chao
Pashtun
Asili yao Iran mashariki. Wanafikia 42% nchini Afghanistan. Wairan ni waajemi.

Tajik
Ni Wairan kiasili na kwa jina jengine wanafahamika kama Farsi. Lugha yao ina lugha ya kiuajemi nchini mwao inafahamika kama Dari. Wanafikia 27% nchini Afghanistan.

Hazara
Asili yao ni Mongol na ni vitukuu vya mwanzilishi wa dola ya Mongol anayeitwa Genghis Khan. Wanachukua 10% nchini Afghanistan.

Uzbek
Nchini Afghanistan hawa wanajaza 9% ya raia wa nchi hiyo, asili yao ni Turkic. Wanazungumza Uzbek, lugha ya waturuki.

Aimaq
Aisili yao ni Iran. Wanatengeneza 4% ya raia wa Afghanistan.

Wengine waliyobakia ni Baluchi (2%) na Turkmen (2%).

Hayo ndiyo makabila yanayojenga nchi inayoitwa Afghanistan. Sasa hapo waarabu wako wapi?
 
Wanaweza wasiwe waarabu ila ukweli mchungu ni kuwa ni wajinga km waarabu ujinga wao unaaunganishwa na itikadi ya dini kwa kupractice ugaidi kupitia dini eti wanajiita wafia dini
Pashtun
Asili yao Iran mashariki. Wanafikia 42% nchini Afghanistan. Wairan ni waajemi.

Tajik
Ni Wairan kiasili na kwa jina jengine wanafahamika kama Farsi. Lugha yao ina lugha ya kiuajemi nchini mwao inafahamika kama Dari. Wanafikia 27% nchini Afghanistan.

Hazara
Asili yao ni Mongol na ni vitukuu vya mwanzilishi wa dola ya Mongol anayeitwa Genghis Khan. Wanachukua 10% nchini Afghanistan.

Uzbek
Nchini Afghanistan hawa wanajaza 9% ya raia wa nchi hiyo, asili yao ni Turkic. Wanazungumza Uzbek, lugha ya waturuki.

Aimaq
Aisili yao ni Iran. Wanatengeneza 4% ya raia wa Afghanistan.

Wengine waliyobakia ni Baluchi (2%) na Turkmen (2%).

Sasa hapo waarabu wako wapi?
 
Wanaweza wasiwe waarabu ila ukweli mchungu ni kuwa ni wajinga km waarabu ujinga wao unaaunganishwa na itikadi ya dini kwa kupractice ugaidi kupitia dini eti wanajiita wafia dini
Ugaidi wao ni upi?
 
Wanaweza wasiwe waarabu ila ukweli mchungu ni kuwa ni wajinga km waarabu ujinga wao unaaunganishwa na itikadi ya dini kwa kupractice ugaidi kupitia dini eti wanajiita wafia dini
Waarabu dini kwao ilikuwepo tangu karne ya 7. Mbona muda wote hawakufanya ugaidi unaoongelewa leo?

Dola ya Ottoman (Waturuki) nao ni wa dini hiyo hiyo. Mbona hawafanyi ugaidi?
 
Waturuki wa leo sio wa kipindi kile cha ottoman
Ottoman alieneza uislam kwa panga (kwa lazima)kwa sasa ni uislam unaenezwa kwa njia ya ugaidi waturuki wa leo wameelimika wanaishi kimagharibi ila wale extremities hawajaisha wapo pia

Wakristo na Wayahudi kipindi cha Ottoman walifahamika kama Al dhimmi yaani protected.

Taronites alikuwa ni daktari wa Sultan wa dola ya Ottoman. Alikuwa ni Mkristo. Marabbí viongozi wa kidini wa Kiyahudi waliingizwa katika mifumo ya uongozi, walikuwa ni Maafisa Tawala ambaye anawakilisha watu wake katika baraza la Sultan wa dola ya Ottoman. Hata jeshi lake walikuwepo makamanda wakristo.

Niambie ni nchi gani Ottoman walieneza Uislam kwa Panga kwa lazima?
 
Waarabu dini kwao ilikuwepo tangu karne ya 7. Mbona muda wote hawakufanya ugaidi unaoongelewa leo?

Dola ya Ottoman (Waturuki) nao ni wa dini hiyo hiyo. Mbona hawafanyi ugaidi?
Walichowafanyia Wa-Armenia mwaka 1915 kimewatia doa.
 
Mbona Kama unajiua kwa hela yako ndugu yangu. Yaani just for instant gratification unamaliza afya yako.
Hebu niambie hapo umeongeza madini,vitamin ama kundi Gani la chakula mwilini. Kwanza epuka fried foods is poison.
Pia usiusikilize mwili unavyotaka Mana utakupoteza afya yako na nafsi yako.
Yaani ule utamu wa mdomoni na ni wa muda tu na sio kuwa ni milele.

Mie Nikila kitu najiuliza kinaenda kunijengaje.
Sayansi nimeisoma ya kunisaidia kuijua afya yangu. Mfano kitunguu swaumh ni kichungu mdomoni Ila mwilini kina faida kubwa Sana Tena Sana na kinatibu magonjwa mengi Sana. Gugo utaona.jipende cheki source ya cancer foods in USA and Europe.
Umeongea point sana mkuu. Hapo ulipo agiza kili moja ya mdudu na ndizi kadhaa, mimi nitalipa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom